SAFU »

05Nov 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya kugundua kuwa kuna magabacholi wanaoweza kuingia kiulaini Bongolalaland na kughushi vyeti vya kuzaliwa wakajizolea ardhi kila kona waipendayo kama alivyofanya Hamnazo…,

04Nov 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliwapa siku 14 wamachinga wanaofanya biashara pembezoni mwa barabara kuondoka na kwenda katika maeneo rasmi waliyopangiwa kufanya...

04Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

WASOMAJI na wapenzi wa safu hii ya ‘Mtazamo Kibiashara’ kama ilivyo ada leo tunaendelea tena na somo letu linalohusiana na hati fungani za serikali ama dhamana za serikali ambazo tumeona ziko za...

04Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya vipaumbele vya serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli, ni cha kukusanya kodi.

03Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

AJENDA ya Lishe, si tu kwamba ndiyo habari ya ‘mujini’ kwa hivi sasa hapa nchini, bali ni moja ya vipaumbele vinavyotawala majukwaa mbalimbali katika uga wa kimataifa.

02Nov 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

MKUTANO wa Bunge la 11 ulianza jana mjini Dodoma na utaendelea hadi Novemba 11, 2016 huku shughuli ya kwanza ikiwa inaongozwa na kanuni ya 94 lengo likiwa ni kujadili na kupokea maoni kuhusiana na...

01Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UHALIFU katika jamii yoyote ile ni kitu kisichokubalika kwa hali iwayo yote na ndiyo maana jamii zote zinapiga vita uhalifu.

01Nov 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Yalikuwa ya Yosso, ya Tukale Wapi , Panya Road. Tukasema tumewadhibiti. Kisha huko Afrika Kusini vijana wakawa wanawafurusha wageni, wawe waajiriwa au wajasiriamali.

01Nov 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

‘MSAMIATI’ ni jumla ya maneno yaliyo katika lugha fulani. Kama wataka kujua misamiati ‘mipya’ ya Kiswahili, soma magazeti yetu, hasa ya michezo.

31Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

MWAKA 1998, Yanga iliichapa RTC Kagera (sasa Kagera Sugar) mabao 8-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Bara unayoshikilia rekodi ya kuwa wenye kipigo kikubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa ligi hiyo mwaka...

31Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHINDANO la Miss Tanzania mwaka 2016 lilifanyika juzi jijini Mwanza ambapo Diana Edward aliibuka mshindi mbele ya washiriki wengine 29 kutoka mikoa mbalimbali.

30Oct 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

TUNAENDELEA na makala hii ya ugumba kwa kuangalia chanzo. Kama tulivyoeleza utasa ni ile hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito baada ya kujamiiana bila kinga au kutumia njia ya uzazi wa...

30Oct 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

INAWEZEKANA baadhi ya nchi nyingi duniani zinaendelea kushangaa umaskini wetu tunaowatangazia, wakati huo huo tukiwatangazia vivutio vya utajiri wa maliasili iliyopo katika maeneo mbalimbali...

Pages