NDANI YA NIPASHE LEO

19Jun 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Marufuku hiyo ilitangazwa juzi na Buswelu aliyewakilishwa na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Nicodemus John. Mkuu wa Wilaya alisema hatua hiyo ni moja ya jitihada za serikali kutaka kukomesha wizi...
19Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika michezo hiyo, Mchenga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa pointi 115-63 dhidi ya Ukonga, kwenye mchezo wa pili Heroes walijikuta wakifungwa kwa pointi 60 kwa 42 dhidi ya Ardhi. Katika mchezo...
19Jun 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Droo hiyo ya Biko ilichezeshwa jana jijini Dar es Salaam huku ikihudhuriwa na mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Humud Abdulhussein. Akizungumza baada ya kuchezesha droo...
19Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*** Apandiwa dau hadi kuamua kusaini miaka miwili Msimbazi huku Yanga ikipigwa butwaa...
Habari zilizopatikana jana jioni zinasema Niyonzima amekubali kujiunga na Simba baada ya viongozi wa klabu hiyo kumpa fedha hizo za usajili. Kwa muda mrefu tangu kumalizika kwa Ligi Kuu Bara,...
19Jun 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
imezidi kukua baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF katika utawala wa Rais Leodgar Tenga, Fredrick Mwakalebela pamoja na aliyekuwa makamu wa Rais katika utawala huo, Athuman Nyamlani, kuchukua fomu...
19Jun 2017
Renatus Masuguliko
Nipashe
Wastani wa vifo vitokanavyo na ajali za migodi umepanda kutoka vitano mwaka 2008, hadi zaidi ya 18 katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka.Aidha, takwimu zinaonyesha palikuwa na matukio 42...

Dk. Harrison Mwakyembe

19Jun 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
 Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ilitangaza kulifunga gazeti hilo kwa miezi 24 kuanzia Alhamisi iliyopita, kwa kuchapisha taarifa zinazowahusisha marais wastaafu...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Jumanne Murilo.

19Jun 2017
Marco Maduhu
Nipashe
 Paulo (17), aliyekuwa anaishi na wazazi wake Mtaa wa Mazinge, Kata ya Ndembezi mjini Shinyanga, alifariki dunia juzi usiku kutokana na kudaiwa kujinyonga kwa kamba juu ya mti jirani na nyumbani...
19Jun 2017
Mhariri
Nipashe
Klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara zimeanza kusajili wachezaji kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao kueleka kwenye msimu mpya wa ligi Kuu utakaoanza Agosti. Hiki ni kipindi...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango.

19Jun 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
 Kwa mujibu wa ratiba ya mkutano wa Bunge la Bajeti, baada ya mjadala wa bajeti ya serikali kuhitimishwa leo na wabunge kupitisha bajeti kwa kura ya wazi kesho, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk....

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

19Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 “Taifa la watu waadilifu na wachapakazi huanzia katika ngazi ya familia. Kama kaya zetu haziishi kwa uadilifu, ni vigumu sana kuwa na Taifa lenye wananchi waadilifu. Ni muhimu basi...
19Jun 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Wingi wa wadau hao ambao wanaendelea kujitokeza kunaashiria kutakuwa na upinzani mkali katika kuwania uongozi waTFF kwenye uchaguzi ambao umepangwa kufanyika Agosti 12 mkoani Dodoma. Mpaka sasa...
19Jun 2017
Paul Mabeja
Nipashe
 Wakati Chenge ni Mbunge wa Bariadi, Ngeleja anawakilisha wananchi wa jimbo la Sengerema.Kamati ya Profesa Nehemia Osoro iliyokuwa imeundwa na wataalamu wa uchumi, sheria na takwimu iligundua...
19Jun 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
 Chama hicho pia kimemtaka Waziri Mwigulu kuiomba radhi jumuiya ya watu wenye ulemavu kutokana na kitendo hicho.Aidha, ACT imemtaka Waziri Mhagama kuhakikisha madai ya watu wenye ulemavu...

Naibu aktibu mkuu CCM Zanzibar Dkt. Abdullah Juma Mabodi.

17Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msimamo huo umetolewa na Naibu aktibu mkuu CCM Zanzibar Dkt. Abdullah Juma Mabodi wakati akizungumza na wanachama wa CCM wa umoja wa wanawake wa mkoa wa mjini Magharibi ambao wanashiriki mafunzo ya...
17Jun 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Ofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Halmashauri hiyo, Innocent Byarugaba, alisema jana kuwa katazo hilo ni pamoja na kuzuia shughuli zote za uchinjaji wa nguruwe, kuingiza au kutoa nyama ya...
17Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika, Ofisa wa idara hiyo Pascal Ndunguru amesema mtoto anayo haki ya kupata elimu na sio kukatishwa masomo na kuolewa. Amesema wazazi hasa...

Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othuman.

17Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika amesema baadhi ya wazazi wanawatumia watoto wao vibaya kwa kuwaacha wafanye kazi za kupaa samaki bandarini na kwamba licha watoto hao kuishi...
17Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hadi jana saa 7:30 mchana, Dk. Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) alikuwa na wafuasi 1,020,530.Kwa mujibu wa kampuni ya uchambuzi wa masuala ya kijamii ya...
17Jun 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Wengi wanadai hazita tena ubora, tunzi zao zinaboa na zinafanana kinachotofautisha ni mtiririko tu. Pia wasanii wenyewe ama wamejisahau au wamelewa na sifa za ustaa. Wanaoingia kwenye tasnia hiyo...

Pages