NDANI YA NIPASHE LEO

20Aug 2016
Vivian Machange
Nipashe
Unaweza kuweka mlo kabambe mezani, lakini jiko lako ni chafu mno huku ukitafakari namna ya kulisafisha ukashindwa hata kula hicho chakula kwa raha kutokana na fikra! Kanuni kuu ya jiko ni kuwa...
20Aug 2016
Jenifer Julius
Nipashe
Anawaambia wasihofishwe na kutumia njia za uzazi wa mpango na waendelee kuzaa bila kipingamizi. Kwa tafsiri ya rahisi kauli hii inamaanisha kuwa watoto watasoma bila kujali hali ya mfuko wa mzazi...
20Aug 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mjumbe kutoka Chama cha Mawakala wa Utalii Tanzania (TATO), Samwel Diah, alisema hayo wakati wa uzinduzi wa ofisi ya kampuni ya Amref, itakayoshughulikia usafiri wa anga kwa ajili ya kuwawahisha...
20Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga, aliwaeleza wakazi wa Kata ya Muray, kuwa watendaji wanatakiwa kuhakikisha mazao ya wakulima yanauzwa kwa bei elekezi ya serikali. Aidha, aliwataka...
20Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA, Richard Kayombo, aliiambia Nipashe wiki hii iliyotaka kufahamu utekelezaji wa suala hilo. Alisema huo ni utekelezaji na mikakati ya TRA katika...
20Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Timu zinazoshiriki ligi hiyo, ambayo bingwa wake ataiwakilisha Tanzania Bara katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa mwaka 2018/19 ni pamoja na mabingwa watetezi Yanga, Azam FC, Simba...
20Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Takwimu zilizotolewa katika moja ya habari za gazeti juzi zilionyesha kuwa mwaka 2010, wanawake 450 katiya 100,000 walikuwa wakifariki nchini kutokana na matatizo ya nayohusiana na ujauzito na...
20Aug 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Kutokana na ukubwa wa tatizo hilo, misitu ya miti hiyo ambayo ni muhimu katika utunzaji wa mazingira, imeteketezwa kwa kasi kubwa na kusababisha tishio la kutoweka katika kipindi kifupi kijacho....
20Aug 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Alijifungia ndani mwake jioni, akajilipua , Polisi wahaha kutafuta chanzo cha yote
Taarifa juu ya kifo hicho, zilithibitishwa jana na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi, Wilbrod Mutafungwa. Mfanyabiashara huyo alichukua uamuzi huo...
20Aug 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Mkurugenzi wa kampuni ya Pics3, Edgar Mgeta, alisema mifuko hiyo imeonyesha kuwa mahiri kuhifadhi mazao kwa muda mrefu bila kushambuliwa na wadudu wa aina yoyote.“Utafiti uliofanywa na baadhi...

Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Kagera (KRFA), Jamal Malinzi.

20Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mapema mwaka huu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa agizo kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuanza kutumia tiketi za kielektroniki msimu huu lakini jambo hilo limeshindwa kutekelezeka kwa wakati...
19Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Juzi usiku jeshi hilo liliwatia mbaroni waigizaji wanne wa kundi hilo kwa kosa la kuvaa nguo zinazodhaniwa kuwa ni za Jeshi la Polisi kinyume cha sheria na taratibu za nchi. Waliokamatwa Jumanne...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

19Aug 2016
Fredy Azzah
Nipashe
*** Aeleza alivyoshtukia marehemu waliokuwa wamepewa mikopo ya mamilioni.
Aidha, wakati vyuo hivyo vikirudisha fedha hizo, ukaguzi wa kutafuta wanafunzi hewa uliofanywa ulibaini Sh. bilioni 3.85 zililipwa kwa wanafunzi hewa 2,192 kwa kipindi cha mwaka 2015/16, Prof....

Sheikh Ponda Issa Ponda.

19Aug 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kislam nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema anaunga mkono hatua hiyo, lakini akakosoa utaratibu uliotumika. Mufti Zubeir aliunda tume ya wajumbe nane Agosti 10...

Mkuu wa Mkoa simiyu, Anthony Mtaka

19Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya Mtaka aliyoiandika jana kwenye moja ya mitandao ya kijamii ilisema ameagiza wateule wote wa Idara ya Elimu mkoani Simiyu wafanyiwe uchambuzi wa historia zao (vetting). “Watumishi hao...
19Aug 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Imesema hatua hiyo inatokana na idadi ya wavutaji nchini kuongezeka kwa kasi na kufikia asilimia 27 huku wakazi wa Dar es Salaam wakiwa vinara. Kutokana na idadi ya wavutaji kuongezeka, serikali...
19Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Bunge, Owen Mwandumbya, miswada sita ya sheria ambayo imekwishasomwa kwa mara ya kwanza bungeni, itachambuliwa na kamati za kudumu za bunge...
19Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Ukaguzi umebainisha wanafunzi hao 785 hewa, wamewekwa katika orodha ya malipo ya fedha za mkakati wa elimu bure katika shule. Wanafunzi hao hewa wamegundulika kuingizwa, siku chache baada ya Rais...
19Aug 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Takwimu zinaonyesha kuwa, katika miezi yake yote hii ya kushika hatamu za uongozi wa nchi, mapato yamekuwa yakivuka shilingi trilioni moja kwa mwezi, ikilinganishwa na takribani bilioni 800...
19Aug 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Tangu wakati huo, amekuwa akifanya kazi kadri awezavyo kinyume na matarajio ya watu ambao wamekuwa wakiishi kwa mtindo wa mazoea. Rais Magufuli ameonyesha mamlaka yake kwa kuanza kutimiza ahadi...

Pages