NIPASHE

Ummy Mwalimu.

14Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Ummy ameyabainisha hayo leo Septemba 14 wakati akitoa taarifa za uvumi wa uwepo wa ugonjwa wa Ebola nchini na kuwatoa hofu wananchi kuwa hakuna dalili za ugonjwa huo kuwepo licha ya...
14Sep 2019
Woinde Shizza
Nipashe
Aidha, wamehimizwa kuchangamkia fursa za masoko ya ndani  na nje ya nchi za  Afrika Mashariki ambako kuna  uhitaji mkubwa wa bidhaa za chakula lengo likiwa ni  kuongeza kipato na...

Mshambuliaji chipukizi, Kelvin John.

14Sep 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
Kwa muda mrefu Kelvin licha ya kujumuishwa mara kwa mara kwenye timu za taifa, hakuwa na timu ya kuichezea hali iliyopelekea wadau wengi wa soka kupiga kelele wakitaka mchezaji huyo apate klabu ili...

MKUU wa Wilaya ya Kongwa, Deogratius Ndejembi.

14Sep 2019
Ibrahim Joseph
Nipashe
Ndejembi alitoa kauli hiyo jana wakati alipozungumza kwenye maonyesho ya zana za kilimo na uzinduzi wa trekta aina ya John Deere 3050B 4DW iliyofanyika wilayani Kongwa kwenye  mji mdogo wa...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa

14Sep 2019
Sanula Athanas
Nipashe
Vilevile, kiongozi huyo wa serikali amezitaka klabu za Simba na KMC kujitathimini kutokana na kuondoshwa mapema katika mashindano ya shirikisho hilo msimu huu. Katika hotuba yake ya kuahirisha...
14Sep 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yalibainishwa na daktari wake ambaye ni Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo, Uti wa Mgongo na Mishipa ya Fahamu wa Tasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Prof. Joseph Kahamba, wakati akizungumza na Nipashe...

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile.

14Sep 2019
Augusta Njoji
Nipashe
*Hakuna ufanisi wa huduma
Naibu Waziri huyo alisema inahitajika kuboresha huduma za maabara nchini kwa kuwa watu wanatibiwa kienyeji mno.Alisema vituo hivyo vinatibu magonjwa yasiyosahihi kutokana na kukosekana kwa ufanisi...

Mkuu wa Wilaya Kahama, Anamringi Macha.

14Sep 2019
Mohab Dominick
Nipashe
Azani ambaye ni mzabuni wa kuzoa vyuma chakavu, taka katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na kampuni ya Acacia, Halmashauri ya Msalala wilayani humo, alisema kuwa huo ni utekelezaji kwa...
14Sep 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
Kwa matokeo hao, Simba imefikisha pointi sita na kukaa kileleni katika msimamo wa ligi hiyo ambayo inatarajia kuendelea tena kesho.Bao hilo la Kagere ambalo ni la tatu msimu huu lilipatikana dakika...
14Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Andrew Chenge, aliyasema hayo bungeni jijini Dodoma jana alipohitimisha hoja ya kamati yake kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mikutano ya 14 na 15 ya...
14Sep 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Tangu tajiri aliyekuwa mfadhili wao kujiondoa, wachezaji wamekuwa wakiishi maisha ya mashaka (matatizo au masahibu yanayompata mtu katika maisha). Kadhia (tukio la kuhuzunisha) hiyo imewafanya baadhi...

MKUU wa Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Onesmo Buswelu.

14Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia, ameagiza Halmashauri ya Wilaya ya Siha kuhakikisha wanatoa vitabu kwa watendaji wa kata ili waandike majina ya wananchi wanaochangia michango ya maendeleo, ikiwamo masuala ya elimu.Buswelu...
14Sep 2019
Mhariri
Nipashe
Taifa Stars iliwaondoa majirani hao na kutinga hatua ya makundi ya kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Kombe la Dunia zitakazochezwa mwaka 2022 huko nchini Qatar.Pia pongezi zingine zinatakiwa...

Mkuu wa Kitengo cha Leseni wa TCRA, Andrew Kisaka.

14Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Utaratibu utapokamilika vitaanza kutumika Desemba mwaka huu, ili kubadilisha utaratibu wa sasa wa nyumba kuwa na visimbuzi zaidi ya kimoja.Mkuu wa Kitengo cha Leseni wa TCRA, Andrew Kisaka, alisema...

Kuna usemi kuwa jasiri haachi asili, hivi kusahau upawa, kata na vyungu vya jadi si kudharau na kuacha asili ya Mtanzania. Vifaa kama hivi jikoni au sebuleni kwako pamoja na kutumika kupikia pia ni urembo.

14Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwanini? Vifaa vya asili na mpangilio, vimetoweka, hakuna kata ya maji, vyungu, vikaango, pawa, vijiko vya  asilia hata ungo. Vifaa hivyo vina nafasi kubwa katika majiko na mapishi  pia...

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva.

14Sep 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva, alithibitisha mgogoro huo kumalizwa kwa busara na pande mbili zilizokuwa zikihasimiana zimekubaliana kurejea upya katika...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Issack Kamwelwe (wa pili kulia), akinyanyua cheti kuashiria uzinduzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agnes Kijazi.

14Sep 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
Kwa Tanzania suala la hali ya hewa ni kipaumbele na kipo chombo cha kuratibu na kutolea maelezo ya masuala ya hali ya hewa kabla ya kumfikia mwananchi.Kikiwa kimeundwa mwaka 1999 kilijulikana kama...

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Adolf Mkenda.

14Sep 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Akizungumza jana mjini hapa, Mkenda alisema tayari amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA), kuanza rasmi operesheni hiyo.Matarajio ya sekta ya wanyamapori...

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera.

14Sep 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Kocha huyo Mkongomani aeleza mikakati ya kumaliza kazi Taifa...
Yanga ilisonga mbele katika mashindano hayo baada ya kuwaondoa Township Rollers ya Botswana kwa jumla ya mabao 2-1.Akizungumza na gazeti hili jijini jana, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, alisema...

Shekhe Mkuu wa Tanzania Mufti  Abubakari Zuberi.

14Sep 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Gari hilo lenye  thamani ya Sh.milioni 16 limetolewa kwa ajili ya kurahisisha  shughuli za kidini katika ofisi ya Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) mkoani Arusha.Lilikabidhiwa  jana...

Pages