Makala »

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wilfred Ndidi.

KIUNGO wa Leicester City, Wilfred Ndidi, ndiye anayeongoza kucheza faulo nyingi katika Ligi Kuu...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Harry Kane.

WAKATI Ligi Kuu England ikiendelea Januari hii kipindi ambacho usajili wa dirisha dogo nao...

15Jan 2018
Adam Fungamwango
Nipashe

MTIBWA Sugar.

MTIBWA Sugar iliendelea kuzitia tumbo joto timu zilizo juu ya  msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

15Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MCHEZO wa mpira wa miguu maarufu kama soka, ndiyo mchezo wenye mashabiki wengi zaidi duniani....

14Jan 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili

AIDA ana miaka 12 ,anasoma darasa la sita. Lakini hajui kusoma, kuandika wala kusali. Walezi...

14Jan 2018
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili

muonekano wa zahanati ya kijiji cha Viazi inayoendelea kujengwa.

VIANZI, kijiji chenye wakazi 3,000 kilichopo, Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, tangu kuanzishwa...

14Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

 
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, akionyesha kwa waandishi wa habari mmoja wa samaki aina ya kayabo mwenye urefu chini ya sentimita 30 wasioruhusiwa kuvuliwa kwa mujibu wa Sheria ya Uvuvi namba 22 ya mwaka 2003 na kuhifadhiwa katika ghala la Kituo cha Idara ya Maendeleo ya Uvuvi, Kanda ya Bukoba ambapo shehena ya tani 65.6 za samaki hao ilikamatwa katika Kisiwa cha Rubili, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na kutaifishwa kwa amri ya Waziri. (Picha na WMU)

SERIKALI imeshtuka! Harufu ya ufisadi, rushwa na aina nyingine za hujuma za kiwango cha juu...

13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

KAMA ambavyo Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ilivyo na jukumu la kutoa...

13Jan 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe

MVUA inayoendelea kunyesha mijini  na kwenye ukanda wa mafuriko na udongo wa aina mbalimbali iwe...

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

Ali Bashir akiwa chuoni Mwanakwerekwe akisuka vifaa vya kompyuta kwenye fani ya elektroniki. PICHA: RAHMA SULEIMAN.

ZANZIBAR inatimiza miaka 54 tangu kufanyika mapinduzi ya mwaka 1964, ikiwa na mengi ya kujivunia...

13Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Wanawake wa kikundi cha wajasiliamali cha Mtazama Women Group, wakiwaonyesha wanahabari ghala wanalotumia kuhifadhia chumvi.

MJASIRIAMALI Hawa Khatibu, anajiona akitumbukia kwenye dimbwi la umaskini licha ya kwamba...

12Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

WAKATI leo ikiwa ni kilele cha Sherehe ya Mapinduzi Zanzibar ikitimiza miaka 54 tangu kuasisiwa...

Pages