BIASHARA »

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael ( katikati) akizungumza na waadishi wa habari katika hafla ya ushirikiano kati ya Tigo Tanzania na kampuni ya Sumsang.

23Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imeungana na kampuni ya Samsung kwa ajili ya kuwapatia wateja wake nafasi ya kwanza kumiliki simu mpya za kisasa za Sumsang S9 na Samsung S9+ zilizojazwa bando...

Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic, Ken Cockerill.

23Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

BENKI ya Stanbic Tanzania imezindua programu maalumu ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wake wa...

Rais John Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri wa Ulinzi wa Israel, Avigdor Lieberman baada ya kikao baina yao Ikulu jijini Dar es Salaam jana. PICHA: IKULU

23Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

RAIS John Magufuli jana alikaribisha wawekezaji kutoka Israel kuja kuwekeza katika sekta za...

21Mar 2018
George Tarimo
Nipashe

UCHAKAVU wa mashine za Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido), umewashangaza wabunge na...

21Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa jana alimkabidhi Tecla Hamidu ambaye ni mlemavu wa miguu Sh....

20Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SERIKALI imeipongeza mifuko ya Hifadhi ya Jamii  ya NSSF na PPF kwa kuyakutanisha makundi...

20Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, kwa kushirikiana na mtandao wa Instagram,...

20Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe

MRATIBU wa Mafunzo, Semeni Segelah amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa...

20Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JESHI la Magereza limetiliana saini makubaliano na asasi ya kiraia ambayo itatoa elimu ya...

Pages