SAFU »

17Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NENO ‘tambo’ lina maana mbili. Kwanza ni jambo lililofumbika, jambo ambalo utatuzi wake haujulikani. Pili ni umbo kubwa aghalabu la mtu; jitu.

17Mar 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

BIASHARA ya ngono kwenye madanguro katika baadhi ya maeneo hasa ya miji mikubwa imeshamiri kupindukia japo kwa upande mkubwa ni hasara kwa vile ni mporomoko wa maadili kwa taifa.

16Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA jana Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam lilianzisha operesheni dhidi ya wapigadebe katika vituo vya kupandia abiria, ambao kwa muda mrefu wamekuwa kero kwa abiria.

15Mar 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SERIKALI ya Awamu ya Tano, imekuwa mkombozi kwa wanafunzi wote wanaofaulu kujiunga na shule za sekondari kusoma bure.

14Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

CHAMA cha Wananchi CUF kipo kwenye mgogoro mkubwa wa kiutawala uliodumu kwa zaidi ya miaka miwili baada ya aliyekuwa Mwenyekiti Profesa Ibrahim Lipumba, kujiuzulu wadhifa huo kabla ya uchaguzi...

14Mar 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UKITEMBELEA mitandao mingi ya kijamii mjadala mkubwa unaotawala siasa za Tanzania ni namna ya upatikanaji wa wawakilishi wa majimbo mbalimbali na nafasi nyinginezo za utawala.

14Mar 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
TUJIKUMBUSHE

SOFIA Kawawa ni jina kubwa kwenye siasa za Tanzania Bara na Visiwani kuanzia harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kuendeleza vuguvugu la ukombozi wa mwanamke hadi alipofariki.

13Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“MZUKA” ni kiumbe kisichoonekana ila hudhaniwa kuwa kinaishi na huweza kumtokea mtu; pepo. Huu ndio ukweli wa neno ‘mzuka.’ Halina maana nyingine.

13Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KASI ya utumbuaji majipu, inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano iliyoko madarakani, inalenga kuweka nidhamu ya uwajibikaji kwa watumishi wa umma, badala ya kufanya kazi kwa mazoea tu na...

13Mar 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AGOSTI mwaka jana Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), ilikutana na wamiliki wa shule binafsi nchini na kujadili namna ya kuboresha usafirishaji wanafunzi kwa kuhakikisha magari...

12Mar 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

HAKUNA timu yoyote ya Tanzania iliyoshinda nyumbani kwenye  mechi ya raundi ya kwanza kwenye michuano ya kimataifa.

12Mar 2018
Renatha Msungu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIKI iliyopita tumezishuhudia timu za Simba na Yanga zikiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa na kupata matokeo ambayo sio mazuri sana kwao, hasa ukizingatia mechi hiyo ilichezwa katika...

10Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MANENO tu hayawezi kuivunja mifupa hata yakawa makali jinsi gani. Hutumiwa na mtu anayepuuza maneno yaliyosemwa na mtu mwingine na ambayo hayawezi kumdhuru kwa namna yoyote au hayamzuii...

Pages