NDANI YA NIPASHE LEO

17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mafunzo hayo yatakayodumu kwa muda wa wiki moja yanayotegemea kuanza kesho chini ya makocha wa timu za taifa za vijana, yatashirikisha wachezaji nyota 65 kutoka katika mikoa mbalimbali iliyoshiriki...
17Jan 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Idadi hiyo ya walimu wanaostaafu inaufanya mkoa wa Kilimanjaro sasa kuwa na upungufu wa walimu 2,398 wa shule za msingi. Akizungumza mjini hapa mwishoni mwa wiki kuhusu upungufu huo katika mkutano...
17Jan 2017
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Wamesema hatua hiyo itasaidia kupunguza makali ya Sh. bilioni 12 ambazo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Ruvuma imepangiwa kukusanya mwaka huu kutoka kwa wafanyabiashara. Ombi hilo...
17Jan 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Twapenda mno kuiga lugha zisizoeleweka zitumiwazo na watu wanaotegemea kujifunza kutoka kwetu! Haishangazi kuwasikia vijana wakisalimiana, kwa mfano, ‘mambo ni aje?’ badala ya kusema ‘mambo...

KIPA bora wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Aishi Manula.

17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Azam FC itashuka dimbani kesho Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kumenyana na Mbeya City kwenye mfululizo wa Ligi Kuu na Manula aliyedaka mechi tano za Kombe la Mapinduzi bila kufungwa...
17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizindua safari hizo jana, Majaliwa alisema zitawezesha wafanyabiashara na wananchi wengine kutoka Dodoma na kwenda katika maeneo mengine kwa urahisi. Alisema kuanzishwa kwa safari hizo ni moja...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

17Jan 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki, baada ya kujiridhisha kuwa hospitali zote za mkoa huo zimepokea mgawo wa fedha za ununuzi wa dawa na vifaa tiba kutoka Hazina...
17Jan 2017
Grace Mwakalinga
Nipashe
Agizo hilo lilikwenda sambamba na utekelezaji wa ahadi yake ya wanafunzi kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne wanasoma bure, limesababisha mafuriko ya wanafunzi katika shule za msingi na...
17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Tafca Kinondoni, Boniface Wambura alisema jana kuwa ajenda za kawaida za kikatiba zitajadiliwa na kwamba mkutano huo utaoongozwa na Mwenyekiti wake, Eliutery Mholery...
17Jan 2017
Steven William
Nipashe
Watuhumiwa hao wanashikiliwa katika Kituo Kidogo cha Polisi cha Mji wa Mombo kwa mahojiano na polisi. Kati ya majeruhi hao 33, watatu hali zao si nzuri na wamelazwa katika Kituo cha Afya cha Mombo...
17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kama Marshall Space Flight Center , yeye ameyafanyia kazi majukumu kadhaa makubwa na muhimu kwa ajili ya NASA. Miongoni mwa majukumu hayo ni pamoja na kubuni matairi kwa ajili ya chombo cha...
17Jan 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Watu wenye imani za kuua bibi na babu zetu, pamoja na ndugu zetu wengine wengi, wanachokifanya wanatufadhaisha sana na wakati mwingine inanipa maswali mengi kichwani. Hiyo mara nyingi linatokana...
17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndege hao wanaohama,husafiri masafa marefu hadi kuwasili katika maeneo yao ya kuzalia ya asili kwa karibu siku moja kabla kulingana na kiwango cha ongezeko la joto duniani kupanda, utafiti umegundua...

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

17Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Alitoa agizo hilo jana wakati akizindua Bodi Mpya ya Tantrade wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ofisi zao zilizopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Pia...
17Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Ahadi kipa Mtibwa ikitimia Jamhuri atamsaidia Lwandamina kwa pengo la pointi...
Simba inaongoza kwenye msimamo wa Ligi Kuu kwa pointi zao 44 baada ya kucheza mechi 18, wakifuatiwa na mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 40 za mechi 18 pia. Na leo jioni Yanga watashuka Uwanja...
17Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Habari hii ambayo pia ilitawala katika vyombo mbalimbali vya habari, ilieleza kuwa shule tisa za mkoani Mtwara, ni miongoni mwa 10 zilizoshika mkia kwenye mtihani huo kitaifa. Katibu Mtendaji wa...
17Jan 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na mkuu wa kitengo cha utalii katika hifadhi hiyo, Benard Mgina, wakati akizungumza na Nipashe. “Ndani ya hifadhi hii miti ya mibuyu ni mingi sana ambayo...

Alhaji Abdallah Bulembo akisalimiana na rais john magufuli.

17Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, wabunge walioteuliwa ni Alhaji Abdallah Bulembo na Profesa wa Sheria Palamagamba Kabudi. Bulembo ni baba wa...
16Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde, alisema licha ya udanganyifu huo watahiniwa hao wataruhusiwa kurudia mitihani hiyo....
16Jan 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, katika mtihani huo uliofanyika kuanzia Novemba 14 hadi 25, mwaka jana, kuna wasichana tisa katika orodha ya wanafunzi 10 kwa ufaulu. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta),...

Pages