SAFU »

17Feb 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MTAANI kwako kuna watu wanawakopesheni kwa riba? Tena kwa kila Shilingi 100,000 mkopaji hudaiwa Sh. 30,000? Chunga, kuanzia sasa fahamu hii ni biashara haramu isiyokubalika kisheria.

16Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

INASIKITISHA kuona wanakijiji wanapomkimbiza ofisa kilimo, ambaye yupo kwa ajili ya kuwaelimisha katika masuala ya kilimo.

15Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la usafi wa mazingira, ni jukumu la kila mmoja wetu kuhakikisha anaishi katika mazingira safi.

14Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 2014 wakati akitangaza kuanza kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete aliwahimiza wajumbe wa Bunge hilo na hasa viongozi wa vyama vya siasa kuweka mbele...

13Feb 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNDI la wakulima ambalo ndilo kubwa kabisa nchini, bado linakabiliwa na changamoto mbalimbali.

13Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“ASIYEJUA maana haambiwi maana.” Hapana haja ya kujisumbua kumweleza mtu asiyejua faida ya jambo.

12Feb 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NILIWAHI kuandika kwenye safu hii juu ya wapenzi wa soka nchini   'kuzichukulia poa' timu za St Louis ya Shelisheli na hata  Gendamarie ya Djibouti.

10Feb 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

BAADHI ya wasimamizi wa mirathi ni wakorofi, kwani baada ya kuteuliwa kwenye jukumu hilo hawapendi kugawa mali ili kila mrithi achukue stahiki yake.

10Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

‘UMBUA’ (kitenzi) 1 ni kitendo cha kumtolea mtu maneno ya kumtia ila; 2 shushia mtu thamani, vunjia mtu heshima, shushia mtu hadhi.

09Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UINGIZWAJI bidhaa zisizo na ubora nchini, ni miongoni mwa changamoto zinazotakiwa kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu, ili kuwapisha Watanzania na kadhia hiyo, ambayo ni kama imejichimbia mizizi nchini...

08Feb 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWISHONI mwa wiki iliyopita, Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kilitoa elimu ya uzazi wa mpango kwa vikundi vya benki za kijamii(Vicoba), ambavyo vina uwezo wa kuwafikia wananchi...

07Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KWA mujibu wa takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), idadi ya watu wanaoishi mijini imeongezeka zaidi ya mara tano kutoka asilimia 6.4 mwaka 1967 hadi asilimia 29.6 kwa mwaka 2012, huku Dar...

07Feb 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WIKI iliyopita, Matokeo ya kidato cha nne yalitangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), yakionyesha shule za umma, yaani za serikali zikishika mkia, huku shule binafsi na za taasisi za dini...

Pages