NEWS »

Kamanda Polisi wa Mkoa PWANI, Wankyo Nyigesa AKIONYESHA VITU WALIVYOKUTWA NAVYO WATUMISHI HAO.

19Jun 2019
Romana Mallya
Nipashe

WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), wanashikiliwa na polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya mamlaka hiyo vyenye thamani ya Sh. milioni 15 ambavyo inadaiwa...