NIPASHE

Wananchi wakijipanga tayari kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura. PICHA: MTANDAO

17Jul 2019
Reubeni Lumbagala
Nipashe
Mkoa wa Kilimanjaro umepata heshima ya kuwa mkoa wa kwanza nchini ambapo kesho Julai 18, kutafanyika uzinduzi wa shughuli ya uandikishaji wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.Waziri Mkuu,...
17Jul 2019
Hamisi Nasiri
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, wanapokwenda kupima magonjwa hayo hubainika kuwa na kisukari na shinikizo la damu.Aidha, kutokana na hali hiyo, jamii wilayani humo imeshauriwa kuwa ni vema ikaachana na mfumo...

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo.

17Jul 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Hospitali hiyo inajengwa na Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi (SUMA JKT). Jafo aliyasema hayo baada ya kutembelea eneo la ujenzi wa hospitali hiyo ikiwa ni mara ya pili kutembelea eneo hilo. ...

ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma.

17Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alikuwa anafika mbele ya jopo hilo kwa mara ya kwanza huku wafuasi wake wakimshangilia alipoingia katika jengo hilo.Zuma (77), alilazimishwa kujiuzulu wadhifa wa urais Februari mwaka 2018.Wakati...

Vanessa Mdee.

16Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jopo la majaji hao linamjumuisha Jeff Koinange, ambaye ni maarufu zaidi katika vyombo vya habari nchini Kenya akiwa amewahi kufanya kazi katika vyombo mbalimbali vya habari duniani.Jaji mwingine ni...

MASHABIKI WA YANGA.

16Jul 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Yanga itafungua pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2019/20 kwa kucheza dhidi ya Ruvu Shooting ya Mlandizi, Pwani.Akizungumza na gazeti hili jana, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick...

Patrick Aussems

16Jul 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
Hata hivyo Aussems alisema kuwa programu yake haitahusisha wachezaji wote kwa muda wote, kwa sababu baadhi ya nyota watakaoitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars) watalazimika kurejea...

KIPA mkongwe na mzoefu katika mashindano ya kimataifa nchini, Juma Kaseja.

16Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Kipa huyo wa zamani wa Simba aelezea kilichosababisha kupata uteuzi huo...
-kwenye mchezo wa kuwania kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), imefahamika.Taifa Stars itaikaribisha Harambee Stars Julai 28, mwaka huu,...
16Jul 2019
Raphael Kibiriti
Nipashe
Ikiwa inaelekea kuwa takribani mwezi wa tatu sasa toka kuzinduliwa kwa msimu wa ununuzi wa zao la pamba nchini Mei 2 mwaka huu, bado kampuni zilizopitishwa kununua zao hilo kwa sehemu kubwa...
16Jul 2019
Mhariri
Nipashe
Kauli hiyo ya Ndikilo aliitoa katika kikao maalumu cha Baraza la Madiwani, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, ambacho kiliandaliwa kwa ajili ya kujibu hoja 32 za nje za CAG.Hiyo ni kauli nzito ambayo...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

16Jul 2019
Dege Masoli
Nipashe
Imeeleza kuwa hatua hizo zimechukuliwa kutokana na kuwa na sera ya taifa kuhusu ulemavu ya mwaka 2004 na baadaye kutungwa kwa Sheria ya Watu Wenye Ulemavu ya Mwaka 2010.Makamu wa Rais, Samia Suluhu...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

16Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana, na Waziri Mkuu alipozungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Mbutu na Mwabakima wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora...

OFISA wa Maji Bonde la Wami Ruvu, Simon Ngonyani,akiwasilisha mada katika mkutano wa saba wa mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde nchini uliofanyika Kigoma.

16Jul 2019
Frank Monyo
Nipashe
Ushauri huo aliutoa mwishoni mwa wiki katika mkutano wa saba wa mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde nchini uliofanyika Kigoma.Ngonyani alisema changamoto kubwa kwa bodi ya maji ya Bonde la Wami/Ruvu ni...

Mkurugenzi Mtendaji wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfrey Simbeye.

16Jul 2019
Beatice Moses
Nipashe
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyekiti na mwenyeji wa mkutano huo, ambao utahudhuriwa na Wakuu wa Nchi wa Serikali kutoka nchi 16 na wanachama wa SADC, utatanguliwa na maonyesho hayo.Akizungumza na...

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro.

16Jul 2019
Renatus Masuguliko
Nipashe
Usiku wa kuamkia Juni 28, mwaka huu, Watanzania tisa waliripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na wengine sita kujeruhiwa Msumbiji baada ya kuvamiwa wakiwa kwenye mashamba yao ya mpunga na watu...

Mtaalam wa Tiba ya Magonjwa ya Saratani kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha OXFORD nchini Ungereza, Finn Tysoe, akitoa mafunzo wa wataalam mbalimbali wa MNH leo.

16Jul 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Hatua hiyo ni mwendelezo wa maandalizi ya kutoa huduma ya upandikizaji uloto kwa mara ya kwanza nchini, matibabu ambayo yalikuwa hayapatikani kutokana na kutokuwapo wataalamu au ukosefu wa vifaa vya...

WAUGUZI.

16Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe
Mpemba aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam katika maonyesho ya vyuo vikuu yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na kushirikisha vyuo mbalimbali nchini.Akizungumzia kuhusu lugha zinazotakiwa...

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Fred Luvanda.

16Jul 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Fred Luvanda, wataendelea kutoa huduma kama kawaida kwa ubora na ufanisi wa hali ya juu...
16Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli alitoa rai hiyo jana alipokuwa anawasalimu wananchi wa Kata ya Nyankumbu mjini Geita baada ya msafara wake kusimama kutokana na umati mkubwa wa watu waliotaka kusikia neno kutoka kwa...
16Jul 2019
Ashton Balaigwa
Nipashe
Tasisi hiyo imeanza kuyasaidia makundi hayo kwenye mazao ya alizeti, mahindi, maharage na mbaazi ili waongeze mnyororo wa thamani kuanzia uzalishaji, usindikaji na masoko ndani na nje ya nchi....

Pages