Habari »

17Jan 2018
Dege Masoli
Nipashe

MKUU wa Wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa, amewaagiza wakuu wa shule na walimu wakuu kutomkataa...

17Jan 2018
Grace Mwakalinga
Nipashe

Picha zikimuonyesha Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi 'Sugu' na katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga, wakiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya jana. PICHA: GRACE MWAKALINGA

HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, Michael Mteite, jana aliamuru Mbunge wa...

16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe

mkuu wa wilaya ali Hapi akizungumza mbele ya wananchi alipotembelea maeneo korofi ambayo chemba za maji taka hufumuka mara kwa mara eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi amepongeza utendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka...

16Jan 2018
Frank Monyo
Nipashe

WIZARA ya Maji na Umwagiliaji, kupitia Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, Dar es Salaam (DAWASA...

16Jan 2018
Rashid Nchimbi, Jeshi la Polisi Arusha
Nipashe

Kamanda Polisi wa Mkoa wa Arusha, Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo.

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limeweza kudhibiti matukio ya uhalifu kwa 17.9% mwaka jana 2017...

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

JESHI la Polisi mkoani Manyara limenasa "majambazi sugu" watatu ambao walikuwa wakiibia watu...

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge.

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge ameonyesha kukerwa na watendaji wa Halmashauri ya...

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe.

MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe ameshauri kuangaliwa upya kwa mikopo...

16Jan 2018
Gerald Kitalima
Nipashe

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Mratibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wakipelekwa mahabusu.

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Mratibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,...

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

MTAALAMU Mwandamizi katika Idara ya Dawa za Kulevya katika ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali...

16Jan 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe.

Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limemzuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe...

16Jan 2018
Godfrey Mushi
Nipashe

waziri wa afya, ummy mwalimu.

HALMASHAURI ya Wilaya ya Siha imetaja siri ya kufanikiwa kwa asilimia 87 kutoa chanjo ya...

Pages