NDANI YA NIPASHE LEO

Meneja wa kitengo cha Airtel money, Asupya Naligingwa.

10Feb 2016
Nipashe
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imetangaza kutoa gawio la faida kwa wateja wake wa Airtel money zaidi ya milioni sita, pamoja na mawakala wake nchi nzima. Airtel italipa gawio la faida...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPB, Prof. Lettice Rutashobya.

10Feb 2016
Nipashe
Akizungumza kwenye uzinduzi huo uliofanyika jana, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPB, Prof. Lettice Rutashobya, alisema tawi lililokuwepo hapo awali halikuweza kutosheleza mahitaji ya wakazi wa...
10Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Kikiwa kimetokana na Afro Shiraz Party (ASP) na Tanganyika African National Union (TANU), chama hicho kimeendelea kuwapo madarakani, licha ya kukabiliwa na upinzani unaokuwa kwa kasi nchini. Kama...
10Feb 2016
Richard Makore
Nipashe
Muafaka uliokuwa ukitafutwa ni kati ya aliyekuwa mgombea wa urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) na Ali Mohamed Shein aliyegombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wakati wa vikao...
10Feb 2016
Nipashe
Katika sehemu hii ya pili tunaangal;ia mkakati huo na jinsi mzigo ulivyotupwa kwetu, Tanzania na athari zake Kuna mambo mengi ambayo yatabaki siri kubwa. Sababu ni kwamba Benki ya Standard...
10Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo ni maneno ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mohamed Mchengerwa Mchengerwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Rufiji (CCM), anasema amejipanga vizuri katika kamati hiyo na kwamba...
10Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Dk. Mwakwembe alisema fedha zilizotolewa zitatatua changamoto kubwa ya kuimarisha miundombinu ya mahakama nchini. "Wananchi wanahitaji...
10Feb 2016
Nipashe
Akiongea kwenye mkutano wa kampeni kwenye shule ya serikali ya Kitgum, Ijumaa iliyopita, Mbabazi alitoa mfano wa nchi ambayo viongozi wake hawang’ang’anii madaraka. Mgombea huyo wa kujitegemea...
10Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Rais Magufuli leo ametimiza siku 98 tangu aingie Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam na kesho kutwa atatimiza siku 100. Dk. aliapishwa Novemba 5 mwaka jana na baada ya hapo aliingia lango la...
10Feb 2016
Mhariri
Nipashe
SABABU kubwa ambayo imekuwa ikitolewa kwa miaka mingi na Mahakama ya Tanzania kuwa ni kikwazo cha kutokamilisha mashauri kwa wakati, ni ufinyu wa bajeti. Mahakama imekuwa ikilalamikia miundombinu...
10Feb 2016
Nipashe
Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Shaib Nnunduma, alisema kwa sasa uongozi wa halmashauri hiyo unakamilisha taratibu za kisheria ili kuwafikisha watumishi hao mahakamani, akiwamo mganga mfawidhi,...
10Feb 2016
Nipashe
Dar es Salaam, Monday February 9, 2016: Hatimaye Alikiba ametoa wimbo wake “Lupela” uliokuwa ukisubiriwa na mashabiki wake Afrika Mashariki kwa wiki kadhaa sasa. Wimbo huo ni sehemu ya kampeni ya...

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe.

10Feb 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza jijini Arusha jana wakati akifungua mkutano wa pili wa wanasheria wa Afrika ulioandaliwa na mahakama hiyo, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe, alisema mahakama hiyo...
10Feb 2016
Nipashe
Mkuregenzi Mtendaji wa Wild Frontiers, ambaye ndio muandaaji wa mbio hizo, John Addison alisema usajili wa mwaka huu umeongezeka kutokana na kuongezeka kwa mitandao ya kijamii hivi kurahisisha...
10Feb 2016
Lulu George
Nipashe
“Tunaiomba serikali iingilie kati jambo hili, kama mzazi anakataa hata kununua sare za shule kwa mtoto wake sisi walimu inatuweka mahali pagumu…”
Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti mjini hapa mwishoni mwa wiki, baadhi ya walimu walisema hali hiyo imekuwa ikiwapa wakati mgumu, huku baadhi ya wanafunzi wakitaka kuhudhuria masomo bila...
10Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Niyonzima alisema wachezaji wote wanajituma kwenye mazoezi na juhudi inaonekana, lakini uamuzi wa mwisho ni kocha. "Kocha ndiye anayeamua nani aanze kucheza na nani afuate, au nani asicheze siku...
10Feb 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Akizungumza katika Baraza la Ushauri la wilaya hiyo, mkuu huyo wa wilaya alisema kwa kawaida simba anapozeeka uwezo wake wa kuwinda wanyama wengine unapungua na wakati mwingine hukimbilia katika...
10Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
Yanga inashuka dimbani mwishoni mwa wiki hii kucheza mechi ya kwanza ya michuano hiyo yenye hadhi kubwa katika ngazi ya klabu. Katika kukwepa hujuma, klabu hiyo haitafikia hotelini, badala yake...

Picha ya maktaba

10Feb 2016
Jumbe Ismaily
Nipashe
Jengo hilo linadaiwa kujengwa na mmoja wa makandarasi wa wilayani hapa, Hamisi Mombasa, kwa michango ya fedha za wananchi pamoja na fedha za serikali kuu. Diwani Kata ya Kining'inila, Elisha...
10Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Yondani, beki wa zamani wa Simba, alilimwa kadi nyekundu na refa Andrew Shamba baada ya kupigana na daktari wa Coastal katika dakika ya 90+9 ya mechi ya raundi ya 16 ambayo Wanajangwani walilala 2-...

Pages