NIPASHE

15Mar 2018
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza jana jijini hapa, Kaimu Mkuu wa Takukuru, Frida Wikesi, alisema ofisi yake ilipokea taarifa kwa raia wema Machi 9, mwaka huu, kuwa mwenyekiti huyo amegeuza mtaji vitambulisho hivyo....

Mwanajeshi Ramadhan Mlaku, akiwa amebebwa kwenye kitanda cha machela wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.

15Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Jana saa 5:10 asubuhi, gari ya wagonjwa lenye za usajili 3406 JW12 ya JWTZ iliingia katika viunga vya Mahakama ya Kisutu.Ndani ya gari hiyo, mshtakiwa alikuwa chini ya ulinzi wa Polisi Jeshi na...
15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mojawapo katika hilo huwa ni madini ya chuma na vitu vingine katika mahitaji hayo. Kiafya, kuwepo kiasi fulani cha madini hayo na baadhi ya mengine, katika lishe ya mwili wa binadamu ni hitaji muhimu...

Naibu Waziri Dk. Faustine Ndugulile.

15Mar 2018
Yasmine Protace
Nipashe
o Inashika nafasi ya nane kuua wanawake, o Kila mwaka yapeleka nje wagonjwa 35
Kitaalamu, inaelezwa kuwa ugonjwa wa figo unatokana ni matokeo ya kuugua maradhi kama shinikizo la damu pamoja na kisukari. Katika jitihada za kupambana na ugonjwa huo, kuna ushauri wa kijamii...

Balozi wa Ufaransa nchini, Frederic Clavier.

15Mar 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe
OIF inajumuisha nchi wanachama 84 duniani, huku asilimia 43 ya mataifa duniani yanatumia lugha ya kifaransa yenye watu wanaokadiriwa kufikia milioni 300, na nusu yao wanatokea nchi za Afrika.Balozi...
15Mar 2018
Ahmed Makongo
Nipashe
Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya hiyo kwa lengo la kuipunguzia JKT mzigo katika utoaji wa mafunzo kwa vijana wanaojiunga.Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa...
15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Inaelezwa kuwa, sababu kuu inatokana na kupungua nguvu ya mishipa ya misuli mwilini.Watafiti wanasema katika kazi zao kuwa, katika idadi ya watu 168 waliofanyiwa majaribio, ni kwamba mtu anapofika...

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia mtoto na mama yake baada ya kuongea na wananchi eneo la Kigongo akiwa katika ziara. picha na maktba

15Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Alikuwa akiweka jiwe la msingi la sehemu ya pili ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ambayo itaanzia Morogoro hadi Makutupora Dodoma.Katika hafla hiyo iliyofanyika Ihumwa Manispaa ya Dodoma, Rais...

Mwasisi na Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Dk. Ntuyabaliwe Foundation, Jacqueline Mengi aikata utepe kuashiria uzinduzi wa maktaba yenye vitabu vya kitaaluma na hadhithi alivyokabidhi kwa uongozi wa Shule ya Msingi Uhuru katika Manispaa ya Morogoro jana, kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi kujisomea nyakati za masomo shuleni hapo. Mwenye koti ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Muchunguzi Lutagwelera. PICHA: ASHTON BALAIGWA

15Mar 2018
Ashton Balaigwa
Nipashe
Muasisi na Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Dk. Ntuyabaliwe Foundation, Jacqueline Mengi alisema hayo jana mara baada ya kuzindua maktaba yenye  vitabu vya kitaaluma na hadhithi.Baadaye aliikabidhi...

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

15Mar 2018
Paul Mabeja
Nipashe
Makabidhiano hayo yalifanyika jana mbele ya viongozi wa Shirika la Kusimamia Viwanda Vidogo (SIDO), ambao ni mwendelezo wa kujenga viwanda vya mfano ulioanzia mikoa ya Kanda ya Ziwa.“Lengo la...

Vifo bodaboda.

15Mar 2018
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Jemin Mushi, alisema  alibainisha hayo wakati akitoa taarifa ya ajali za barabarani zilizotokana na  bodaboda kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoani...
15Mar 2018
Margaret Malisa
Nipashe
Uwezeshaji huo imefanywa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), ambayo imekikabidhi kikundi cha wakulima wa mboga cha wanawake cha Faraja Women Group hundi ya Sh.milioni nne kwa ajili ya...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando.

15Mar 2018
Gurian Adolf
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando, alisema jana kuwa tukio la kuuawa kwa mzee huyo, Paul Kisiwa (72), mkazi wa Kijiji cha Ng’ongo lilitokea jioni Machi 3, mwaka huu kwenye Kijiji...

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime.

15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kagera Sugar ambayo imeshacheza mechi 22 sasa imefikisha pointi 21 na katika msimamo wa ligi hiyo iko kwenye nafasi ya 14.Akizungumza na gazeti hili jana, Maxime, alisema kuwa bado wachezaji wake...
15Mar 2018
Renatha Msungu
Nipashe
Mashindano hayo yatafanyika Machi 24 hadi 25 mwaka huu na yatashirikisha waogeleaji kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara.Katibu Mkuu wa Chama cha Kuogelea Nchini (TSA), Ramadhan Namkoveka,...

MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura.

15Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa TFF, Clifford Ndimbo, alitaja kosa la kwanza la Wambura ni kupokea fedha za shirikisho hilo ambazo malipo hayakuwa...

Emmanuel Okwi.

15Mar 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Mganda huyo aweka wazi kuwa wanakwenda Misri bila hofu huku wakiomba bahati...
Kikosi cha Simba inayodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo ya SportPesa kiliondoka nchini jana jioni na kitaweka kambi ya muda katika jijini la Cairo kabla ya kesho kuelekea Port Said ambapo...

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Reli TRC Masanja Kadogosa akitoa maelezo ya mradi huo wa Reli ya kisasa ya umeme kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli PICHA NA IKULU

15Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Rais Magufuli alibainisha hayo jana alipokuwa akiweka jiwe la msingi la sehemu ya pili ya ujenzi wa reli hiyo ambayo itaanzia Morogoro hadi Makutupora mkoani Dodoma, ambao hafla yake ilifanyika...

Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Rais wa Mauritius Dk.Ameenah Gurib-Fakim wakati alipofanya ziara nchini Tanzania mwaka jana.

14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Bi Gurib-Fakim amekanusha madai kwamba alitumia maelfu ya dola kwa matumizi binafsi kwa kutumia kadi ya benki ya shirika la msaada.Ofisi yake imesema matumizi hayo yalikuwa bahati mbaya na fedha...
14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, imetajwa kuwa nchi yenye idadi kubwa ya wanawake wanaozalisha kwa wingi zao hilo, tani tano hadi nane kwa hekta ikilinganisha na nchi ya Msumbiji na Kenya.Hayo yamebainishwa na mtaalamu...

Pages