NDANI YA NIPASHE LEO

20Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Timu hizo zilizopata siti ya kwenye basi la Ligi Kuu Tanzania bara ni pamoja na Lipuli ya Iringa, Singida United ya Singida pamoja na Njombe Mji ya mkoani Njombe. Ukiziondoa Lipuli na Singida...
20Feb 2017
Mhariri
Nipashe
Hata hivyo, mbio za Kilimanjaro Marathon ambazo ndizo zimebaki kuitangaza riadha ya Tanzania nyumbani, bado ni michuano dhaifu ambayo licha ya umri wake mkubwa imeshindwa kuvutia wakimbiaji maarufu...
20Feb 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii wa chama hicho, Janeth Rithe, alisema kutokana na upungufu wa mvua katika maeneo mengi nchini,...
20Feb 2017
Rose Jacob
Nipashe
Katika kesi hiyo ya mwaka 2016, walalamikaji ni wapigakura wa jimbo hilo ambao ni Magambo Masato, Matwiga Matwiga, Janes Ezekiel na Acetic Malagila. Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza,...

aliyekuwa Mbunge wa Longido, Onesmo Ole Nangole.

20Feb 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kesi hiyo itasikilizwa na Jaji Bernard Luanda, atakayekuwa Mwenyekiti wa Jopo la Majaji Stella Mugasha na Kipenka Mussa. Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, ilitengua matokeo ya ubunge wa Nangole kutokana...

MWENYEKITI wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda.

20Feb 2017
Anceth Nyahore
Nipashe
Aidha, Makinda amesema vituo vya afya, zahanati na hospitali zitakazobainika kufanya ubaguzi huo, zitaondolewa usajili wa NHIF. Alitoa onyo hilo alipokuwa akizungumza katika kikao cha wadau wa NHIF...

Msemaji wa taasisi hiyo, Sheikh Rajab Katumba.

20Feb 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yalielezwa jijini Dar es Salaam jana na Kaimu Msemaji wa taasisi hiyo, Sheikh Rajab Katumba, wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya msimamo wao katika operesheni ya dawa za kulevya...
18Feb 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Kemikali hizo hutumika kutengeneza dawa za kulevya, na maofisa hao, imeelezwa, walihusika na uingizwaji wake kupitia bandarini. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Operesheni...
18Feb 2017
Mary Mosha
Nipashe
Baadhi ya wananchi ambao maeneo yao yanapakana na hifadhi hiyo, wanadaiwa kushirikiana na viongozi wa vijiji na vitongoji kuvamia maeneo tengefu kinyume cha sheria na kujaribu kubadili ramani za...
18Feb 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Nilianza kuwaza kivingine, nilijiona ndani ya dimbwi la raha kuu. Nilijikuta niko mbingu ya saba.” Ni maelezo ya Bob J, si jina lake halisi, anapokutana na Nipashe kwenye soko la samaki ya Msasani...

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo.

18Feb 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Lengo la mpango huo ni kuhakikisha zinadhibiti uingizwaji wa dawa zisizo na ubora kwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Asilimia 80 ya dawa zinazotumika nchini zinaagizwa nje na hugharimu Dola za...
18Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***TFF yapiga marufuku mabango ya kukashifu Serikali, viongozi kwenye mchezo wa leo....
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limewatahadharisha mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kutobeba mabango ya kukashifu Serikali wala kiongozi yeyote wa nchi. Inahofiwa mashabiki wa mabingwa hao...
18Feb 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro Ebrosy Mwanguku, amesema makusanyo ya fedha hizo yametokana na uandikishaji wa wanawake walioolewa na Watanzania mkoani humo. Ofisa huyo wa uhamiaji alisema hayo...
18Feb 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Tangu lini kumshuku mlevi ikawa kumvunjia heshima? Kwani kaya ya walevi imegeuka ya malaika? Huwa sielewi madai ya namna hii hasa ikizingatiwa kuwa chini ya sheria ya kaya wanakaya wote ni sawa...
18Feb 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Upimaji huo ulifanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa siku tano, ulikuwa na lengo la kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kuzingatia lishe bora ikiwamo kupima wingi wa mafuta...
18Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Omog, alisema sasa wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo huo baada ya kufanya vizuri kwenye michezo mitatu iliyopita. "Sasa tunaweza tukazungumzia mchezo na Yanga,...
18Feb 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Akizungumza wakati akizungumza na waandishi wa habari juzi, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk. Joel Bendera, alisema uchumi wa mkoa huo umekua kwa asilimia kubwa ikilinganishwa na mikoa mingine ya Kanda ya...
18Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati vita dhidi ya mihadarati ikiendelea kushika kasi, imeelezwa kuwa kazi hiyo ilianza mapema hapa nchini baada aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, kuteuliwa na Rais John...
18Feb 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Nduta, ambaye ni mkazi wa kitongoji cha Ilewe B katika kijiji cha Jojo, alikamatwa juzi jioni nyumbani kwake na alipopekuliwa alikutwa na kilo nne za bangi iliyokaushwa na misokoto 29 aliyokuwa nayo...
18Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Simba itavaana na Yanga Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Taifa. Akizungumza mara baada ya mchezo wa juzi, Mkude, alisema kwa sasa kikosi cha timu hiyo kipo kwenye kasi na wataendelea kutoa vipigo...

Pages