NIPASHE

14Aug 2019
Romana Mallya
Nipashe
Imeelezwa kuwa tayari wanawake 150 wamejitoleza kupatiwa matibabu hayo ya kibingwa huku yakifanyika kwa mafanikio makubwa kwa mmoja wao.Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Hospitali ya Aga Khan, Aidan Njau...

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), Edwin Soko

14Aug 2019
Neema Emmanuel
Nipashe
Wito huo umetolewa jijini hapa na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), Edwin Soko, na kusema akumbukumbu zinaonyesha kuwapo kwa matukio mengi ya ajali za malori kupata...
14Aug 2019
Christina Haule
Nipashe
Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe, miili minane ipo chumba cha kuhifadhia maiti kwenye Hospitali ya Rufani mkoani Morogoro.Alisema kati ya miili minane iliyopo chumba cha...

Ziwa Chala

14Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Ziwa hilo liko mpakani mwa nchi ya Kenya na Tanzania, takribani kilomita 45 kutoka barabara kuu ya Moshi-Taveta.Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana baada ya kufanya utalii wa ndani, wakati wa...
14Aug 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Waliomba kupitia awamu ya tatu ya mpango wa usambazaji wa nishati ya umeme vijijini wapate nishati hiyo, ili visima na viwanda vidogo viweze kukamilika na kuwanufaisha kiuchumi. Wananchi hao...

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Augustine Mahiga

14Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Waziri Mahiga alitoa rai hiyo mwishoni mwa wiki wakati wa maadhimisho ya pili ya Siku ya Usajili wa Matukio Muhimu kwa Binadamu na Takwimu Barani Afrika yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Alisema...

Yanga

14Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yanga jana imeelekea mkoani Kilimanjaro kuweka kambi ya kujiandaa na mechi yao ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers itakayopigwa Agosti 24, mwaka huu mjini Gaborone,...

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (59)

14Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Malinzi alitoa madai hayo jana wakati akijitetea dhidi ya mashtaka ya kughushi na kutakatisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.Akiongozwa na Wakili wa Serikali, Richard...

utra sound

14Aug 2019
Happy Severine
Nipashe
Mashine hiyo pamoja na kifaa chake cha kudurufu karatasi (printer) na nyaya zake zote viliibwa Agosti 5, mwaka huu, majira ya mchana na mpaka sasa havijapatikana.Akiongea na waandishi wa habari...

kipa mpya wa Simba, Beno Kakolanya

14Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Manula ambaye hajaichezea Simba tangu aiache kambini Afrika Kusini na kurejea kujiunga na Taifa Stars, kukosekana kwake kumetoa nafasi kwa Kakolanya kuweza kuonyesha ubora wake ambao sasa...
14Aug 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Aidha, wamekumbushwa kuachana na mfumo  dume wa kuwapeleka watoto wa kike machungani na kuwapendelea zaidi watoto wa kiume.Hayo yalisemwa jana na mdau wa elimu ,Paulo Ndari, wakati akizungumza...

MKUU wa wilaya ya Babati, Elizabeth Kitundu

14Aug 2019
Jaliwason Jasson
Nipashe
Hayo alisema  jana Kitundu  katika Baraza la Idd, lililofanyika mjini Babati katika uwanja wa Kwaraa."Hakika bila ninyi viongozi wa dini kufanya kazi nzuri ya kuwaambia  wananchi...
14Aug 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Kila nikifungua mitandao ya kijamii na hasa YouTube nakutana na video za Lukuvi akifafanua mambo mbalimbali ya ardhi yanayogusa maisha ya watu, hasa walioporwa haki zao na wenye nguvu ya kifedha na...
14Aug 2019
Mhariri
Nipashe
Tunafahamu kuwa ajali za barabarani na vifo vinavyohusiana na vyombo vya usafiri ni jambo ambalo kila wakati linaipasua kichwa serikali na wadau wengine wa usafiri na usafirishaji.Tunatambua kuwa...
14Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Kadhalika, amedai atawafanyia kitu kibaya ambacho mahakama hiyo, haitatarajia kwa kuwa ameshachanganyikiwa na hajui mtoto wake yuko wapi, hivyo anahitaji amani ya moyo.Mshtakiwa huyo alitoa madai...

mashine ya chausiku.

13Aug 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
David Msemwa ambaye ni mmoja kati ya wabunifu wa ATM hiyo amesema mwanafunzi wa kike ama mtumiaji yoyote anaweza kujua mashine hiyo iliyopewa jina la Chausiku ilipo kupitia programu maalum...

gari lilokamatwa na pamba.

13Aug 2019
Happy Severine
Nipashe
 Gari hilo lenye  namba za usajili T 917 BCN lilipakia pamba hiyo ikiwa imekusanywa nyumbani kwa mtu katika kata ya Gilya Wilayani Bariadi kinyume na utaratibu kwani utaratibu umeelezwa...

Afisa kutoka Shirika la Tembo Trust Mary Laizer.

13Aug 2019
Zanura Mollel
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa na Afisa kutoka Shirika la Tembo Trust Mary Laizer katika semina ya kamati ya lishe wilayani humo na kusema sababu ya jamii kuwanyima wajawazito lishe bora ni kuwawezesha...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

13Aug 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).Makonda amesema amepanga...
13Aug 2019
Romana Mallya
Nipashe
Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam Dk Aidan Njau amesema mpaka sasa mtu mmoja amefanyiwa upasuaji huo huku wengine 150 wamejitokeza kupatiwa huduma hiyo....

Pages