MAONI YA MHARIRI »

20Nov 2017
Nipashe

KOMBe la Kagame la klabu za Afrika Mashariki na Kati hali- jafanyika kwa miaka miwili iliyopita na michuano dada ya ukanda huo, Kombe la Chalenji...

19Nov 2017
Nipashe Jumapili

BUNGE la Jamhuri ya Tanzania katika mkutano wake uliomalizika juzi, pamoja na mambo mengine, lilipitisha Muswada wa Sheria ya Kudhibiti na...

18Nov 2017
Nipashe

DIRISHA dogo la usajili Tanzania Bara lilifunguliwa wiki hii Novemba 15 na linategemewa kufungwa Desemba 15, litadumu kwa kipindi cha mwezi mmoja...

17Nov 2017
Nipashe

WAKATI kukiwa na habari njema kuhusiana na jitihada za kupunguza kasi ya maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) nchini, hali iko tofauti...

16Nov 2017
Nipashe

IMEELEZWA kuwa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), ni suluhu mojawapo ya uhakika katika kuboresha mchakato wa utoaji haki...

15Nov 2017
Nipashe

KUNA taarifa kuwa baadhi ya madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora wamepata pigo.

14Nov 2017
Nipashe

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) juzi ilitangaza orodha nyingine yenye wanafunzi 1,775 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata...

13Nov 2017
Nipashe

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ jana ilikuwa kibaruani katika mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao, Benin.

12Nov 2017
Nipashe Jumapili

HIVI karibuni ilijitokeza taasisi ijulikanayo kama ‘Tanzania Social Support Foundation’ (TSSF) ambayo ilijitangaza katika vyombo vya habari kwamba...

11Nov 2017
Nipashe

TIMU ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) kesho inatarajia kushuka dimbani ugenini kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Benin.

Pages