NIPASHE

vibuyu ambavyo mara nyingi utumika na waganga wa kienyeji katika kazi zao.

13May 2016
George Tarimo
Nipashe
Hayo yalisemwa na Ofisa Kilimona Mifugo wa kata hiyo, Edmund Kasanga, kwenye mkutano wa dharura ulioitishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kujadili changamoto hiyo. Kutokana na...

Wafanyakazi wa Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, wakishiriki zoezi la usafi.

13May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Desemba 23, mwaka jana, serikali kupitia kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina (pichani), ilitangaza kuwa usafi wa mazingira nchi nzima utakuwa ukifanyika kila...
13May 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Jaji L. E. Mngonya, baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha kuwa mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo. Jaji Mngonya alisema mahakama hiyo inatoa adhabu kali kwa...
13May 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mbali na Mlambo, wengine ni Mkurugenzi wa Fedha, Evodius Katale na Mwanasheria Mwandamizi, Francis Kugesha wote wa Dart na Yuda Mwakatobe. Kesi hiyo iliahirishwa jana na Hakimu Mkazi Mkuu,...
13May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo, wakati akijibu swali la Mbunge Viti Maalum (CCM), Maida Hamad Abdallah. Mbunge huyo alitaka kujua...

Rais John Magufuli.

13May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kumeikuna Chama cha Makandarasi Wazalendo (ACCT) na kusema huo ndiyo mwelekeo sahihi wa serikali uliokuwa unasubiriwa na Watanzania kwa muda mrefu. Taarifa ya Mwenyekiti wa ACCT, Mhandisi Milton...

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.

13May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kivuko kinachomilikiwa na serikali cha Mv. Misungwi kilizima ghafla katikati ya ziwa juzi. Awali, Mongella alitembelea Kivuko cha Kamanga kinachomilikiwa na Kamanga Ferry Ltd ya jijini Mwanza, ili...

sido.

13May 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Meneja wa shirika hilo Mkoa wa Arusha, Nina Nchimbi, alipozungumza na Nipashe. Alisema katika kuifanya Tanzania ya viwanda, wamejikita katika viwanda vidogo vilivyopo ili...
13May 2016
Hamisi Nasiri
Nipashe
Hatua ya madiwani hao kuunda kikosi kazi hicho imekuja baada ya kutoridhishwa na ukusanyaji wa mapato kwenye baadhi ya vyanzo vyake, huku usimamizi wake haujawamadhubuti hivyo kusabisha mapato...

zao la korosho.

13May 2016
Juma Mohamed
Nipashe
Pia wameonywa kuwa serikali itawachukulia hatua kali ikiwamo kuwafilisi mali zao na kuwafunga watakapokwenda kinyume na taratibu zilizowekwa. Onyo hilo lilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima...
13May 2016
Mhariri
Nipashe
Hatua hiyo ilitangazwa jana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipotembelea na kukagua mradi huo na kutangaza kuwa ameongeza siku nne zaidi za majaribio na wananchi wataendelea kupanda...
13May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Tabia hujenga mazoea.Watanzania wengi wana mazoea ya kunywa chai kama kifungua kinywa chao. Matamshi mbalimbali yamekuwa yakitolewa yakilenga kuwatia matumaini watu kuwa bidhaa hiyo muda si mrefu...

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashantu Kijaji.

13May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashantu Kijaji, alisema hayo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Faida Mohamed Bakar, aliyetaka kujua serikali ina mkakati gani wa kuanzisha...
13May 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Vilainishi hivyo ni hatari kwa wamiliki wa magari na mitambo vinahatarisha kushusha uchumi wa mtu mmojammoja na taifa kwa ujumla, linatakiwa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa na kila mtu anayelitakia mema...

spika wa Bunge, Job Ndugai.

13May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Ndugai aliyasema hayo bungeni mjini hapa jana asubuhi, baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Sugu', kuomba Mwongozo wa Spika kuhusu michango ya mjadala wa makadirio ya mapato na...
13May 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Katika kukumbushana, tulisema benki ya NMB, imezindua uuzaji wa hati fungani kwa wananchi wote, ikilenga kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 20 hadi 25, itakazozitumia kutoa mikopo kwa Watanzania...

mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani.

13May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2016/17 bungeni jana, Prof. Majimarefu alisema: “Kumekuwa na mchezo...

mkoa wa tabora.

13May 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Magharibi (CCM), Seif Gulamali, alipokuwa akizungumza na madiwani wa wilaya ya Igunga, kuwafahamisha mipango ya serikali ya mkoa huo kusogeza huduma karibu...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

13May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Pia imesisitiza kuwa licha ya mfumo huo kubadilishwa na kurudi katika madaraja, hakuna athari zozote zilizojitokeza kutokana na uwapo na uwiano wa alama za ufaulu. Kauli hiyo ilitolewa na Naibu...

Halima Mdee.

13May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Katika barua iliyotumwa kwa Mwenyekiti wa TWPG Mei 6, mwaka huu na Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, kwa niaba ya wabunge wanawake wa upinzani ambayo Nipashe iliiona jana, imeelezwa kuwa uamuzi...

Pages