SAFU »

06Oct 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MPANGO wa kupima afya bure uliosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ulibainisha wazi kuwa zaidi ya nusu waliopimwa afya walikuwa wanaugua maradhi tofauti bila ya wao kujijua....

06Oct 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, katika Ibara 14, inaeleza jinsi ambavyo kila mtu ana haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake kwa mujibu wa sheria...

04Oct 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

MOJA ya kauli mbiu inayopigiwa chapuo kila wakati na kila mwanasiasa ni juu ya dhima ya elimu katika kuendeleza michezo na kurithisha utamaduni wetu kama makabila na kama taifa.

04Oct 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“LA LEO litendwe leo” ni methali inayohimiza umuhimu wa jambo la leo kutendwa siku hiyo hiyo. Twakumbushwa faida ya kutoyaweka hadi kesho mambo tunayoweza kutenda leo.

03Oct 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

NADHANI imefika wakati sasa waamuzi kwenye mechi za watani wa jadi, Simba na Yanga watoke nje ya nchi.

03Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SIKU zote kama mtu unashindwa kuzuia hasira zako basi ni wazi kila wakati utakuwa ukipata hasara au kuingia kwenye matatizo makubwa kutokana na kile kinachotokea baada ya kushindwa kuzuia hasira...

01Oct 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya kushuhudia, ubabaishaji, ufisadi, ukwepa kodi na kila aina ya madudu bandarini, Mlevi napanga kuandika barua ya kuomba niwe mkubwa wa eneo hili nyeti ili nisaidie kunyoosha kaya ya...

30Sep 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

LEO katika safu hii ya Mtazamo wa Kibiashara, tuangalie kwa mara nyingine eneo tofauti na ilivyozoeleka linaloweza kutumiwa na wafanyabiashara wa ngazi zote kama chanzo kingine cha kuweka akiba...

30Sep 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Naibu Waziri wa Mambo Ndani ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani, Hamad Masauni, alitoa takwimu za ajali za barabarani kwenye maadhimisho ya kuanza kwa Wiki ya Nenda kwa...

29Sep 2016
Jenifer Julius
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NI hali ya kawaida kabisa kukutana na malori yaliyobeba makontena makubwa barabarani kutoka bandarini jijini Dar es Salaam.

28Sep 2016
Richard Makore
Nipashe
Mjadala

KAMA ni ulinganifu wa sifa za mtu shujaa asiyeogopa kitu basi, mwanasiasa maarufu nchini Profesa Ibrahimu Lipumba, jina lake linaweza kuingia katika Kitabu cha Kumbukumbu cha Guinness,...

27Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KILIMO nchini kimeajiri Watanzania zaidi ya asilimia 80. Ni miongoni mwa nguzo kuu za uchumi wa nchi kwa ajili ya kuzalisha mazao ya chakula na biashara.

27Sep 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Mjadala

MOJA kati ya mambo yaliyolalamikiwa kwa muda mrefu na wananchi ni hatua ya serikali kuhamisha watumishi wanaovurunda kazi kutoka kituo kimoja na kupelekwa kwingine katika kile kinachotafsriwa kuwa...

Pages