NDANI YA NIPASHE LEO

01Oct 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Kwa ambao hawakuwa wamelewa walioona kitimoto cha wababaishaji wetu pale bandarini na kukumbuka jamaa walivyokuwa wakitoa majibu ya kitoto kwa maswali magumu, yaliyohusu upitishaji shehena bila...
01Oct 2016
Vivian Machange
Nipashe
Hata hivyo, unaweza kuishi vizuri mno kwenye chumba hicho kidogo endapo utafahamu jinsi ya kukiweka katika muonekano sahihi, uliopangika na unaopendeza. Kuna mbinu nyingi ya kukipanga chumba cha...
01Oct 2016
Mhariri
Nipashe
Mchezo huo ni wa kwanza kuzikutanisha timu hizo kwenye msimu huu na ni matarajio ya wengi uwanja wa Taifa leo utafurika kwa idadi kubwa ya mashabiki. Kama ilivyo miaka yote, mchezo huu umebeba...
01Oct 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Maendeleo (Repoa),Dk. Donald Mmari, alisema jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uratibu usiokamilika na...
01Oct 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Kangomba ni kipimo kisicho rasmi kinachotumiwa na wanunuzi wasiosajiliwa ambacho ukubwa wake ni zaidi ya kilo moja lakini wakulima hulipwa fedha chini ya ujazo huo na kuwasababishia hasara....
01Oct 2016
Amri Lugungulo
Nipashe
Mkuu wa Wilaya hiyo, Happyness Seneda, alitoa agizo hilo hivi karibuni wakati akiwahutubia wakulima wa korosho katika mkutano uliofanyika katika kijiji cha Kurui, tarafa ya Mzenga. Mkutano huo...

MWAKILISHI wa Shirika la Mpango wa Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) nchini, Clara Makenya.

01Oct 2016
John Ngunge
Nipashe
Aidha, ametoa changamoto kwa wadau wa viwango kuwezesha uzalishaji wa bidhaa bora na zisizoharibu mazingira. Alisema hayo katika meza ya majadiliano yaliyowashirikisha wadau wa viwango ikiwemo...

Abiria wakisubiri usafiri kituoni.

01Oct 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Narejea utafiti huu kutokana na foleni na msongamano ulioko katika kituo cha Mbezi Mwisho kwenye barabara ya Morogoro. Watafiti Edward Ntwale na Elias Samweli, waliofanya kazi hiyo, miaka miwili...

kocha wa simba Joseph Omog akiwa na wachezaji wake katika mazoezi ya mwisho kabla ya kukabiliana na yanga,.

01Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Vigogo Simba na Yanga wanakutana Uwanja wa Taifa katika mechi ya kwanza ya msimu…
Kwa zaidi ya wiki mbili, karibu kila kona ya nchi hasa Dar es Salaam, mashabiki wa soka wa klabu hizo kongwe wamekuwa wakirushiana vijembe – kila mmoja akitamba kuibuka na ushindi. Miamba hiyo ya...
01Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Gazeti la Lete Raha linalochapishwa na Kampuni ya The Guardian ni mmoja wa wadhamini wa shindano hilo linaloshirikisha warembo kutoka mikoa mbalimbali hapa nchini. Akizungumza na gazeti hili jana...
01Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Na Faustine Feliciane WAANDAAJI wa mashindano ya riadha ya 'Rock City Marathon', Kampuni ya Capital Plus International imesema kuwa malengo ya mashindano hayo mwaka huu yamefanikiwa....

KATIBU wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela.

01Oct 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, mfadhili wa mashindano hayo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Buigiri, Kenneth Yindi , alisema mshindi katika fainali hiyo atajinyakulia jezi , mipira mitatu na...

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, Ibrahim Lipumba akijibu maswali ya waandishi wa habari JIJINI Dar es Salaam jana.

01Oct 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Wakati Prof. Lipumba aking’ang’ania kukesha ofisini na wakati mwingine kulala papo hapo, kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari, kundi lisilomuunga mkono linapanga mikakati ya kumng’oa...

kassim majaliwa.

30Sep 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Hatua hiyo ni kutekeleza ahadi yake aliyoitoa Julai 25, mwaka huu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa iliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma kwamba ifikapo Septemba 30, mwaka huu atahamia Dodoma...

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi.

30Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Aidha, watu milioni 17.3 hupoteza maisha duniani kutokana na magonjwa ya moyo na kwamba ifikapo mwaka 2030, watu milioni 23 wataugua ugonjwa huo na kati yao asilimia 25 watatoka nchi zenye uchumi wa...

Pierre Nkurunziza.

30Sep 2016
John Ngunge
Nipashe
Uamuzi huo ulitolewa jana na Mahakama ya Katiba ya Afika Mashariki (EACJ) kutokana na kesi iliyofunguliwa dhidi yake na asasi tatu za kiraia za Burundi, ambazo zilidai amejiongezea muda wa uongozi...
30Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mhamasishaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) Kanda ya Mashariki, Desteria Nanyanga, alisema jana alipohojiwa na Nipashe jijini Dar es Salaam kuwa rushwa ni moja ya vikwazo vinavyokwamisha...

Basi la kampuni ya Allys Sport Bus linalosafirisha abiria kutoka Dar es Salaam na Mwanza likiwa limeacha njia na kupinduka.Picha na maktaba.

30Sep 2016
Mary Geofrey
Nipashe
WAMILIKI wa mabasi wataka watakaonaswa na tochi wafungwe
Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alilieleza Nipashe jana kuwa adhabu inayotolewa kwa madereva ni ndogo ukilinganisha na makosa wanayofanya na hivyo kuendelea kusababisha ajali nchini. Mrutu...

Waliokuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Amantius Msole (katikati), Mhasibu Mkuu wa mkoa, Simbaufoo Swai (aliyevaa miwani) na Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Kelvin Makonda (kushoto), wakiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba jana.

30Sep 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
'Vigogo' hao ambao jana walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Denice Mpelembwa ni pamoja na waliotumbuliwa na Rais John Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa juzi. Waliofikishwa...
30Sep 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Utafiti wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) uliofanyika mwaka 2014 unaoitwa “Utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2014 Tanzania Bara” unaonyesha kuna Watanzania milioni 2.3 wasio na ajira....

Pages