NIPASHE

13Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Kwa mujibu wa Ofisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Moshi, Magreth Reuben, kundi la watoto wa kiume pia liko katika hatari ya kuathiriwa na vitendo hivyo kutokana na viashiria na idadi ya matendo ya...
13Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Kampuni ya Match Maker Tanzania ambayo inafanya kazi kwa karibu na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV), linaloendesha mradi wa faida maziwa kwa wafugaji wa wilaya za Hai na Siha, mkoani...

wakulima na wafugaji

13Aug 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza jana kwenye maonyesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini yaliyomalizika kwenye viwanja vya Themi jijini hapa Agosti 12, mwaka huu, Mratibu wa mauzo wa kampuni ya mbegu ya Kibo Seed, Hassan...
13Aug 2019
Allan lsack
Nipashe
Wito huo ulitolewa jana na Ofisa Elimu wa Shule za Msingi wa Jiji la Arusha, Sarah Mwangasa, wakati alipokuwa katika hafla fupi ya ugawaji wa msaada wa sare za shule, mabegi na vyakula uliotolewa na...
13Aug 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
NIANZE kwa kuungana na wananchi wenzetu wa mkoa wa Morogoro na wote walioguswa kwa namna moja au nyingine na msiba mzito uliolikumba taifa letu, kufuatia vifo vya Watanzania 71 kwa takwimu za hadi...
13Aug 2019
Mhariri
Nipashe
Tanzania ni miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya hiyo yenye historia ya aina yake. Ni miongoni mwa nchi zilizokuwa mstari wa mbele katika ukombozi na mapambano dhidi ya ubaguzi na utawala dhalimu...
13Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Dawa hiyo yenye uwezo wa kuua mazalia ya mbu,inatajwa iwapo ingetumika miezi kadhaa iliyopita ingesaidia kupunguza idadi ya waliougua ugonjwa wa dengue. Hayo yalibainishwa na Meneja Ubora wa TBPL...
13Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Viongozi hao ambao ni walalamikiwa katika kesi hiyo ni wadhamini wa kanisa hilo, Mchungaji Christomoo Ngowi na Mchungaji Asumwisye Mwang'mbola (kwa sasa marehemu).Wengine ni Askofu Mkuu Brown...

mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Salma Kikwete

13Aug 2019
Said Hamdani
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Salma Kikwete, alipokuwa akitoa salamu kwa wananchi waliojitokeza katika kilele cha Siku ya Wakulima, Nanenane Kanda ya...

Dk. Leonard Akwilapo

13Aug 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Mabadiliko hayo ni pamoja na mitaala ya shule za msingi na sekondari ambayo yalianza kutumika mwaka 2015.Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Leonard Akwilapo, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa...

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

13Aug 2019
Beatrice Shayo
Nipashe
Makonda alisema hayo jana wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio wa rais huyo, jijini Dar es Salaam.Mkutano wa viongozi wa SADC unatarajiwa kuanzia Agosti 16 na Rais Dk. John...

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally

13Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema kitendo kilichofanywa na viongozi hao wa wilaya ni cha kinyama kwa kuwa kimefanywa dhidi ya raia wasiokuwa na hatia.Akizungumza na wanachama wa CCM wilayani Meatu mkoani Simiyu kwenye ziara...

Seleman Jaffo

13Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jafo alisema hayo jana katika Baraza la Eid na sala ya Eid el-Hajj kitaifa iliyofanyika katika viwanja vya Masjid Kibadeni Chanika jijini Dar es Salaam, ambako alikuwa mgeni rasmi.“Ajenda ya...

Rais wa Zanzibar, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein

13Aug 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Sambamba na hilo, wametakiwa kuendelea kuwaombea viongozi wakuu wa serikali ili wawe na busara na hekima katika kuliongoza vyema taifa.Wakati hayo yakihimizwa, Rais wa Zanzibar, Alhaj Dk. Ali Mohamed...

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni

13Aug 2019
Romana Mallya
Nipashe
Masauni alitoa kauli hiyo jana mjini Morogoro mara baada ya swala ya Eid iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Mkoa huo.Kiongozi huyo wa wizara alisema kusambaza mitandaoni picha za marehemu ni...
13Aug 2019
Idda Mushi
Nipashe
-panawekwa uzio na kujengwa mnara maalum utakaokuwa na majina yote ya marehemu.Lengo la ujenzi wa mnara na uzio ni kulifanya eneo hilo kuwa kumbukumbu ya tukio hilo la kihistoria.Waziri Mkuu alisema...
13Aug 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mkutano ujao wa Bunge la 11 unatarajiwa kuanza Septemba 3, mwaka huu ukitanguliwa na vikao vya kamati za kudumu za chombo hicho cha kutunga sheria.Vilevile, kambi hiyo imesema katika hoja yake hiyo,...
13Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baadhi waupinga wakidai unalenga kukusanya mapato zaidi, Wanaoukubali wasema unasaidia kufuatilia mienendo ya madereva wao, Nchi jirani ‘zatia timu’ nchini kujifunza
Mnamo mwaka 2017 Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (LATRA), zamani SUMATRA ilianza kuufanyia majaribio mfumo wa kielektroniki wa kufuatilia mwenendo wa kasi ya magari, hususani mabasi ya abiria...

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Riziki Pembe (katikati), akizungumza wakati akifunga kongamano la kimataifa la Vyombo vya habari vya Kiswahili lililoandaliwa na Kigoda cha Mwalimu Nyerere Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. PICHA: MTANDAO

13Aug 2019
Michael Eneza
Nipashe
Ulazima huo unakubalika hata kwa wahafidhina wa kukua kwa lugha ya Kiswahili ambao wanataka lugha hii ibaki katika uzio wa lugha za kikabila za Pwani na upeo wake uwe ni Kiarabu ambako Kiswahili...
13Aug 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Umoja wa vitawe ni kitawe. Vitawe huchukua umbo au mofolojia –sarufi- yaani tawi la isimu linalohusika na uchambuzi na uchanganuzi wa kanuni na mifumo inayohusu upangaji wa maneno katika lugha...

Pages