NIPASHE

18Jul 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Tambwe ni mmoja wa wachezaji ambao hawakuwa kwenye mipango ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe la FA na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika....

Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh.

18Jul 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
***Ushindani wa namba wazidi kuongezeka huku wakimsubiri Zahera...
Hatua hiyo inakuja baada ya wachezaji wa kimataifa waliosajiliwa na Yanga kupata vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini.Kikosi hicho ambacho kinanolewa na Kocha Msaidizi, Noel Mwandila, sasa...

Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi.

17Jul 2019
Romana Mallya
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya wataalam wa ununuzi na ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi ameyasema hayo leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya vyuo vikuu ...
17Jul 2019
Mhariri
Nipashe
Programu hizo ni mwendelezo wa programu za elimu ya uombaji mikopo kwa usahihi ambazo HESLB iliziendesha mwezi Aprili na Mei, mwaka huu katika shule 119 za sekondari zilizopo kwenye mikoa 17 na...

Sadney Urikhob.

17Jul 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Urikhob alipokelewa na viongozi wa klabu hiyo na tayari ameshaelekea mkoani Morogoro kujiunga na wachezaji wenzake kwa ajili ya kufanya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya.Makamu Mwenyekiti wa Yanga,...

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori.

17Jul 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Magori aonyesha barua kutoka Rita, mwenyewe aziruka nyaraka hizo...
Hata hivyo Kilomoni ameibuka na kusisitiza kuwa bado anatambua yeye ni mdhamini wa klabu hiyo, kwa sababu hajapata barua yoyote inayobatilisha uteuzi wake.Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa...
17Jul 2019
Joseph Mwendapole
Nipashe
Akizungumza na askari kwenye ziara yake ya kikazi mkoani Tabora jana, IGP Sirro alisema mikutano hiyo inaweza kusitishwa tu pale itakapoonekana kwamba kuna viashiria vya uvunjifu wa amani."...
17Jul 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Kadhalika amedai kuwa baada ya kuwapa matibabu walilazwa katika kituo hicho, lakini alipigiwa simu na askari polisi kwamba wamewachukua majeruhi hao kwa kuwa ni wahalifu na wako salama.Dk. Kiluhungwa...

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Butimba mkoani Mwanza.

17Jul 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Katika ziara yake ya kushtukiza gerezani huko jana, Rais Magufuli alielezwa na mahabusi huyo na wafungwa wengine kuwa wamekuwa na changamoto mbalimbali zinazowakabili ukiwamo uonevu wanaofanyiwa na...

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba.

17Jul 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Amesema hata kama Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu Wastaafu wa CCM halitajibu malalamiko yao, tamko lao lililenga kuujulisha umma kuwa hawahusiki kwa namna yoyote na tuhuma zinazotolewa dhidi yao....

Rais John Magufuli (kushoto), akiwa na mwenyeji wake Yoweri Museveni. PICHA: MTANDAO

17Jul 2019
Mashaka Mgeta
Nipashe
“Wakati Wakristu wakienda Roma, Waislamu wakienda Mecca, nimekuja Tanzania kama sehemu ya hija yangu. Ninafurahi sana kuwa hapa. Nina historia pana inayofungana na nchi hii, ni kama nyumbani...

Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Baraka Leonard (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa mdau.

17Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
- kuwa serikali haina nia mbaya na mashirika hayo ila inataka uwapo  utaratibu mzuri wa kuyaratibu. Aliyasema hayo jijini Dar Es Salaam wakati alipozungumza na waandishi wa habari kuhusiana...

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Kazi, Ajira na Watu Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde.

17Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya uzinduzi wa mavuno ya mpunga katika shamba lenye ukubwa wa ekari zaidi ya 50 la vijana wa Agri-Ajira, katika Kijiji cha Mambegwa wilayani Kilosa Mkoa...

MKAA.

17Jul 2019
Beatrice Philemon
Nipashe
Malengo mengine ni kupunguza uharibifu wa uoto wa asili, kulinda afya za wapishi, kuongeza ufanisi wa upikaji na kutumia gesi ndogo kuliko kuni.Akizungumza na Nipashe hivi karibuni katika maonyesho...

MZEE Pius Msekwa (84).

17Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-pia mshauri muhimu wa serikali na chama (TANU na CCM) kwa mengi.Pia, Mzee Msekwa ana sifa nyingine ya kipekee, kuwa mdau anayefahamu fika picha kamili ya dhana ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...

Ofisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard Kapongo.

17Jul 2019
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Ofisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard Kapongo, wakati wa kongamano la saba la Usimamizi wa Manunuzi ya Umma.Alisema fedha hizo zimeokolewa katika...

MBUNGE wa Geita Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu.

17Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema serikali ilishaahidi kuwa kama pamba hiyo haitanunuliwa kwa bei elekezi ya kilo moja kwa shilingi 800 hadi Agosti mwaka huu, serikali itainunua pamba hiyo ili kuwafidia wakulima hao.Hatua...

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael.

17Jul 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael, aliwataja washindi hao kuwa ni pamoja na Kaunda Petro kutoka Zanzibar, Mohabe Senso (Dar es Salaam), Jafari Zitto, (...

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.

17Jul 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Onyesho hilo litakaloshirikisha wanamitindo zaidi ya 40, limeandaliwa na Mbunifu wa mavazi  hapa nchini,  Ally Rehmtullah kwa kushirikiana na Kampuni ya Hightech Wear na Flygle ya China....
17Jul 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dk. Respicious Boniface, akizungumza wakati wa kufunga kambi hiyo juzi jijini Dar es Salaam, alisema imefanyika kwa mafanikio makubwa.Alisema kambi hiyo iliendeshwa kwa...

Pages