NDANI YA NIPASHE LEO

20Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wanigeria waliiba ramani ya Dodoma, wakaitumia kuijenga Abuja kama Ulaya , Magufuli sasa akomalia mpka kieleweke, Bado masaa 240, Vigogo wahaha kusafirisha familia, magodoro , Baadhi waamishia watoto shule za bweni Dar
Katika uchunguzi wake uliohusisha mahojiano na maofisa kadhaa wa zamani na waliopo sasa serikalini, Nipashe imebaini kuwa siri nyingine ya kuhamia Dodoma kuanzia mwezi ujao ni pamoja na kuongeza...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

20Aug 2016
Paul Mabeja
Nipashe
Hivi karibuni, ilibainika kuwapo kwa wanafunzi hewa katika shule mbalimbali za msingi na sekondari nchini kote, hali iliyosababisha serikali kuamuru uhakiki wa wanafunzi kufanyika upya. Kutokana...
20Aug 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe
Simba huyo anayesadikika kuishi kwenye mashamba ya wakazi wa vijiji vilivyoko kwenye kata hiyo, alimvamia na kumuua mtoto huyo ambaye alikimbia baada ya wanakijiji kupiga mayowe kuomba msaada wakati...

laudit mavugo.

20Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Timu 10 zinatarajiwa kushuka kwenye viwanja tofauti nchini kuanza kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara huku ITC ya Mavugo ikiwasili...
Simba itaanza kampeni za kuwania ubingwa wa ligi hiyo kwa kuwakaribisha Ndanda FC ya Mtwara mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru (maarufu Shamba la Bibi) jijini, Dar es Salaam. Akizungumza...

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi.

20Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia Hapi amewapongeza waandaaji wa shindano hilo kuahidi kutumia asilimia 10 ya mapato watakayokusanya kuchangia mfuko wa madawati wilayani humo. Akizungumza na warembo hao waliomtembelea ofisini...

Hassan Kessy.

20Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Simba inataka kulipwa kiasi hicho cha fedha kutokana na beki wake huyo wa zamani kuvunja mkataba na kujiunga na Yanga kinyume na makubaliano. Taarifa iliyotolewa jana na Ofisa Habari wa TFF,...
20Aug 2016
Vivian Machange
Nipashe
Unaweza kuweka mlo kabambe mezani, lakini jiko lako ni chafu mno huku ukitafakari namna ya kulisafisha ukashindwa hata kula hicho chakula kwa raha kutokana na fikra! Kanuni kuu ya jiko ni kuwa...
20Aug 2016
Jenifer Julius
Nipashe
Anawaambia wasihofishwe na kutumia njia za uzazi wa mpango na waendelee kuzaa bila kipingamizi. Kwa tafsiri ya rahisi kauli hii inamaanisha kuwa watoto watasoma bila kujali hali ya mfuko wa mzazi...
20Aug 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mjumbe kutoka Chama cha Mawakala wa Utalii Tanzania (TATO), Samwel Diah, alisema hayo wakati wa uzinduzi wa ofisi ya kampuni ya Amref, itakayoshughulikia usafiri wa anga kwa ajili ya kuwawahisha...
20Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga, aliwaeleza wakazi wa Kata ya Muray, kuwa watendaji wanatakiwa kuhakikisha mazao ya wakulima yanauzwa kwa bei elekezi ya serikali. Aidha, aliwataka...
20Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA, Richard Kayombo, aliiambia Nipashe wiki hii iliyotaka kufahamu utekelezaji wa suala hilo. Alisema huo ni utekelezaji na mikakati ya TRA katika...
20Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Timu zinazoshiriki ligi hiyo, ambayo bingwa wake ataiwakilisha Tanzania Bara katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa mwaka 2018/19 ni pamoja na mabingwa watetezi Yanga, Azam FC, Simba...
20Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Takwimu zilizotolewa katika moja ya habari za gazeti juzi zilionyesha kuwa mwaka 2010, wanawake 450 katiya 100,000 walikuwa wakifariki nchini kutokana na matatizo ya nayohusiana na ujauzito na...
20Aug 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Kutokana na ukubwa wa tatizo hilo, misitu ya miti hiyo ambayo ni muhimu katika utunzaji wa mazingira, imeteketezwa kwa kasi kubwa na kusababisha tishio la kutoweka katika kipindi kifupi kijacho....
20Aug 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Alijifungia ndani mwake jioni, akajilipua , Polisi wahaha kutafuta chanzo cha yote
Taarifa juu ya kifo hicho, zilithibitishwa jana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi, Wilbrod Mutafungwa. Mfanyabiashara huyo alichukua uamuzi huo...
20Aug 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Mkurugenzi wa kampuni ya Pics3, Edgar Mgeta, alisema mifuko hiyo imeonyesha kuwa mahiri kuhifadhi mazao kwa muda mrefu bila kushambuliwa na wadudu wa aina yoyote.“Utafiti uliofanywa na baadhi...

Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Kagera (KRFA), Jamal Malinzi.

20Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mapema mwaka huu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa agizo kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuanza kutumia tiketi za kielektroniki msimu huu lakini jambo hilo limeshindwa kutekelezeka kwa wakati...
19Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Juzi usiku jeshi hilo liliwatia mbaroni waigizaji wanne wa kundi hilo kwa kosa la kuvaa nguo zinazodhaniwa kuwa ni za Jeshi la Polisi kinyume cha sheria na taratibu za nchi. Waliokamatwa Jumanne...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

19Aug 2016
Fredy Azzah
Nipashe
*** Aeleza alivyoshtukia marehemu waliokuwa wamepewa mikopo ya mamilioni.
Aidha, wakati vyuo hivyo vikirudisha fedha hizo, ukaguzi wa kutafuta wanafunzi hewa uliofanywa ulibaini Sh. bilioni 3.85 zililipwa kwa wanafunzi hewa 2,192 kwa kipindi cha mwaka 2015/16, Prof....

Sheikh Ponda Issa Ponda.

19Aug 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kislam nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema anaunga mkono hatua hiyo, lakini akakosoa utaratibu uliotumika. Mufti Zubeir aliunda tume ya wajumbe nane Agosti 10...

Pages