SAFU »

20Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MOJA ya mifumo ambayo ilisaidia au kudhibiti watu waliokuwa wakihama sehemu moja kwenda nyingine kinyume cha sheria ni ule wa wajumbe wa nyumba 10 au mabalozi wa shina, waliokuwa wakifuatilia...

20Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

USIJIVUNIE kitu ambacho si chako. Hatupaswi kuvionea fahari vitu visivyokuwa vyetu. Tuvionee fahari vitu vyetu wenyewe.

19Feb 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

MOJA ya vitu ambavyo mchezaji anatakiwa kuwa navyo pamoja na  uwezo wa kucheza soka, nidhani ndani na nje ya uwanja.

19Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SOKA ni mchezo unaopendwa zaidi duniani miongoni mwa mamia ya michezo iliyopo.

17Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KWA mtazamo wangu, nadhani Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu imekuwa ngumu kuliko zilizopita. Msimu huu timu ziitwazo ‘kubwa’ kwa maana ya Simba, Yanga na Azam zinashinda kwa mbinde (taabu kubwa...

17Feb 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

MTAANI kwako kuna watu wanawakopesheni kwa riba? Tena kwa kila Shilingi 100,000 mkopaji hudaiwa Sh. 30,000? Chunga, kuanzia sasa fahamu hii ni biashara haramu isiyokubalika kisheria.

16Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

INASIKITISHA kuona wanakijiji wanapomkimbiza ofisa kilimo, ambaye yupo kwa ajili ya kuwaelimisha katika masuala ya kilimo.

15Feb 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

SUALA la usafi wa mazingira, ni jukumu la kila mmoja wetu kuhakikisha anaishi katika mazingira safi.

14Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MWAKA 2014 wakati akitangaza kuanza kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete aliwahimiza wajumbe wa Bunge hilo na hasa viongozi wa vyama vya siasa kuweka mbele...

13Feb 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KUNDI la wakulima ambalo ndilo kubwa kabisa nchini, bado linakabiliwa na changamoto mbalimbali.

13Feb 2018
Barnabas Maro
Nipashe
Tujifunze Kiswahili

“ASIYEJUA maana haambiwi maana.” Hapana haja ya kujisumbua kumweleza mtu asiyejua faida ya jambo.

12Feb 2018
Adam Fungamwango
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

NILIWAHI kuandika kwenye safu hii juu ya wapenzi wa soka nchini   'kuzichukulia poa' timu za St Louis ya Shelisheli na hata  Gendamarie ya Djibouti.

10Feb 2018
John Juma
Nipashe
Mionzi ya Sheria

BAADHI ya wasimamizi wa mirathi ni wakorofi, kwani baada ya kuteuliwa kwenye jukumu hilo hawapendi kugawa mali ili kila mrithi achukue stahiki yake.

Pages