NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

18Dec 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Hata hivyo, Mwenyekiti wa CCM Taifa ana malengo mazuri katika mabadiliko haya ya uongozi ndani ya chama na jambo la msingi ni kwa viongozi na wanachama kuendelea kumuunga mkono ili kuweza kukiimarisha chama.
Tendo hilo la kihistoria la kuunganisha nguvu ili kupata umoja na ushirika ni kuendeleza utamaduni uliokuwa umeanza huko nyuma wa kuunganisha watu kuwa na umoja kwa lengo la kujiimarisha katika...
18Dec 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Matukio mengi hujitokeza katika kipindi hiki hasa ya ajali za barabarani, kutokana na madereva kuendesha kwa mwendokasi ili kuwahi abiria wengine wanaohitaji kusafiri nje ya miji wanayoishi.
Huu ni wakati wa baadhi ya familia kupenda kusafiri ili kubadilisha mazingira waliyozoea kuishi na kupata mandhari nyingine. Wengine hupenda kuchukua likizo na familia zao na kwenda kusheherekea...
18Dec 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Zipo roho ambazo zinafuatilia watu pasipo wao kujua. Roho hizi zaweza kuwa zimesababishwa na koo zetu, babu na bibi zetu, mizimu na wakati mwingine shetani. Moja ya roho hizo ni roho ya mitala (roho...
18Dec 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana kutoka Oman, mshambulaji huyo wa zamani wa Azam FC alisema Simba imeacha kipa mzuri ambaye angewasaidia kutwaa taji la Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya muda mrefu. “...
18Dec 2016
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Huku akitoa miezi mitatu kwa kila wilaya kuhakikisha maeneo ya wazi yaliyokuwa yakitumika kwa michezo mbalimbali, ambayo yameuzwa, yanarudishwa mara moja, vinginevyo hatua kali za kisheria...
18Dec 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
***Sasa wawaombe Simba, Kichuya njaa ya ushindi na mabao, Mbeya City nayo...
Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 36 baada ya kucheza mechi 16 na kuishusha Simba iliyomaliza kileleni mzunguko wa kwanza kwa pointi zake 35. Lakini Simba inaweza kurejea kileleni leo...
18Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Simba watakuwa wageni wa Ndanda FC leo jioni katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara na baada ya mazoezi ya jana uwanjani hapo, Omog alisema wana matumaini ya ushindi. “Ni matumaini yangu...
18Dec 2016
Ahmed Makongo
Nipashe Jumapili
Onyo hilo lilitolewa na Mkugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Janeth Mayanja, wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa juzi kuhusu mambo mbalimbali ikiwamo ulipaji kodi. Alisema...
18Dec 2016
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Mhagama alitoa agizo hilo kwa mhandisi huyo juzi alipotembelea kukagua ujenzi wa soko hilo. Alisema pamoja na kuridhishwa na shughuli za ujenzi wa soko hilo zilivyofanyika, juhudi ziongezwe ili...
18Dec 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Yote hayo ni matokeo ya ukosefu wa nyanda za malisho unaosababisha mifugo kutembezwa masafa marefu, kukosa majani na maji na kuathiri ubora wa nyama ya Tanzania. Utafiti uliofanywa na...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TET, Dk. Elia Kibga.

18Dec 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TET, Dk. Elia Kibga, alisema vitabu hivyo vitagawiwa bure kwenye shule zote za msingi na sekondari. Alisema...

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi na watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.

18Dec 2016
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Mhagama aliyasema hayo jana alipotembelea ukarabati wa nyumba kwa ajili ya watumishi zilizoko eneo la Kikuyu Maghorofani mjini hapa na nyumba ya Waziri Mkuu pamoja na ofisi zinazoendelea kufanyiwa...

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Dk. Binilith Mahenge.

18Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dk. Mahenge alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Tunduru (Tamcu), alipofanya ziara ya kuangalia utaratibu wa uuzaji wa korosho kutoka kwa...
18Dec 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Makanisa hayo sasa kwa kila moja walo yamekuwa yakitumia mbinu tofauti za kuwanasa waumini kwa gharama zinazolenga kusimika imani zao kiroho. Mbinu hizo ni pamoja na wachungaji hao kuendesha...
18Dec 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo inatokana na baadhi ya mawaziri kwa muda mrefu kuibuka na matamko ambayo yanavuruga sera, sheria na miongozo iliyowekwa kwa ajili ya maendeleo ya sekta husika zikiwamo zile zinazogusa moja...

Mwenyekiti wa nccr-mageuzi, James mbatia

18Dec 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Kimemtaka badala yake, afuate sheria na siyo kutegemea matamko ya viongozi wa juu wa serikali yanayochangia kubomoa vyama anavyovisimamia. Aidha, NCCR-Mageuzi imetangaza kuanza kufanya mikutano...
18Dec 2016
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Makonda alishusha rungu hilo jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kukabili magonjwa yasiyo ya kuambukiza, huku akisema kuwa kuna ongezeko la kila mwaka la wagonjwa wa maradhi...
18Dec 2016
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili
Aidha amesema serikali kamwe haitakubali kuona wananchi wake wakinyanyaswa na kukosa ardhi wakati matajiri wachache wakiendelea kumiliki ardhi kubwa bila kuendeleza.Majaliwa alitoa msimamo huo jana...
18Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Yadaiwa ajira 280 zimetoweka
Desemba 3, mwaka huu, akizungumza katika mkutano mmojawapo wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyekuwa katika ziara ya kikazi mkoani Arusha, Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Kalist Lazaro,...
11Dec 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana katika maadhimisho ya siku ya maadili visiwani hapa, Dk. Shein alisema kuwepo kwa vitendo vya uhujumu wa uchumi na rushwa katika taasisi zinazosimamia ukusanyaji wa mapato na utoaji...

Pages