Habari »

17Jan 2018
Mary Geofrey
Nipashe

Sehemu ya bustani ya kupumzikia iliyopo Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ikiwa imetelekezwa kwa kutohudumiwa na kugeuzwa kuwa jalala la kutupia takataka. Eneo hilo lilijengwa miaka ya 1960 ililengwa kuwa sehemu ya kupumzikia wakazi wa jiji nyakati za jioni. PICHA: SELEMANI MPOCHI

ENEO la bustani ya kupumzikia watu la Mnazi Mmoja, kata ya Mchafukoge, wilayani Ilala jijini Dar...

17Jan 2018
Lilian Lugakingira
Nipashe

MIILI ya watu wengine wawili ambao walipoteza maisha katika ajali ya gari dogo la abiria aina ya...

17Jan 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

 Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa.

JESHI la Polisi limewaonya watu waliopata msamaha wa Rais kuwa iwapo watarudia kufanya vitendo...

17Jan 2018
John Ngunge
Nipashe

Watuhumiwa wa mlipuko katika mgahawa wa kihindi wa Verma Traditional Indian Cuisene jijini Arusha.

BAADHI ya watuhumiwa wa milipuko ya mabomu jijini Arusha, jana walishuka  kwenye basi la...

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua Kituo cha Afya cha Kinesi wilayani Rorya Januari 16, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka watumishi wa umma nchini wasijihusishe na vitendo vya...

17Jan 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

JESHI la Polisi limesema limemkamata mkoani Iringa Mhasibu wa Hospitali ya Rufani ya Mbeya, Ami...

17Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Rais John Magufuli akizungumza na balozi mpya wa Uturuki nchini, Ali Davutoglu, ambaye aliambatana Ikulu jijini Dar es Salaam na Mwambata wa Kijeshi, Murat Ozen na Katibu wa pili wa ubalozi huo, Nihat Kumhur baada ya kupokea hati za utambulisho. Picha zaidi uk. 26. PICHA: IKULU

RAIS John Magufuli amepokea hati za utambulisho za mabalozi 6 walioteuliwa kuziwakilisha nchi...

17Jan 2018
Dege Masoli
Nipashe

MKUU wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa, amewaagiza wakuu wa shule na walimu wakuu kutomkataa...

17Jan 2018
Grace Mwakalinga
Nipashe

Picha zikimuonyesha Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Sugu' na katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga, wakiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya jana. PICHA: GRACE MWAKALINGA

HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite, jana aliamuru Mbunge wa...

16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe

mkuu wa wilaya ali Hapi akizungumza mbele ya wananchi alipotembelea maeneo korofi ambayo chemba za maji taka hufumuka mara kwa mara eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amepongeza utendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka...

16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe

WIZARA ya Maji na Umwagiliaji, kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, Dar es Salaam (DAWASA...

16Jan 2018
Rashid Nchimbi, Jeshi la Polisi Arusha
Nipashe

Kamanda Polisi wa Mkoa wa Arusha, Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo.

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limeweza kudhibiti matukio ya uhalifu kwa 17.9% mwaka jana 2017...

Pages