SAFU »

05Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA mmoja umeisha tangu serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba Maendeleo ya Makazi kwa kushirikia na Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), zibomoe nyumba 250 za wakazi...

05Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mjadala

KUWAPO kwa pikipiki nchini maarufu kama 'bodaboda', kumekuja kurahisisha usafiri kwa baadhi ya abiria, ingawa madereva wanakabiliwa na changamoto nyingi zikiwamo za ajali.

04Jan 2017
Richard Makore
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

UTAWALA wa Rais John Magufuli, ulipoingia tu madarakani mwishoni mwa mwaka juzi ulikuwa ukiwasisitiza na unaendelea kuwasisitiza watumishi wa umma waache kufanya kazi kwa mazoea.

03Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

DALILI zaonesha lugha ya Kiswahili yapelekwa arijojo (hali ya kupoteza mwelekeo) kutokana na matumizi ya maneno ya mitaani!

03Jan 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

INASHANGAZA zaidi kuwa kwa siku hizi kigezo kikuu cha mafanikio katika elimu kimeanza, na kubakia kuwa idadi.

03Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NENO ajira ni pana sana. Ni neno ambalo kwa vijana wengi wanapolisikia linatamkwa kutoka sehemu yoyote, moyo wao hutamani kuipata shughuli hiyo.

02Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

Mwaka 2016 haukuwa mzuri sana kwenye tasnia ya michezo nchini.

02Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

HERI ya mwaka mpya. Naungana nanyi kumshukuru Mungu kwa kutuvusha salama kutoka 2016 hadi 2017.

01Jan 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, chini ya mpango wa kuwezesha umiliki wa ardhi, imezindua Programu ya Kuwezesha Umiliki Ardhi kwa majaribio ya miaka mitatu kuanzia 2015/2016 ambayo...

01Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nawaza kwa Sauti

HERI ya mwaka mpya wasomaji wa magazeti ya The Guardian Limited, nawashukuru sana kwa namna ambavyo mmekuwa pamoja nami kwa mwaka 2016, karibuni tena mwaka huu katika safu ya Nawaza kwa Sauti...

01Jan 2017
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

JUMAPILI hii ni siku ya kwanza ya mwaka huu wa 2017, mamilioni ya wananchi wengi kote duniani wanasherehekea kwa hamu kubwa kuuona mwaka mpya wa 2017, huku wakiendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu...

31Dec 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“TAMAA nyingi mbele kiza.” Ukiwa na tamaa nyingi lazima uzingatie kuwa huko mbele unakoenda kuna kiza (giza) totoro!

31Dec 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

BAADA ya kuona walevi wenzangu tena vihiyo na wasio na ujanja hata nusu yangu wakianzisha madhehebu yao na kuukata, nami nimeamua nianzishe kitu hii lau niweze kuendesha michuma ya “zawadi’...

Pages