NIPASHE

kiungo wa Azam FC, Farid Mussa (kulia) akimtoka beki wa Yanga, Juma Adbul.Picha ya maktaba.

20Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
...Farid akifanikiwa kupata klabu ataungana na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kucheza soka kwenye nchi hiyo
Nyota huyo alitakiwa kwenda Ubelgiji kufanya majaribio katika klabu mbili tofauti lakini uongozi wa Azam FC ulimuomba wakala wake amruhusu kuitumikia timu hiyo kwenye mechi hizo mbili za kimataifa...
20Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Mvutano uliopo unahusu uundwaji wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), ambazo hazina wenyeviti tangu kufanyika kwa uchaguzi wa Wenyeviti wa Kamati za Kudumu...

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule, akijadili jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.PICHA: HALIMA KAMBI

20Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Baada ya kumalizika kwa kikao cha PAC, kilichofanyika kwenye jengo la ofisi za utawala za Bunge mjini hapa jana jioni, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Aeshi Hilary, aliiambia Nipashe kuwa kamati...

Kaimu Katibu Mkuu wa BMT, Mohamed Kiganja.

20Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Kaimu Katibu Mkuu wa BMT, Mohamed Kiganja, alisema kuwa wamefikia hatua hiyo baada ya Yanga kushindwa kufanya uchaguzi wake kwa miaka miwili kwa kisingizio cha...

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon.

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa Mogens Lykketoft, aliyesimamia kikao cha maswali na majibu, amesema amevutiwa kuona jinsi mataifa takriban yote 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa...

Amatus Liyumba.

20Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mtoto wa marehemu, Moses Amatus, akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam jana, alisema mipango na taratibu za mazishi ya marehemu inaendelea kufanyika kati ya ndugu na jamaa....

Dk. Harrison Mwakyembe.

20Apr 2016
Hekima Akilimali
Nipashe
La kusisitiza hapa si tu ile haki au fursa ya kutoa madai, lakini kuwa wana uwezo, haki na uhalali wa kufanya hivyo. Kwa miaka mingi, asasi za kiraia pamoja na vyama vya kisiasa vinavyoonekana...

naibu waziri wa Kilimo, Misitu, Maliasili, Uvuvi na Mifugo, Lulu Mshamu Abdallah.

20Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Lulu ni mwanamke mwenye umri wa miaka 28 ambaye anaimani kuwa wanawake wanaweza iwapo tu wataondolewa vikwazo vinavyoikabili jamii ikiwamo suala la mfumo dume. Anasema kuwa atahakikisha anaitumia...
20Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Miongoni mwa ahadi hizo zilikuwa ni kupambana na kero mbalimbali zimekuwa zikiwakabili Watanzania ili kuhakikisha kwamba kila mmoja anafaidika na rasilimali za nchi hii na siyo kundi la watu wachache...
20Apr 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Madini hayo yaliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), yakiwa katika mpango wa kutoroshwa bila kufuata taratibu za kisheria. Baada ya kukamatwa yalitaifishwa na serikali....
20Apr 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe
Hatua ya vyuo hivyo ni mchango wao katika harakati za wilaya hiyo kutatua upungufu wa madawati na kuwafanya wanafunzi kukaa chini. Vyuo vilivyokubali kutengeneza madawati kwa bei ya chini ni Kyela...
20Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Sambamba na hilo, pia viongozi wa aina hiyo wamekuwa na tabia ya kutofanya mikutano mikuu ya wanachama ili kutoa taarifa za matumizi na mapato kwa wakati kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za...
20Apr 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Zipo sababu kadha wa kadha zilizokuwa kishawishi kwa waasisi wa tawala za Tanganyika na Zanzibar, kupata maono yaliyohusu haja ya kuwepo Muungano, kisha wakafikia hatua hiyo iliyoushangaza na bado...

Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi, akizungumza wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kupitia mpango wa Airtel ‘Fursa Tunakuwezesha’, yaliyofanyika kwenye Ukumbi Urafiki jijini Dar es Salaam jana.

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Warsha hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Urafiki, jijini Dar es Salaam jana. Katika warsha hiyo, mmoja wa vijana walioshiriki, Stephano Gimase, alielezea biashara yake ya ufugaji wa kuku mbele ya...

Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL)Mwanza, Richmond Raymond.

20Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) cha Mwanza, Richmond Raymond, wakati akitoa mada kwenye semina kuhusu kujenga uchumi na maendeleo endelevu iliyofanyika jijini Dar es...

Rais John Magufuli akiteta jambo Dk. Ramadhani Dau.

20Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli ambaye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa daraja hilo jana, lenye urefu wa mita 680, alisema Dk. Dau alifanya kazi kubwa ya kuhakikisha ujenzi wa daraja hilo unakamilika kwa wakati...
20Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Ni mfumo wake aliotumia kumsimamisha Mkurugenzi Dar, mwenyewe afunguka juu ya hatua iliyochukuliwa dhidi yake, Rais pia amfagilia Dau..
Kauli ya udunguaji, hutumiwa sana pale ndege inaposhambuliwa na kuangushwa, huku ile ya utumbuaji ikiwa ni msemo aliouanzisha Rais Magufuli kwa kusimamisha au kufukuza viongozi wa umma, wanaokabiliwa...

Dk Philip Mpango.

20Apr 2016
Restuta James
Nipashe
Mchumi asema elimu imeparanganyika na inadidimia zaidi…
Watu wengi walitamani sana serikali ya awamu ya tano izingatie matakwa ya wananchi katika kupanga mambo yake ikiwamo bajeti, lakini hilo ni kama halijawezekana. Hii ni kwa sababu, kwa zaidi ya...

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina, akijibu swali bungeni, mjini Dodoma jana.
PICHA: HALIMA KAMBI

20Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Akizungumza bungeni jana wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Momba David Silinde (Chadema) aliyeitaka serikali ieleze vyanzo na namna itakavyokamilisha kwa wakati miradi yote ya umeme...
20Apr 2016
Restuta James
Nipashe
Kuanzia kwenye utumbuaji majipu ya wakwepa kodi, wanaojinufaisha kupitia ofisi za umma hadi watumishi hewa, kote ni matatizo matupu. Jana Bunge la Bajeti limeanza mjini Dodoma ambalo litajadili na...

Pages