NIPASHE

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole.

17Aug 2019
Augusta Njoji
Nipashe
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, ametoa onyo hilo la kuachana na madai ya kumuongezea muda Rais jana.Aidha, aliwataka viongozi wa chama hicho...
17Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Viongozi hao waliwasili kuanzia Jumatano wakiongozwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa huku Barabara ya Nyerere ikifungwa kwa muda jana kutokana na ujio wa viongozi hao.Wakuu wa nchi za SADC...
17Aug 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Taarifa ya Halmashauri ya Wilaya hiyo iliyothibitishwa na kuwekwa katika tovuti ya serikali, inaonyesha kuwa idara hiyo inahitaji jumla ya watumishi 1,114.Sehemu ya taarifa hiyo inaonyesha kuwa...
17Aug 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Hakuna mpiganaji anayekwenda kupambana akisema atashindwa. Lazima atoe maneno ya vitisho dhidi ya mpinzani wake ili kumwogopesha na kumkatisha tamaa.      Jambo hili...

Mbio za mbuzi

17Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Kupitia mashindano kama hayo yaliyofanyika mwaka jana, jumla ya wanafunzi 42 wa vyuo vikuu mbalimbali nchini, walipata ufadhili wa masomo.Rais wa Rotary Dar es Salaam, Amish Shah, akizungumza na...

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha

17Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akiwa ziarani wilayani humo juzi, Ole Nasha alitembelea Shule ya Sekondari Ziba na kuipongeza Bodi ya Shule hiyo kwa usimamizi mzuri wa mradi wa ujenzi wa mabweni, madarasa na bwalo la chakula.Katika...

Rais wa Rotary Amish Shah.

16Aug 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Kupitia mashindano kama hayo yaliyofanyika mwaka jana, jumla ya wanafunzi 42 wa vyuo vikuu mbalimbali nchini, walipata ufadhili wa masomo.Rais wa Rotary Dar es Salaam, Amish Shah, akizungumza na...
16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akiwa ziarani wilayani humo, Ole Nasha ametembelea Shule ya Sekondari Ziba na kuipongeza Bodi ya Shule hiyo kwa usimamizi mzuri wa mradi wa ujenzi wa mabweni, madarasa na bwalo la chakula.Katika...

Abdallah Matimbwa maarufu Mbalamwezi.

16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na The Guardian Digital, leo mmoja wa wasanii wanaunda kundi hilo Hamadai amesema taarifa za kifo Mbalamwezi alizipata jana jioni, ambapo kabla ya taarifa hizo tayari walikuwa...

Mkurugenzi Wa shirika la PIDO Bi Martha Ntoipo akizunguza na Wasichana hao katika ukumbu Wa Tembo Trust Wilayani Longido.

16Aug 2019
Zanura Mollel
Nipashe
Mkurugenzi wa Shirika hilo, Martha Ntoipo amesema PIDO lilianza kufanya shughuli zake tangu mwaka 2010 na wamejikita katika masuala ya elimu juu ya afya ya uzazi,vita dhidi ya mimba na ndoa za...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mtafungwa.

16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akithibitisha kutokea ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mtafungwa, amesema kuwa usiku wa kuamkia leo majira ya saa 7: 30 usiku Agosti 16,2019 imetokea ajali katika eneo la...
16Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Vilevile, upande wa walalamikiwa katika kesi hiyo umeomba mahakama iwape muda wa kuandaa majibu ya kiapo kinzani ili kupata busara za Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Mahakama hiyo imepanga kusikiliza...

RAIS wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi

16Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Malinzi anayekabiliwa na mashtaka ya kughushi na kutakatisha fedha aliwasilisha jana taarifa ya benki ya mwaka 2014 na risiti 13 zilizoonyesha TFF kumlipa Malinzi fedha za mkopo alizokuwa anawadai....

Freeman Mbowe.

16Aug 2019
Hellen Mwango
Nipashe
-inayowakabili vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwamo Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe.Uamuzi huo ulipangwa kutolewa jana lakini mawakili wa utetezi walikuwa na kesi...
16Aug 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Pia idadi ya majeruhi wa ajali hiyo, waliofariki dunia wakipata matibabu MNH sasa imefika 21. Majeruhi hao walifikishwa kwenye hospitali hiyo Jumamosi.Imeelezwa kuwa majeruhi wengine 16 kati ya 25...

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini

16Aug 2019
Happy Severine
Nipashe
Sagini alitengua uamuzi huo wakati akiongea na watumishi wa hospitali hiyo na kueleza kuwa jambo hilo haliwezi kuwa la kila mtumishi kwa kuwa sio wote walioshiriki katika tukio hilo.Alisema ni vema...
16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Juzi, Jafo aliwataka wakurugenzi wa halmashauri za wilaya ambazo zimefanya vibaya kwenye utoaji wa fedha za miradi ya maendeleo, kujitathmini na kuandika barua ya kujieleza ndani ya siku 14. Wilaya...

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),

16Aug 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia imeshauri kukazania kuongeza thamani mazao ya kilimo.Akiwasilisha mada jijini Dar es Salaam katika mkutano wa nne wa mwaka wa maendeleo ya viwanda katika nchi za Jumuiya yaMaendeleo Kusini mwa...

RAIS John Magufuli

16Aug 2019
Beatice Moses
Nipashe
Akizungumza jana wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliowakutanisha wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini, alisema mahitaji ya...

majahazi

16Aug 2019
Rahma Suleiman
Nipashe
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza katika hafla ya kumuaga Nassir Salum Mabrouk ambaye atashiriki tamasha la safari ndefu duniani kwa kutumia usafiri wa boti katika kutembea dunia nzima kupitia...

Pages