SAFU »

16Jul 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya kushuhudia ugeni wa mashaka toka Ugabacholini ulioongozwa na Nyabenda Moody waziri kubwa ukija Bongo na kuondoka bila kujihangaisha kukutana na uongozi wa walevi,

16Jul 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘OLE’ ni tamko linalotumika kuonyesha kujutia jambo hasa baya alilofanya mtu; tamko la kueleza majuto, mapigo na masikitiko.

15Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI tukilinyoshea kidole Jeshi la Polisi kwa kutomaliza tatizo la uhalifu wa unaotokea kwenye maeneo yetu, kuna suala ambalo wakati mwingine sisi kama raia, tunashindwa kulitilia maanani.

14Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

Tishio la hali ya usalama wa maisha ya raia na mali zao katika siku za karibuni nchini, linaonekana kuwa na changamoto zake kadri siku zinavyozidi kusonga mbele.

13Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNA misemo mingi inayoelezea namna siasa inavyochukuliwa na watu wa kada tofauti tofauti katika jamii.

13Jul 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KABLA ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, baadhi ya Watanzania walikuwa wamejenga dhana kwamba mgombea urais anayetokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), hawezi kufuatilia kero mbalimbali ambazo zimekuwa...

12Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA la eneo linaeleza kiuhalisia namna nchi inavyopiga ama ilivyopiga hatua kubwa za maendeleo na ustawi wa wananchi wake kwa ujumla ni sekta ya afya.

12Jul 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“HARAKA haraka haina baraka” yamaanisha jambo linalofanywa kwa pupa huwa halitengenei au halifai. Methali hii yatufunza umuhimu wa kufanya mambo yetu kwa utaratibu ikiwa twataka yafanikiwe.

12Jul 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Jamii haiwezi kuendelea kwa idadi kubwa ya wanafunzi.Inaendelea kwa ubora wa wanaofaulu. Na inaendelea kwa kuwa na wananchi wanaotumia sehemu ya rasilimali muda na fedha kutafuta maarifa mapya....

11Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

LIGI kuu ilimalizika mwezi mmoja na nusu uliopita na kushuhudia Yanga ikitwaa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.

10Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

TANZANIA ni ukanda unaovutia kiuwekezaji katika Afrika Mashariki ikiwa na vigezo muhimu vinavyohitajika kama , ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo, akiba kubwa ya gesi, rasilimali hasa madini,...

10Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

Ni dhahiri kuwa pamoja ka kwamba vikundi hivyo vinaweza kuwa chanzo cha vurugu na uvunjifu wa amani, bado uanzishwaji wake unakiuka Katiba ya nchi inayowapa mamlaka Polisi kulinda amani ya...

10Jul 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, hilo ni swali ambalo yawezekana wapo watu ambao hawajawahi kujiuliza, japokuwa ni muhimu sana katika maisha ndani ya ndoa.

Pages