MAONI YA MHARIRI »

30Jan 2018
Nipashe

MKUTANO wa Januari wa Bunge utaanza rasmi leo mambo kadhaa yakitarajiwa kujadiliwa kwenye chombo hicho cha kutunga sheria. 

29Jan 2018
Nipashe

MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, umemalizika huku Simba ikiwa kileleni wakati Njombe Mji ikishika mkia kwenye msimamo wa ligi hiyo  ...

27Jan 2018
Nipashe

MZUNGUKO wa kwanza wa ligi kuu Tanzania msimu huu wa 2017/2018 unatarajiwa kumalizika wikiendi hii kwa michezo mbalimbali.

26Jan 2018
Nipashe

TABIA ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya matukio ya kuwaadhibu watu wengine kwa kuwahukumu kuwa wametenda makosa, imekuwa ikikemewa...

25Jan 2018
Nipashe

DHANA ya mgawanyo wa madaraka baina ya mihimili ya dola ya mahakama, utawala (serikali) na bunge ni miongoni mwa misingi muhimu ya demokrasia na...

24Jan 2018
Nipashe

SARATANI ya mlango wa kizazi ni tishio kwa usalama wa wanawake nchini kutokana na kuwapata wengi wao.

23Jan 2018
Nipashe

NAFASI za ubalozi wa kuiwakilisha nchi yetu katika mataifa mbalimbali na mashirika ya kimataifa, ni miongoni mwa nafasi za juu na muhimu zaidi...

22Jan 2018
Nipashe

HADI kufikia sasa wakati timu nyingi zikiwa zimebakiza mechi moja kabla ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kumalizika, tumeshuhudia ligi hiyo...

20Jan 2018
Nipashe

WAKATI Ligi Kuu ikiingia katika raundi ya 14, timu za Simba na Yanga ambao ni wawakilishi wa Tanzania Bara katika mashindano ya kimataifa,...

19Jan 2018
Nipashe

MIONGONI mwa ahadi alizoahidi Rais John Magufuli wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2015, ilikuwa ya kutoa elimu bure kuanzia elimu ya msingi...

Pages