MAONI YA MHARIRI »

30Nov 2017
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa kauli kuhusu fedha za Ukimwi, ambayo kama itafanyiwa kazi na wadau wote, fedha hizo zitawanufaisha walengwa...

29Nov 2017
Nipashe

Kauli ya serikali ya juzi kwamba inatarajia kuajiri walimu 13,700 wa shule za msingi na sekondari ndani ya mwezi ujao inatia matumaini kwa jamii...

28Nov 2017
Nipashe

Mamlaka ya Kudhibiti Mbolea (TFRA) imekamata wafanyabiashara 25 kutokana na kukiuka sheria na taratibu za uhifadhi na kuuza mbolea kwa bei tofauti...

27Nov 2017
Nipashe

LIGI KUU Tanzania Bara itasimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Chalenji inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati...

26Nov 2017
Nipashe Jumapili

TANZANAIA kwa mara ya kwanza imeandika historia katika tiba baada ya kufanikiwa kupandikiza figo kwa mgonjwa, hivyo kuleta matumaini ya matibabu...

25Nov 2017
Nipashe

LIGI Kuu ya Vodacom (VPL) inatarajia kusimama kesho ili kupisha maandalizi ya timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) ambayo inatarajia kwenda...

24Nov 2017
Nipashe

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi juzi alisema ujangili wa wanyamapori wadogo pamoja na mimea bado ni...

23Nov 2017
Nipashe

RAIS mstaafu, Jakaya 'JK' Kikwete juzi alitembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kujifunza ufugaji wa kisasa wa ngo'mbe.

22Nov 2017
Nipashe

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) juzi ilisema imeokoa zaidi ya Sh. bilioni tano ambazo...

21Nov 2017
Nipashe

CHAMA tawala nchini Zimbabwe juzi kilimfukuza Robert Mugabe kutoka kwenye uongozi wake na kumpa kiongozi huyo mwenye miaka 93 chini ya saa 24...

Pages