SAFU »

05Feb 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KWA mara nyingine tena, timu ya Coastal Union imepanda Ligi Kuu  Tanzania Bara. Itaanza kuonekana tena msimu wa 2018/19.

05Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIGI Daraja la Kwanza inaelekea ukingoni msimu huu, na tayari baadhi ya timu zilizopanda daraja kucheza Ligi Kuu msimu huu zimejulikana huku nyingine zikisubiri michezo ya mwisho kujua hatima zao...

03Feb 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

‘SUMMONS’ ndilo jina lake. Ni wito maalum wa mahakama.

03Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HAKIKA kila king’aacho si dhahabu kwani hata kigae cha chupa kikiwekwa juani hung’aa.

01Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI utaratibu wa kisheria ulioandaliwa na serikali kwa kila kijiji, kuhakikisha kwamba kila baada ya miezi mitatu, kinasoma mapato na matumizi wanakijiji wake ili wajue kilichoingia na kilichotoka...

31Jan 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SENSA ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012 inaonyesha kuwa asilimia 70 ya Watanzania wote ambao idadi yao sasa ni takribani watu milioni 50 wanaishi vijijini, huku asilimia 30 wakiwa mijini.

30Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
WADAU NA SABATO KASIKA

VIKAO vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vinatarajiwa kuanza leo mjini Dodoma. Je, ni mambo gani ya msingi ambayo yanatakiwa kusimamiwa na Bunge ili lionekane linatimiza wajibu wake...

30Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya matatizo ambayo inasemekana yameota mizizi nchini na kuwaathiri wanawake na wasichana wanaopita katika ofisi mbalimbali kusaka ajira ni rushwa ya ngono.

30Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

KITU cha kupewa hakiwezi kumshibisha mtu. Methali hii yatufunza umuhimu wa kutosheka na vitu vyetu hata kama sio vizuri (wanavyodhani wapenzi wa Kiingereza).

29Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

TAYARI mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara umehitimishwa jana kwa kushuhudia michezo kadhaa ukiwamo wa Simba dhidi ya Majimaji uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana...

29Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KATIKA Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera, mara  baada ya mechi kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba kulitokea tukio  la kusikitisha.

27Jan 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

UMENUNUA kiwanja au nyumba na aliyekuuzia amekuhakikishia kuwa kiwanja au nyumba hiyo iko salama na haina mgogoro wowote lakini mbali na kukupa matumaini, pia amekuhakikishia kuwa mali hizo...

27Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

 ‘UMBUA’ (kitenzi) 1 ni kitendo cha kumtolea mtu maneno ya kumtia ila; 2 shushia mtu thamani, vunjia heshima, shushia hadhi.

Pages