Michezo »

08Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi wa Utekelezaji na Utawala wa SportPesa Tanzania, Tarimba Abbas (kulia), akimkabidhi pikipiki ya matairi matatu aina ya TVS King Deluxe, Mshindi wa Droo ya 61 ya Promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA, Kassim Mgaya, mkazi wa Kiwalani jijini Dar es Salaam jana. PICHA: SPORTPESA

MKURUGENZI wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya SportPesa Tanzania, Abbas Tarimba, amesema...

08Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

NAIBU Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.

NAIBU Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, amemfungia Msanii wa Muziki...

08Jan 2018
Faustine Feliciane
Nipashe

kocha wa Simba, Masoud Djuma.

WATANI wa jadi Simba na Yanga watashuka dimbani leo kucheza mechi zao za mwisho kwenye michuano...

07Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili

straika wa Simba, Emmanuel Okwi.

JUMLA ya mabao 168 yamefungwa kwenye mechi za Ligi Kuu  Tanzania Bara mpaka sasa.

07Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa.

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa, amesimamishwa kucheza Ligi Kuu ya Tanzania Bara...

07Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Mrundi Masoud Djuma.

WAKATI Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Mrundi Masoud Djuma, akiamua kumtangaza rasmi John...

06Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

yanga.

MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania, Bara, Yanga inayodhaminiwa na kampuni ya Sportpesa,...

06Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkazi wa Makambako mkoani Njombe, Noel Lazaro (kushoto), akipokea funguo ya bajaji baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya ‘Shinda na Sportpesa’ inayoendelea. Kulia ni mwakilishi wa Sportpesa Happiness Wandela. PICHA: SPORTPESA

MKAZI mwingine wa Makambako mkoani Njombe, Noel Lazaro, ameibuka mshindi katika promosheni ya ‘...

06Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

NYOTA wa Yanga Juma Mahadhi.

NYOTA wa Yanga Juma Mahadhi, amesema anataka kuitumia michuano ya Kombe la Mapinduzi kurejesha...

06Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

kikosi cha simba.

JUMLA ya timu saba hazijashinda mechi yoyote ile zikicheza  kwenye viwanja vya ugenini kwenye...

05Jan 2018
Sabato Kasika
Nipashe

KAMPUNI ya Coca-Cola imetoa Shilingi milioni 350 kwa wateja wake kupitia promosheni ya wiki kumi...

05Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mkurugenzi wa Utawala na Uendeshaji wa kampuni hiyo, Abbas Tarimba.

KAMPUNI ya Sportpesa Tanzania, imesema kuwa imepata mafanikio makubwa katika kipindi cha miezi...

Pages