SAFU »

26Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BIMA za afya zimekuwa mkombozi kwa jamii, hasa pale unapopata tatizo la kiafya, huku mtu hana pesa mkononi. Bima ndio hapo inageuka kuwa mkombozi wake katika matibabu.

25Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

BAADHI ya wakazi wa mijini, wana kawaida ya kuwa na watumishi wa ndani ambao huwachukua kutoka maeneo mbalimbali ya vijijini, ili wawasaidie kazi za ndani, ikiwamo kulea watoto na nyingine kadhaa...

24Jan 2018
Joseph Mwendapole
Nipashe
Mjadala

HIVI karibuni Shirika la Umeme Nchini Tanesco liliratibu ziara ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kwenda kujionea shughuli za uzalishaji wa umeme kwa njia ya maji kwenye vituo vyake...

24Jan 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JOTO la uchaguzi kwa majimbo ya Kinondoni na Siha linazidi kupanda, na sasa mjadala mkubwa ni siasa, hasa kutokana na kilichotokea kwa majimbo hayo ambapo wabunge wake waliachia ngazi na sasa...

23Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“UCHOCHEZI” ni tabia ya mtu kutia fitina baina ya watu ili wazozane; uchonganishi, chokochoko. ‘Mchochezi’ni mtu anayesababisha au anayeshajiisha watu wagombane.

23Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SHERIA ya usalama barabarani inamtaka kila dereva wa bodaboda kuwa na kofia ngumu (helmeti) mbili kwa ajili yake na abiria wake, kwa vile zinasaidia kupunguza kwa asilimia 69 hatari ya wahusika...

22Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

KUMEKUWA na malalamiko kila kona kwenye mechi za Ligi  Daraja la Kwanza Tanzania Bara.

22Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HAKUNA ubishi kuwa Emmanuel Okwi raia wa Uganda ni mmoja wa wachezaji muhimu ndani ya kikosi cha Simba.

20Jan 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

KAMA kawaida unapoingia katika mkataba au makubaliano kufanya jambo lolote lile kunakuwa na masharti ambayo unapaswa kuyatimiza au kutimiziwa kisheria.

20Jan 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“CHOMBO hakiendi ikiwa kila mtu anajipigia kasia.” Kasia ni ubao wa kuendeshea chombo cha bahari kama mashua.    

19Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUMEKUWAPO na wimbi kubwa la ongezeko la gereji bubu, katika baadhi ya Mitaa nchini. 

18Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MVUA zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya mikoa ikiwamo Dar es Salaam, imekuwa na athari yake.

17Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilishaandika barua kwa vyama vya siasa na asasi za kiraia kuwasilisha mapendekezo kuhusu mabadiliko ya sheria mpya ya vyama vya siasa na kutaka mchakato wake...

Pages