NDANI YA NIPASHE LEO

14Aug 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Nipashe mjini hapa muda mfupi baada ya kuufunga mkutano mkuu wa uchaguzi juzi jioni, Karia aliwashukuru wajumbe wote kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kuliongoza...
14Aug 2017
Ahmed Makongo
Nipashe
Mayanja aliyasema hayo mjini Bunda wakati akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki juu ya maendeleo ya halmashauri hiyo na uwezeshaji wanawake kichumi, baada ya kuzinduliwa jukwaa la wanawake katika...

MKUU wa Wilaya ya Korogwe, Robert Gabriel.

14Aug 2017
Dege Masoli
Nipashe
Gabriel alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo na kukuta samani mbalimbali za mamilioni ya shilingi zikiwa zimetelekezwa maeneo yasiyo rasmi. Samani hizo ziliharibika kutokana na...

MBUNGE wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

14Aug 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Akizungumza juzi na wananchi wa Machame Uroki wilayani hapa, Mbowe alisema fedha ambazo zinakwenda kutumika kwa ajili ya uchaguzi wa marudio zingeweza kufanya mambo mengine ya msingi. “Isingekuwa...
14Aug 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Mradi huo ambao umewekwa jiwe la msingi wiki iliyopita na Rais John Magufuli na Rais Yoweri Museveni wa Uganda, unatarajia kutoa fursa za kiuchumi kwa wananchi waishio katika mikoa nane, wilaya 24 na...
14Aug 2017
John Ngunge
Nipashe
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Safari Airlink inayokuwa ikimiliki na kuendesha ndege hiyo, Peter Fox, alithibitisha hali ya hewa imekwamisha uchunguzi kubaini chanzo cha ajali. Ndege hiyo yenye uwezo wa...
14Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Abdallah alitoa kauli hiyo katika mkutano wa kawaida wa kila mwaka wa klabu hiyo uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere (MNICC) jijini Dar es Salaam...
14Aug 2017
Peter Mkwavila
Nipashe
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, Athumani Masasi, kujengwa kwa kiwanda hicho kutaiongezea mapato halmashauri na kutoa ajira kwa vijana. Masasi alisema pia...
14Aug 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Uongozi umemkataa Kulwa kuwa msimamizi kwa madai ya kukaidi kulipa tozo za serikali ya kijiji na punjo la malipo kwa baadhi ya wachimbaji. Mwenyekiti wa kijiji cha Lwamgasa, Lumumba Salvatory...
14Aug 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Waigizaji wanalia kudhulumiwa kazi zao na wasambazaji, lakini pia wasambazaji wakiwalaumu waigizaji kwa kutokuwa wabunifu hivyo kuifanya kazi yao kutofanya vizuri sokoni. Lakini hata kama...
14Aug 2017
Mhariri
Nipashe
Tunakiri kusema uchaguzi ulifanyika kwa kufuata misingi ya kidemokrasia huku kila mgombea akipewa nafasi sawa ya kunadi sera zake. Uchaguzi wowote ni kama mashindano ambapo lazima mshindi...
14Aug 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Karia alichaguliwa kwa kishindo juzi, kuwa Rais mpya wa Shirikisho la  Soka Tanzania (TFF), huku Michael Wambura akiukwaa Umakamu  wa Rais.
Pia kwenye uchaguzi huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jengo...
14Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Ronaldo, Benzema wanakimbiza, Messi sasa ananunulika Barca...
baada ya kushuhudia rekodi ya dunia ya uhamisho wa Neymar kutoka Barcelona kwenda Paris Saint-Germain jambo ambalo anaamini hata Euro milioni 300 zinazohitajika ili kuvunja mkataba wa Lionel Messi...
14Aug 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Pamoja na kuwa kuna wachezaji wa kigeni kutoka nchini, Zimbabwe ndiyo inayoongoza kuwa na wachezaji wengi zaidi hapa nchini. Ina jumla ya wachezaji tisa, huku nane wakitoka Ghana. Klabu za Azam...
14Aug 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kukitembelea juzi, mwenyekiti wa kiwanda hicho, Mahesh Pater alisema bado kiwanda hakijafanikiwa kuzalisha kwa...
14Aug 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Kwa mujibu wa mikataba hiyo, daktari atakayeshindwa kufikia malengo atakuwa amejiachisha kazi mwenyewe. Akizungumza na Nipashe juzi, Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali...
14Aug 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Wanafunzi hao ni Dorin Mshana, Sadia Awadhi na Wilson Tarimo ambao walipelekwa nchini humo Mei 14, mwaka huu kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mercy Medical iliyoko Sioux City. Ajali ya...
14Aug 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Zoezi la kukamatwa kwa magari hayo lilikuwa likiendeshwa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) mkoani Pwani wakishirikiana na Jeshi la Polisi pamoja na kamati ya usalama ya barabara mkoa wa Pwani...

Janvier Bokungu

14Aug 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Jumanne iliyopita, klabu ya Simba ilitambulisha kikosi chake kipya kitakachoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano mingine ikiwamo ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF). Mbali na...
14Aug 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa miaka minne sasa, Yanga imekuwa ikihangaika huku na huko kutafuta mchezaji mwenye kariba kama ya Chuji au anayekaribiana naye, lakini imeshindikana. Ama wachezaji wanaosajiliwa wanakuwa...

Pages