NIPASHE JUMAPILI

03Dec 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imetokana na Kampuni hodhi ya rasilimali za reli (RAHCO) kuwataka watu wote waliopo kwenye hifadhi ya reli kupisha eneo hilo.Nipashe ilishuhudia wafanyabiashara hao wakihamisha mali zao na...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla akikagua kontena lililokuwa na magogo hayo bandarini.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kama wamiliki wasipojitokeza, magogo hayo yatakuwa mali ya Serikali Kigwangalla ametoa agizo hilo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandari ya Dar es salaam kufuatia uwepo wa taarifa za...

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama cha CUF , Maulid Said Abdallah Mtulia.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mtulia anasema sababu kubwa ya yeye kuamua kujiuzulu nafasi ni kuungana mkono na Rais Magufuli baada ya kuona kwamba anafanya na kutekeleza mambo mengi ambayo upinzani uliahidi kufanya.Soma  ...
03Dec 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Watu wengi wanaotumia barabara wanafikiri wanaopaswa kuzingatia sheria za barabarani ni madereva wanaotumia vyombo vya moto pekee.Matumizi ya barabara yanawahusu hata wanaofagia, wanaofyeka...
03Dec 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Kofia ngumu kwa ajili ya abiria wa bodaboda ambao sasa wako Tanzania nzima ni moja ya maeneo ambayo yanahitaji kujengewe viwanda. Tanzania inahitaji kiwanda cha helmeti kwa sababu ...
03Dec 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Hilo ni tofauti kwa Tanzania kwa kuwa umeme umekuwa ni kitendawili kilichokosa mteguaji, kwa vile  kwa sasa zipo dalili za wazi za kuwapo kwa mgawo wa umeme wa siri au wa chinichini. Tangazo la...
03Dec 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Ulawiti, ubakaji… wanafunzi kuhadaiwa juu
Kipindi hiki kila taifa huzinduana kushiriki kampeni za kupinga ukatili wa kijinsia, ambazo pia zinatambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN).Katika kutimiza azma hiyo, Chama cha Wanahabari Wanawake...

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu-Kituo cha Usuluhishi (Mediation Centre), Rose Teemba.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ni ushauri wa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu-Kituo cha Usuluhishi (Mediation Centre), Rose Teemba, katika mahojiano jijini Dar es Salaam hivi karibu na kuonya kuwa utaratibu wa kusikiliza kesi mwanzo...

Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa SportPesa, Tarimba Abbas (kushoto), akimkabidhi jezi na vifaa vingine vya michezo, Meneja wa Timu ya Bunge SC, John Kadutu, jijini Dar es Salaam jana. Timu hiyo inashiriki michuano ya Mabunge ya Afrika Mashariki inayoanza leo jijini Dar es Salaam. PICHA: SPORTPESA

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
SportPesa ambao ni wadhamini wa timu za Simba, Yanga na Singida United, walikabidhi vifaa hivyo jana kwaMeneja wa timu ya Bunge, John Kadutu kwenye ofisi za Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam....

Kocha wa Lipuli, Suleiman Matola.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tayari Kwasi ambaye ameonyesha kiwango cha juu katika mechi mbalimbali alizocheza, ameshawavutia vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba na inaelezwa wameshafanya mazungumzo ya awali.Akizungumza na...

Mohammed Dewji "Mo".

03Dec 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
*** Hali bado tete, Mwakyembe aalikwa kushuhudia mabadiliko, lakini...
Hata hivyo, mjadala ambao umeanza kuitikisa klabu hiyo ni tamko la serikali baada ya kutoa maelekezo kuwa mwekezaji anatakiwa kupewa asilimia 49 na kiasi cha asilimia 51 kuwa chini ya wanachama....

Kocha Mkuu wa Kilimanjaro Stars, Ammy Ninje.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kocha Mkuu wa Kilimanjaro Stars, Ammy Ninje, alisema jana katika mahojiano kuwa anakiamini kikosi chake ni imara na kitapambana kusaka matokeo mazuri ambayo Watanzania wanayasubiri.Ninje alisema kuwa...

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Mashirika yanayotoa huduma ya Msaada wa Kisheria nchini (TANLAP), Christina Kamili, akijibu maswali ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wizara ya Sheria, Amon Mpanju na Kaimu msajili msaada wa kisheria, Felistas Joseph. PICHA: HALIMA KAMBI

03Dec 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Wataanza kutoa huduma hiyo kesho hadi Desemba 8, mwaka huu, katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ikiwa sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria nchini yenye kauli mbiu...

Ofisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo, Hussein Sayed.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Promosheni hiyo itakayodumu kwa kipindi cha mwezi mmoja, itashuhudia washindi watatu wa jumla wakijinyakulia Sh. milioni 15, milioni 10 na milioni tano kila mmoja. Pia kutakuwa na washindi...
03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akifafanua jambo hilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani juzi ambayo kwa mkoani hapa ilifanyikiaUjiji, mwakilishi wa wanaume wanaoishi na VVU Manispaa ya Kigoma Ujiji, Athuman Rajabu,...
03Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Kufuatia hali hiyo akatoa wito moja kwa Mamlaka za  Mapato  (TRA) na Usimamizi wa Bandari (TPA)  pamoja na Jeshi la Polisi kumpa taarifa juu ya sababu za magari hayo kukwama  kwa...
03Dec 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Katika kuadhimisha siku hiyo juzi, miongoni mwa mambo yaliyofanyika kwa hapa nchini ni uzinduzi wa matokeo ya utafiti juu ya viashiria na matokeo ya ugonjwa huo kwa mwaka 2016/17. Utafiti huo...

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Sababu za kufanyika kwa uchunguzi wa mkataba huo ni kujiridhisha kama umezingatia thamani ya uwekezaji wa pande zote mbili, ikiwamo mgawanyo wa hisa wa asilimia 49 za NARCO na asilimia 51 za Nicol....
03Dec 2017
Peter Mkwavila
Nipashe Jumapili
 Wafanyabiashara hao wanatakiwa kupisha eneo hilo linalotarajiwa kujengwa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa.Katika ubomoaji huo,  wafanyabiashara wa stendi ya Jamatini, soko la...

NAIBU Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mary Mwanjelwa.

03Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mradi huo utahusisha ujenzi wa vihenge vya kisasa, maghala ya kisasa na ukarabati wa ofisi na baada ya mradi huo kukamilika, wakala itakuwa imeongeza uwezo wa kuhifadhi tani 250,000 za mahini. ...

Pages