Habari »

13Jan 2018
Renatha Msungu
Nipashe

WASICHANA 500 walio chini ya umri wa miaka 18 wamekutwa katika ndoa za utotoni, huku wengine...

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Heshima katika sherehe hizo. PICHA:OWM

ATIMAYE Zanzibar ilitimiza miaka 54 ya Mapinduzi na kusherehekewa kwa kishindo kwenye Uwanja wa...

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), wakipita mbele ya jukwaa kuu katika maandamano ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA: IKULU

ZANZIBAR imeadhimisha kilele cha sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi kitofauti kwa kutumia muda...

13Jan 2018
Kelvin Mwita
Nipashe

MAWASILIANO.

MAWASILIANO yanachukua nafasi kubwa sana katika kujenga uhusiano wa aina yoyote ile. Inapotokea...

13Jan 2018
Jumbe Ismaily
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Igunga, John Mwaipopo.

MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa mtaa wa barabara ya Mbutu, mjini...

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akipungia mkono wananchi, wakati akiwasili katika uwanja wa Abeid Amani Karume mjini Unguja jana, katika sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA: IKULU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa msamaha kwa...

13Jan 2018
Nebart Msokwa
Nipashe

WAGONJWA wanaohitaji huduma za vipimo vya mionzi (X- Ray) na Ultra-sound wakiwamo wajawazito...

13Jan 2018
Rose Jacob
Nipashe

WATU  watano, akiwamo Ofisa Ardhi wa Wilaya ya Ilemela, Alloyce Nyabange,  wanashikiliwa na...

13Jan 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

MWENYEKITI wa Taifa wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema.

MWENYEKITI wa Taifa wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, amefungua kesi ya kutaka...

13Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe

NI muujiza tena! Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amewashangaza tena wapendwa wake...

13Jan 2018
Steven William
Nipashe

Mbunge wa Jimbo la Muheza, Balozi Adadi Rajab.

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA), wilayani Muheza, Mkoani Tanga, imeombwa kuweka kituo cha...

13Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya ufundi, Prof. Joyce Ndalichako.

NI rungu zito! Kwa mara nyingine, Serikali imerudia agizo lake la kupiga marufuku tabia...

Pages