Habari »

14Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

jeneza la marehemu Yona Maro.

KIJANA aliyefahamika kwa jina la Yona Maro, anadaiwa kujiua kutokana na wivu wa mapenzi na...

14Jan 2018
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili

Marehemu Pendo (kulia) na mdogo wake enzi za uhai wao. Wote wameuawa kinyama (picha ndogo) Mtoto Joshua enzi za uhai wake.

NI pasua kichwa! Msako unaoongozwa na Jeshi la Polisi katika mkoa wake wa Kinondoni dhidi ya Ami...

14Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili

Mkurugenzi wa RAHCO, Masanja Kadogosa.

BOMOABOMOA ya maeneo yaliyopo katika hifadhi ya reli mkoani Mwanza ilianza jana huku mamia ya...

14Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili

waziri wa madini Angela Kairuki.

WAKATI mawaziri Angela Kairuki wa Madini na Dk. Charles Tizeba wa Kilimo wakijihakikishia kubaki...

13Jan 2018
John Ngunge
Nipashe

Rais John Magufuli.

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Wilaya ya Simanjiro, kimempongeza Rais John Magufuli kwa...

13Jan 2018
Godfrey Mushi
Nipashe

RUNGU la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika Mkoa wa Kilimanjaro, limevishukia vituo 28 vya...

13Jan 2018
Godfrey Mushi
Nipashe

Mkuu wa wilaya hiyo, Rosemary Staki.

WILAYA ya Same, mkoani Kilimanjaro inakaribia kuipiku rekodi ya Halmashauri ya Ubungo ya Dar es...

13Jan 2018
Renatha Msungu
Nipashe

WASICHANA 500 walio chini ya umri wa miaka 18 wamekutwa katika ndoa za utotoni, huku wengine...

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Heshima katika sherehe hizo. PICHA:OWM

ATIMAYE Zanzibar ilitimiza miaka 54 ya Mapinduzi na kusherehekewa kwa kishindo kwenye Uwanja wa...

13Jan 2018
Rahma Suleiman
Nipashe

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), wakipita mbele ya jukwaa kuu katika maandamano ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA: IKULU

ZANZIBAR imeadhimisha kilele cha sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi kitofauti kwa kutumia muda...

13Jan 2018
Kelvin Mwita
Nipashe

MAWASILIANO.

MAWASILIANO yanachukua nafasi kubwa sana katika kujenga uhusiano wa aina yoyote ile. Inapotokea...

13Jan 2018
Jumbe Ismaily
Nipashe

Mkuu wa Wilaya ya Igunga, John Mwaipopo.

MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa mtaa wa barabara ya Mbutu, mjini...

Pages