NIPASHE JUMAPILI

Laudit Mavugo.

10Dec 2017
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
**Anukia mkataba baada ya kiwango chake kumkuna kocha wakati...
Sakuwaha, nyota wa zamani wa Zesco ya Zambia, yupo kwenye majaribio katika kikosi cha Simba na majukumu ya kumuangalia nyota huyo yapo chini ya Djuma baada ya kocha mkuu wa timu hiyo, Mcameroon...

Z’bar Heroes.

10Dec 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Katika mechi iliyopigwa jana kwenye Uwanja wa Kenyatta mjini hapa wakati ndugu zao wa Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ wakitinga fainali.Kwa matokeo hayo, Kilimanjaro Stars itashuka uwanjani...
10Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwenye  uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, mwe lekeo wa chama tawala ulikuwa ni huo huo wa 'kusonga mbele,' lakini mgombea wake, Dk. John Magufuli, alisoma alama za nyakati na akaahidi '...

binti akilie watoto badala ya kuwa sheleni kutokana na ukatili wa kijinsia uliomsababishia kuwa mama utotoni.

10Dec 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Katika makala hii, Mwandishi amezuru Kisarawe mkoa wa Pwani na kukutana na visa vingi vya ubakaji mabinti na mimba za utotoni, kama anavyoelezea mkasa uliodidimiza ndoto za msichana aliyetarajiwa...
10Dec 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Wanalalamikiwa kuwa madereva hao wameshawahi kupigwa marufuku kusimamisha mabasi yao katikati ya njia panda ya barabara hizo wakati wakisubiri au kupakia abiria. Tabia ya madereva hao inaleta...
10Dec 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wapo wanaume wavumilivu kama huyo, na wapo wanawake wavumilivu pia kwa yale wanayofanyiwa na waume zao. Lakini vile vile, wapo wanaoshindwa kuvumilia wakaamua ama kuomba talaka au kujiondokea tu...

Gaudentia Kabaka.

10Dec 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Kabaka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anachukua nafasi ya Sophia Simba, ambaye alivuliwa wadhifa huo baada ya kufukuzwa uanachama wa CCM kabla ya kurejeshwa hivi...
10Dec 2017
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Imeelezwa semina hizo zimekuwa zikiwafanya walimu kupoteza muda mwingi wa kutokuwepo mashuleni, kufanya wanafunzi kukosa vipindi darasani na kubaki nje wakicheza au mwalimu ambaye hana fani ya masomo...
10Dec 2017
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Mkandarasi huyo atakuwa katika hekaheka za kukwepa kupanda ndege baada ya Serikali kutaka akakabidhi mradi huo Febuari 8, mwakani na kuahidi endapo atashindwa atapanda ndege kurudi kwao India.Onyo...

Mwenyekiti wa Kigoda cha Nyerere, Profesa Issa Shivji.

10Dec 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe Jumapili
Prof. Shivji alisema kuwa wakulima nao wanapaswa kutokubali kutoa ardhi yao au kuuza kwa wageni kuanzia ngazi ya kijiji, wilaya na mkoa ili kupata fursa ya kushiriki kikamilifu katika uchumi wa...

Askari mgambo.

10Dec 2017
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa na wahitimu wa mafunzo hayo kikosi namba 47/2017 katika risala iliyosomwa kwa mgeni rasmi katika ufungaji wa mafunzo ya mgambo jana katika viwanja ya Mushujaa mjini hapa.Akisoma risala...
10Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Kutimiza miaka 56 kwa amani na utulivu si jambo dogo ni kitu cha kujivunia kutokana na ukweli kwamba baadhi ya nchi na hasa za Afrika kwa sasa hazikaliki kwa sababu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe....
10Dec 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Aidha, Rais Magufuli alizungumzia juu ya utawanyaji wa matawi ya benki nchi nzima badala ya mengi kurundikana jijini Dar es Salaam kama ilivyo sasa.Kama alivyosema Rais Magufuli, TWB imekuwa haifanyi...

MKUU wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel.

10Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Sambamba na tishio hilo, ameagiza Ofisi ya Madini Mkoa wa Geita, kutoa ufafanuzi wa tozo ya mrabaha wa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu. Mkuu wa Mkoa alisema hayo juzi alipozungumza na...

WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU.

10Dec 2017
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dk. Gosbert Mutahyabarwa, alisema ugonjwa huo ulianzia katika kijiji cha Mmatenje, Kata ya Mtipwili Novemba 18, mwaka huu. Baada ya hapo, alisema ugonjwa huo...

MAREHEMU Joel Bendera.

10Dec 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Alisema marehemu Bendera, ambaye aliwahi kuwa mkuu wa mikoa ya Morogoro na Manyara, alikuwa tofauti na wanasiasa wengi ambao huvutia ama upande wao au wa wapiga kura wao kwani alitaka maendeleo kwa...

MWENYEKITI wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bahame Nyanduga.

10Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
THBUB ilisema katika taarifa yake kuwa inampongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wake huo kwani unaendana na Azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), Namba 62/149 la Desemba 18, 2007.Azimio hilo,...

Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa (kulia) akipokea orodha ya majina ya wafungwa waliochiwa kwa msamaha kutoka kwa Rais John Magufuli, baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania bara, kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma jana. Picha zaidi uk. 4. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

10Dec 2017
John Ngunge
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Kitendo cha Mawasilino cha AfCPHR, Sukdhev Chatbar, alisema kuendelea au kutoendelea kwa shauri hilo kunategemea uamuzi wa walalamikaji wenyewe.Shauri hilo AfCPHR linafuatia kukamilika...

Nguza Viking, maarufu kama Babu Seya, pamoja na mwanawe Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitoka gerezani jana.

10Dec 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Kuachiwa huru kwa wanafamilia hao, kumetokana na msamaha wa Rais alioutoa kwa watu mbalimbali wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yaliyofanyika kitaifa kwenye...
03Dec 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imetokana na Kampuni hodhi ya rasilimali za reli (RAHCO) kuwataka watu wote waliopo kwenye hifadhi ya reli kupisha eneo hilo.Nipashe ilishuhudia wafanyabiashara hao wakihamisha mali zao na...

Pages