SAFU »

14Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

BAADHI ya wanachama na mashabiki wa Simba walikuwa wakipiga kelele kuwa 'mchawi' aliyekuwa akisababisha timu yao isifanye vizuri ni viongozi.

14Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alipokutana na viongozi wa vyama vya michezo nchini jijini Dar es Salaam hivi karibuni, aliliagiza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhakikisha...

13Mar 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Afya

Wiki iliyopita tulijifunza maana ya UTI, kifupisho cha kitaalamu cha ugonjwa wa maambukizi ya njia ya mkojo kuwa ni ‘Urinary Tract Infection’.

13Mar 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

MATUKIO ya wanawake kudhalilishwa hadharani kwa kuvuliwa nguo au kushikwa maumbile yao, yanaonekana kushika kasi, na watu wanaofanya vitendo hivyo wakiachwa bila kuchukuliwa hatua zozote.

13Mar 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu hivi karibuni aliutaja mkoa wa Iringa kuongoza kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wapya wa kipindupindu ikilinganishwa na mikoa 11...

13Mar 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Maisha Ndivyo Yalivyo

MPENZI msomaji, leo hebu tujuzane kwa mhutasari kuhusu baadhi ya nguvu waliyo nayo wanawake, kwamba tusiitizame tu katika duru la siasa, bali hata katika maandiko ya Mungu aliyeumba mbingu, nchi...

12Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

“ATANGULIAYE kufika huchagua pa kukaa,” walisema wahenga. Anayefika mahali mapema huweza kuchagua pa kukaa kabla ya wengine hawajafika. Ni methali inayotuhimiza tuwe na tabia ya kuwahi vitu mapema...

12Mar 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Hekaya za Mlevi wa Canada

HAKUNA wakati aliowahi kunikuna Rais wangu Joni Kanywaji Mugful kama ulipoamua kumtolea uvivu jamaa yangu Muombeni Sifui. You know what? Jamaa naye ni jipu aliyeshiriki kwenye utawala jipu uliozaa...

11Mar 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mtazamo kibiashara

TULIONA wiki iliyopita kuwa, bei ya dhamana za serikali za muda mfupi huuzwa kwa punguzo kwa kila shilingi 100, anayokuwa ameiwekeza mfanyabiashara pale anaponunua hati fungani hizo.

11Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

MAENDELEO ni mchakato endelevu na inaelezwa kuwa kufikia maisha bora ni harakati za maisha yote ya mwanadamu.

10Mar 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

KESI za ubakaji hapa nchini zinakabiliwa na changamoto nyingi zikiwamo za mashahidi kushindwa kujitokeza kutoa ushahidi, hatua ambayo inaifanya mahakama kushindwa kuwatia hatiani watuhumiwa.

10Mar 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Mjadala

SUDAN Kusini sasa imekuwa mwanachama wa sita wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya kukubaliwa rasmi na mkutano wa wakuu wa jumuiya hiyo wiki iliyopita jijini Arusha.

09Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

HIVI sasa dunia inashuhudia mabadiliko katika mifumo tofauti ya kijamii nchini, ikiwa ni matokeo ya uongozi wa Rais John Magufuli.

Pages