NIPASHE

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa

15Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu aliyasema hayo jana wakati akizindua Kongamano la Wiki ya Kagera na Mwongozo wa Uwekezaji mkoani humo, mjini Bukoba, na kuwataka Watanzania wahakikishe wanachangamkia fursa za biashara...
15Aug 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
 yashindwa kuhimili barid
-walishindwa kuhimili baridi ya mjini Moshi, hivyo kulazimika kusubiri hadi jioni ili kuweza kufanya mazoezi, imeelezwa.Yanga itaifuata Township Rollers ikiwa ni siku mbili baada ya kuivaa AFC...
15Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Ofisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Silvania Ignace, alisema jamii inapaswa kuachana na hulka hiyo ya kuwaonjesha pombe watoto wadogo, lakini pia kufahamu pombe inaweza...
15Aug 2019
Mhariri
Nipashe
Rais Magufuli anayarajia kupokea kijiti cha uenyekiti wa jumuiya hiyo kubwa katika eneo la Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka viongozi wakuu wa nchi na serikali za...

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako

15Aug 2019
Allan lsack
Nipashe
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tatu wa kimataifa wa nishati endelevu na technolojia ya maji katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela(NM-AIST), Ndalichako alisema ni...

Kocha Mkuu wa Simba Mbelgiji Patrick Aussems.

15Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*** Asema gharika ya mabao ugenini haitatokea, achungulia ubingwa wa kwanza Ngao Jamii na kuahidi...
-Mbelgiji Patrick Aussems, amesema aibu hiyo haiwezi kujirudia tena msimu huu.Msimu uliopita Simba ilipoteza mechi zake zote za ugenini kwenye hatua ya makundi tena kwa kipigo kitakatifu, kabla ya...
15Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
-kwamba inatupilia mbali maombi yake ya mapitio.Kadhalika, imesema imeangalia mwenendo mzima wa kesi, lakini haijaona kitu kipya katika hoja za mapitio zilizowasilishwa na mlalamikaji na kwamba...
15Aug 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Salum alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na abiria na baadhi ya madereva na utingo wa daladala mjini Zanzibar wanaodaiwa kuwatoza wananchi nauli kubwa kinyume cha iliyopangwa na serikali ambayo...

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu

15Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Katika kesi hiyo, Lissu anapinga uamuzi wa Spika Ndugai wa Juni 28, mwaka huu wa kumvua ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki.Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Mkuu wa Idara ya Habari...
15Aug 2019
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Mtuhumiwa huyo, kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Simon Maigwa,  Masoud alikamatwa juzi akitoa huduma hizo katika kanisa la Jesus Miracle (JMC), eneo la Msamala kwa Gasa, Manispaa...

mkuu wa Wilaya ya Bariadi Festo Kiswaga (katikati) akitoa maamuzi ya kuitaifisha pamba tani 26 zilizonunuliwa kimagendo.

14Aug 2019
Happy Severine
Nipashe
Lori hilo ambalo lilikamatwa jana Agosti 13, mwaka huu katika  kijiji cha Dutwa Wilayani Bariadi Mkoani hapa, lilikutwa majira ya saa tano usiku likisafirisha pamba hiyo bila kibali maalumu...
14Aug 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Imesema majeruhi hao 13 wako kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) na wote wamepoteza ufahamu.Akizungumza na waandishi wa habari jana katika hospitali hiyo, Mkuu wa Kitengo...
14Aug 2019
Happy Severine
Nipashe
Imeelezwa kuwa gari hilo lenye namba za usajili T 917 BCN lilikamatwa juzi saa nne usiku likiwa limepakia iliyokuwa imekusanywa  nyumbani kwa mtu katika Kata ya Gilya wilayani hapa kinyume na...

Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila (aliyenyoosha mkono), anadaiwa kuchangia ucheleweshaji wa kuundwa kwa Baraza la Mawaziri nchini humo.

14Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ilitazamiwa kuwa hadi Machi angekuwa ameunda serikali lakini alikwama kabisa, na hadi kufikia mwezi Mei akawa ameafikiana na rais aliyestaafu kidogo tu, Joseph Kabila, kuwa msaidizi wa karibu wa...
14Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Imedaiwa kuwa kanisa hilo lilijengwa kwa mabanzi likigharimu Sh. milioni 2.5 na lilianza kutumika Machi 27, mwaka huu.Mmoja wa wazee wa kanisa hilo, aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema...
14Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pius Msekwa aeleza misumari ya siri iliyoshikilia Muungano-9
-na Katibu Mtendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), pia mshauri muhimu wa Serikali na chama (TANU na CCM) kwa mengi.Pia Msekwa ana sifa nyingine ya kipekee, kuwa mdau anayefahamu fika picha kamili ya...
14Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Taarifa iliyothibitishwa na Halmashauri ya Wilaya ya Hai na kuwekwa katika tovuti ya serikali, inaeleza kuwa eneo hilo liko katika barabara kuu ya Moshi- Kilimanjaro. Kutokana na taarifa hiyo, Mkuu...
14Aug 2019
Jumbe Ismaily
Nipashe
Akizindua kwa niaba yaa Mkuu wa Wilaya ya Singida, Pascas Muragiri katika ugawaji kitoweo cha wanyama waliochinjwa kwa ajili ya kutolewa sadaka kusherehekea sikukuu ya Eid-Elhaji, Katibu Tawala wa...

MWENYEKITI mpya wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Profesa Palamagamba Kabudi

14Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Profesa Kabudi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alisema nguvu hizo pia zinahitajika kwenye uzalishaji mali na uboreshaji wa miundombinu, hatua ambayo itasaidia...
14Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*** Kila mtu na ashinde kwao yazidi kuwabeba Wekundu wa Msimbazi, rekodi mechi za ugenini kwa Wanajangwani tatizo kubwa...
-matumaini yao ya kusonga mbele. Simba itakuwa nyumbani Uwanja wa Taifa, Agosti 25 kuikaribisha UD Songo ya Msumbiji baada ya timu hizo kutoka sare tasa katika mechi ya awali iliyopigwa mjini...

Pages