NIPASHE

06Jul 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Ni dhahiri kuwa timu zetu za kandanda nchini zimekuwa kama watu wanaosindikiza wengine kwenye mafanikio kisha wasindikizaji kurejea nyumbani mikono mitupu. Hufanywa kama ‘viwanja’ vya...
06Jul 2019
Mhariri
Nipashe
 Kumalizika kwa msimu mmoja, ni mwanzo wa maandalizi ya msimu unaofuata, iwe ni wa mashindano ya ngazi ya wilaya, kitaifa au kimataifa.Wakati kiuhalisia, msimu au kalenda ya Fainali za Kombe la...

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa

06Jul 2019
Renatha Msungu
Nipashe
Sambamba na hilo, amesema serikali itaendelea kuzingatia ombi la viongozi wa kidini kutafuta suluhu ya mambo mbalimbali ya maendeleo bila kuathiri Katiba ya nchi. Majaliwa aliyasema...
06Jul 2019
Happy Severine
Nipashe
Akisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Fredrick Lukuna na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Inspekta Nassib Sweddy,  ilidaiwa kuwa Nyandu alifanya mauaji hayo Julai 2, mwaka huu saa 9:00...

WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga.

06Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika kikao kazi kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Kilimo, Mhandisi Raouf, alimweleza Hasunga kuwa lengo la ziara yake ni kuangalia uwezekano wa kutumia fursa ya mkopo nafuu  inayotolewa na...
06Jul 2019
Gurian Adolf
Nipashe
Kamanda wa  Polisi Mkoa wa katavi, Benjamin Kuzaga, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa juzi majira ya saa 2.30 usiku.Alisema askari polisi walipata taarifa kuwa mtuhumiwa huyo ...

MBUNGE wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka.

06Jul 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Katika mahojiano maalum na ‘blog’ ya Millard Ayo, Prof. Tibaijuka alisema anastaafu kwa sababu yeye ni kizazi cha Mwalimu Julius Nyerere ambaye aliwafundisha kung’atuka.“Mimi...

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),  Jaji Semistocles Kaijage

06Jul 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),  Jaji Semistocles Kaijage,  alitangaza hatua hiyo jana jijini Dar es Salaam na kusema kuwa ratiba inatokana na barua ya Spika wa Bunge, Job...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola.

06Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mwiseni, Kata ya Butimba, Jimbo la Mwibara, Bunda, mkoani Mara, Lugola alisema uhakiki huo unalengo kuangalia taasisi hizo kama...
06Jul 2019
Beatice Moses
Nipashe
Massawe, alikuwa mgane, alikuwa mfanyabiashara na mkazi wa mtaa wa Ukombozi, Kata ya Saranga, Ubungo jijini Dar es Salaam.Baadhi ya mashuhuda walisema Massawe alijiua  siku kadhaa zilizopita...
06Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe
Marais hao waliyasema hayo jana wilayani Chato mkoani Geita baada ya Rais Kenyatta kuwasili Tanzania kwa ziara binafsi ya siku mbili.Akizungumza na Watanzania, Rais Kenyatta alisema: “Unajua...

Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Issa.

06Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe
Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Issa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari huku akidai kuwa ndani ya matibabu hayo kuna harufu ya ufisadi.Issa alidai...

Ally Shomary wa Mtibwa Sugar

06Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nyota ambao wametangazwa kutua Kagera Sugar jana kuwa ni pamoja na Abdallah Seseme kutoka Mwadui FC ya mkoani Shinyanga, Ally Shomary wa Mtibwa Sugar na Zawadi Mauya ambaye alikuwa akiitumikia Lipuli...
06Jul 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa TFF, Clifford Ndimbo, alisema kuwa shirikisho hilo litasikitika kukuta kuna klabu imefanya usajili bila ya kukamilisha...

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Dismas Ten.

06Jul 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Dismas Ten, alisema bado wanaendelea kuzungumza na Gadiel ili aweze kusaini mkataba mpya, lakini ameweka wazi kwamba beki huyo yupo...

Swedi Mkwabi.

06Jul 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ashangazwa kuhusika kuhujumu klabu hiyo pamoja na mgawanyiko uliopo...
kiongozi mkuu wa mabingwa wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Swedi Mkwabi, ameibuka na kusema naye anashangazwa na hali hiyo iliyopo.Hofu ya "ndoa" kati ya MO na mabingwa hao wa Ligi Kuu...

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo

06Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Jafo ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi unaoendelea katika Shule za sekondari zikiwemo Sekondari za Kibuta, Kurui, Mzenga, na Kimani, pamoja na ukarabati wa Hospitali ya wilaya ya...

Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani, dawasa Rosemary Lyamuya.

06Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ameitoa leo wakati alipotembelea banda la DAWASA katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya 43 maarufu Saba Saba."Kama kuna wateja ambao wanatumia maji bila kutumia mita wanatakiwa...

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla.

05Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Kigwangalla aliyasema hayo jana jijini Mwanza alipofungua mkutano wa mwaka wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) na wahariri na waandishi waandamizi nchini.Katika mkutano huo uliokwenda...
05Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msemaji wa Jeshi hilo, Mrakibu (SP) Amina Kavirondo, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa wafungwa hao wamepelekwa katika magereza hayo ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kutaka...

Pages