NDANI YA NIPASHE LEO

12Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Ni miaka mingi tangu afariki dunia, lakini Hayati Sokoine anaendelea kumbukwa na Watanzania wengi kutokana na uongozi wake uliojaa uadilifu, uchapa kazi, uzalando, kuchukia vitendo vyote vya ukosefu...

sheikh, Hassan Bamba, akiwa chini ya ulinzi wa polisi jana.

12Apr 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Sheikh huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kitongoni, mwenye umri wa miaka 14 na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri....
12Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kwa mujibu wa TMA, mvua hizo za masika zinatarajia kunyesha hadi mwezi Mei katika mikoa mbalimbali nchini. Pamoja na athari mbalimbali zinazojitokeza zinazosababishwa na mvua hizo kuna umuhimu kwa...

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Mnasa.

12Apr 2016
Emanuel Legwa
Nipashe
Watuhumiwa hao walikamatwa jijini Mbeya jana baada ya Mkuu huyo wa Wilaya kuambatana na maofisa wa TFS kutoka makao makuu na kufanya msako wa kushtukiza kwenye maghala ya wafanyabiashara hao jijini...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Christopher Fuime.

12Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Tukio hilo lilitokea jana 1:00 alfajiri baada ya mtuhumiwa huyo kwenda eneo hilo akiwa na gari lenye namba za usajili T 504 aina ya Toyota Mark II kwa lengo la kuchukua nyama ya ng`ombe aliyekuwa...

Dany Lyanga wa Simba (10), akijaribu kufunga bao, huku akiwa amezungwa na mabeki wa Coastal Union ya Tanga.

12Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
***Yapigwa na Coastal Union robo fainali ya Kombe la Shirikisho
Matokeo hayo ya hatua ya robo fainali, yana maana kwamba, sasa Simba haitashiriki michuano ya kimataifa mwakani, labda itwae ubingwa wa Ligi Kuu Bara unaowaniwa kwa karibu na Yanga na Azam FC. Kwa...
12Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Hassan Mpako, alipokuwa akifungua mkutano wa mwaka 2016 uliofanyika mjini humo na kufafanua kwamba lengo ni kuwa na wanachama hai. Mpako alifikia hatua...
12Apr 2016
Neema Emmanuel
Nipashe
* Alishatoa hukumu kesi nne, kusekwa mahabusu watu kibao
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kuifanya kazi hiyo kuanzia Januari hadi Aprili 6, mwaka huu alipobainika baada ya kushindwa kujitambulisha kwa Hakimu Mfawidhi wa wilaya hiyo, Edmund Kente, kuwa ni hakimu na...
12Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza baada ya mechi kumalizika, kocha huyo alisema amefurahishwa jinsi mashabiki walivyojitokeza kuwashangilia. "Mashabiki wa Yanga walikuwa wakiishangilia sana timu yao na kuipa hamasa,...

Anne Kilango Malecela.

12Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Anne-Kilango aonja U-RC kwa siku 27, ang'olewa Ma-DC, watendaji wengine serikalini matumbo moto,wachambuzi wakosoa mtindo wa utumbuaji majipu....
Kadhalika, Rais Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Katibu Tawala wa Mkoa huo, Abdul Dachi. Hatua ya kutengua uteuzi huo, imetokana na mkoa huo kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu...
12Apr 2016
Juma Ng'oko
Nipashe
Akizungumza wakati wa mahojiano maalumu na Nipashe ofisini kwake jijini hapa jana, Meneja wa Wakala wa Barabara (Tanroads) mkoani Mwanza, Mhandisi Leonard Kadashi, alisema uhaba huo ni miongoni mwa...

Mratibu wa Ukimwi Halmashauri ya Jiji la Tanga, Mosses Kisibo.

12Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Takriban wanafunzi 135 wa shule 18 za Msingi na moja ya sekondari Jijini hapa wamekutwa na tatizo la ukosefu wa lishe bora na kupata utapiamlo. Wanafunzi 1,927 walikutwa na dalili ya utapiamlo...

Mkuu wa JICA Tanzania, Toshio Nagase.

12Apr 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Mradi huo uliopewa jina la `Bussines Environment for Jobs Development Policy Operation', umefadhiliwa na Benki ya Dunia (WB). Hayo yalisemwa na Mwakilishi Mkuu wa shirika hilo, Toshio Nagase,...

Mkurugenzi Mkuu wa Nemc, Bonaventura Baya.

12Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nemc imesema uchimbaji wa mchanga katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam, ni hatari kwa kuwa unasababisha majanga ya mafuriko na kutengeneza mito isiyotarajiwa. Mkurugenzi Mkuu wa Nemc,...
12Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Bajeti tarajiwa ya mwaka 2016/17 kuwa Sh. trilioni 29.53 wakati ya mwaka wa fedha unaomalizika wa 2015/16 ni Sh. trilioni 22. 49. Hilo ni moja ya maswali yaliyoibuka baada ya Waziri wa Fedha na...

jengo la shule ya bombo likiwa limebomoka , baada ya kudumu kwa zaidi ya miaka 100 bila kufanyiwa ukarabati.

12Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Shule hiyo ni miongoni mwa shule zenye sifa nzuri na kuongoza katika kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wanaomaliza darasa la saba. Kwa sababu ya majengo ya shule hiyo kujengwa miaka mingi bila...

Hans van de Pluijm.

12Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza Dar es Salaam jana, Pluijm alisema anafahamu ugumu wa mashindano hayo, lakini anakiandaa kikosi chake kusonga mbele. "Sare hii siyo nzuri kwetu, lakini hatuvunji moyo kwenye mechi ya...
12Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
‘Lughawiya’ ni taaluma inayoshughulikia uchambuzi wa lugha katika nyanja mbalimbali kama vile sarufi, maana, matamshi na matumizi; isimu. Niliandika maelezo haya kwenye moja ya makala...

Waziri wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga.

11Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Onyo hilo linatokana na uhamiaji katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka huu kukamata raia 22 wa mataifa mbalimbali kwa kosa la kufanya kazi bila kibali.Akizungumza katika mahojiano na Nipashe,Kaimu...
11Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Kamishna Msaidizi Wilbroad Mtafungwa, alithibitisha jana kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa watu watatu wamekamatwa na polisi kuhusu na kumnyang’anya silaha...

Pages