NDANI YA NIPASHE LEO

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

24Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema lengo la makubaliano hayo ni kurahisisha muingiliano wa watu na bidhaa. Pia amesema viongozi hao wamekubaliana kufungua fursa za kiuchumi baina ya nchi hizo pamoja na kuweka utaratibu wa...

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa.

24Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli, pamoja na mambo mengine, imechukua hatua kadhaa kuhakikisha taifa linapiga hatua kiuchumi ikiwamo kuimarisha miundombinu, kupambana na...
24Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Alitaja baadhi ya sababu za hatua hiyo, kuwa ni pamoja na kuwapo kwa wimbi la uporaji wa pikipiki jijini, hasa katika maeneo ya Chanika, Kigamboni na Kinyerezi. Kimsingi sababu zilizotajwa na...
24Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Matukio hayo yanahusisha majambazi kuvamia makazi ya raia na kuwapora mali kwa kutumia silaha na wakati mwingine kusababisha mauaji. Moja ya matukio ya karibuni ni la mauaji lililotokea usiku wa...
24Mar 2017
Mohab Dominick
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Nipashe mjini hapa juzi, baadhi wa vijana wa mjini Kahama walisema kitendo cha serikali kupiga marufukuru pombe hiyo kumewasaidia kubadili tabia, ikiwamo...

gereza la Geita.

24Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Meja Jenerali Mstaafu, Ezekiel Kyunga, alisema hayo mbele ya Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harisson Mwakyembe, ambaye sasa ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni...
24Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Wilbrod Mutafungwa, alisema kati ya watuhumiwa hao yumo mpagazi Wilfred Mauga (31), maarufu rasta, mkazi wa Mount Meru Arusha, ambaye alimpigia simu mara ya...
24Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mfanyabiashara huyo, alikamatwa juzi katika Kijiji cha Kisesa, Kata ya Vudee, Tarafa ya Mwembe Mbaga, wilayani hapa akiwa anaendelea na uzalishaji wa dawa hizo kwa kutumia kilimo cha umwagiliaji...
24Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Mkurugenzi wa Kampuni ya TanzaniteOne, Hussein Gonga, alisema lengo la kutoa msaada huo ni kuhakikisha wanaendeleza uhusiano mwema na jamii inayozunguka machimbo ya madini ya Tanzanite. Alisema...

MKUU wa Mkoa wa Manyara, Dk. Joel Bendera.

24Mar 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Agizo hilo alilitoa jana  katika uwanja wa Kwaraa mjini hapa, wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji. Alisema dunia inabadilika, hivyo jamii inatakiwa kutunza mazingira  ili kuendelea...
24Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Manyara, Kamishna Msaidizi (ACP) Francis Massawe, akizungumza jana na waandishi wa habari, alisema watu hao walikamatwa mji mdogo wa Mirerani kwa nyakati tofauti. Alisema...
23Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uchanganyaji wa vinywaji vyenye nishati na pombe, unaweza kuwa mchanganyiko hatari unaoweza kusababisha hatari kubwa ya ajali na majeruhi, utafiti kutoka nchini Canada unaonyesha. Hii ni kutokana...
23Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ripoti inayohusu furaha ya umma duniani, inabanisha namna watu wanavyokuwa na furaha na chimbuko lake lilivyo. Nchi nyingine tano katika orodha iliyoko ni pamoja na Denmark, Iceland, Uswisi na...
23Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Huduma ‘fasta’ ya vinasaba, madini hadi mchicha mabondeni
Lengo la maboresho hayo ni kurahisisha majukumu kwa taasisi hiyo muhimu inayofanya kazi ya uchunguzi wa kimaabara pamoja na usimamizi wa sheria. Baadhi ya kazi za uchunguzi zinazofanywa na maabara...
23Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kitendo cha kuchukua muda kunyanyuka kutoka kwenye kiti kwa mfano tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma, ni mambo ya kawaida kama ilivyo kwa viungo vya mwili kama misuli kupiga kelele ama kutoa milio...
23Mar 2017
Jenifer Julius
Nipashe
Uwapo wa huduma hii humuwezesha binadamu kukidhi haja ya mwili wake anapohitaji kufanya hivyo. Husaidia kutunza mazingira na kuboresha afya. Serikali kwa kutambua umuhimu wake, imekuwa ikitoa...
23Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Inaelezwa kuwa kuna upungufu mkubwa wa wataalamu hao katika hospitali za umma, vituo vya afya na zahanati. Hayo yalibainishwa juzi na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy...

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

23Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Endapo wasingerusha kipindi alichokitaka. Pia Kamati hiyo imebaini kuwa Makonda aliwatisha kuwa angewaingiza wafanyakazi hao kwenye tuhuma za matumizi ya dawa za kulevya kama wasingerusha kipindi...

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Mizengo Pinda.

23Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pinda aliyasema hayo wakati wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Chuo Kikuu Huria cha China, yaliyofanyika makao makuu ya muda ya hicho, Dar es Salaam....

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Norman Sigala.

23Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kamati pia imezitaka taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutumia kituo hicho kutunza kumbukumbu zao. Akizungumza katika maazimio ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

Pages