NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Baadhi ya Wafanyakazi wa majumbani kutoka Dodoma na Dar es salaam wakiwa kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya siku ya wafanyakazi wa majumbani Duniani iliyoaazimishwa mjini Dodoma juzi. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

19Jun 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe Jumapili
Agizo hilo alilitoa jana wakati maadhimisho ya siku ya wafanyakazi wa majumbani kitaifa iliyofanyika mjini hapa kwa kuandaliwa na Chama cha Wafanayakazi wa hifadhi, mahoteli, majumbani, huduma za...

Marais wastafu Jakaya Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi (kulia) na Benjamin William Mkapa (kushoto)

19Jun 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Rais huyu aliyeongoza kuanzia 1995 hadi 2005, anakosolewa na kada wa zamani wa CCM aliyejiunga na Chadema, Khamis Mgeja, akisema hastahili kuachwa alivyo kwa kuwa ndiye aliyemliza Baba wa Taifa...
19Jun 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Inashuka dimbani leo nchini Algeria kuanza kampeni ya kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika, huku Kocha Pluijm akitamba kufanya maajabu…
Mechi hiyo ya Kundi A itakayopigwa kuanzia sasa sita usiku kwa saa za nyumbani, inatarajia kuwa na ushindani mkali hasa kutokana na jinsi kila upande ulivyojiandaa, na pia nitashuhudiwa na...

gari lililokuwa likiongoza msafara wa mbunge wa Chalinze wakati wa kampeni.

19Jun 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Mbunge machachari wa CCM, Ally Keissy , Nkasi Kaskazini , alisema jana kwenye semina ya wabunge kuhusu mabadiliko ya tabia nchi iliyofanyika mjini Dodoma. Alisema endapo wabunge na madiwani...

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume

19Jun 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa taarifa ya kamati ya kudumu ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) imesema gharama za mradi huo zimeongezeka kutoka dola za Marekani milioni 70 .4 mwaka 2009...
19Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Baadhi ya mambo yaliyoibuka katika mjadala huo wabunge kupinga kikatwa asilimia tano ya kodi kwenye kiinua mgongo baada ya miaka mitano, waliligomea pia ongezeko la tozo la pikipiki, kupunguziwa...

Msemaji wa klabu ya simba, Haji Manara

19Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mkutano huo umepangwa kufanyika kwenye ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam ambapo wanachama wote watajadiliana na kutoa maoni yao juu ya kuvurunda kwa timu hiyo...
12Jun 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Lakini kwa mujibu wa ripoti ya utalii ya mwaka 2015, Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya saba. Vivutio vya Tanzania vilivyoshindanishwa katika mashindano hayo ni Mlima Kilimanjaro, Bonde la...
12Jun 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Wakizungumza katika semina ya wabunge kuhusu fursa za utangamano wa Afrika Mashariki iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa uliopo bungeni mjini Dodoma katikati ya wiki, Mwenyekiti wa Wabunge wa...
12Jun 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Taarifa ya Ikulu ilieleza kuwa Rais Magufuli amemteua Mwigulu kuongoza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Charles Kitwanga..
Charles Kitwanga, amesema bado yuko nchini Israel ambako atakuwa kwa muda mrefu kabla ya kurejea nchini. Taarifa iliyosambazwa kwenye vyombo vya habari jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais -...

Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa kwenye foleni ya kupanda Treni ya Mwakyembe

12Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Treni moja mpya itahudumia abiria wa kutoka Ubungo hadi Pugu, imesema TRL, likiwemo tawi la kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. TRL imeamua kuchukua hatua hiyo baada ya...

Beki wa pembeni wa timu ya azam Shomari Kapombe akifunga moja ya goli lake dhidi ya Kagera Sugar.

12Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Beki wa pembeni wa timu hiyo Shomari Kapombe, anaongoza kwenye orodha hiyo baada ya kupigia kura 277 na mashabiki wa klabu hiyo. Wachezaji wengine walioingia kwenye hatua hiyo ni pamoja na Aishi...

Rais mstaafu wa awamu ya nne jakaya kikwete akiongozana na Rais john magufuli siku ya Kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa CCM.

12Jun 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Katiba ya TANU ya mwaka 1954 sehemu ya sita ilitoa nafasi kwa vijana kuunda umoja wao. Aidha jumuiya ya wanawake iliundwa mwaka 1955 chini ya Bibi Titi Mohamed, yote yakilenga kukipeleka chama mbele...
12Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Kwa muda siku sita pekee, ilielezwa, madereva 54 walikamatwa kutokana na kipita katika njia za BRT na kusababisha ajali, ikiwamo uharibifu wa mabasi na miundombinu yake. Operesheni iliyoanza Juni...

MBUNGE wa Rombo, Joseph Selasini

12Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Selasini alitoa kauli hiyo jana wakati wa mafunzo ya kuwajengea wabunge uwezo wa kufuatilia utekelezaji wa bajeti na mijadala yenye afya kwa wabunge. Wabunge waliohusika katika mafunzo hayo ni wa...

kocha msaidizi wa yanga, Juma Mwambusi.

12Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mwambusi aliliambia Nipashe kwenye mazoezi ya juzi jioni kuwa usajili waofanya ni kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho na pia kuleta changamoto miongoni mwa wachezaji. "Kila mchezaji...

madawati

12Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkutano huo ulifanyika kwa mafanikio makubwa kwani kwa muda wa saa tano pekee ahadi za madawati 400 zilitolewa na wajumbe walioshiriki. Uamuzi huo uliochukuliwa na wakazi wa Kyerwa ni wa busara...

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm akipiga kura katika uchaguzi Mkuu uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana.PICHA: MICHAEL MATEMANGA

12Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
*** Mabingwa hao wa soka wanaondoka leo kuelekea Uturuki kujiandaa na mchezo huo.
Yanga inaondoka leo kwenda Uturuki kuweka kambi kujiandaa na mchezo huo utakaochezwa Juni 19 nchini Algeria. Akizungumza jana, Pluijm ambaye jana alishiriki kwenye uchaguzi wa viongozi wa klabu...

Baadhi ya vitu vya waathirika wa mauaji ya Kibatini vinavyoonekana katika mahala vilipohifadhiwa kwenye Kijiji cha Kona Z.

12Jun 2016
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Kata ya Mzizima Jijini Tanga, sasa waathirika wa tukio hilo wanakabiliwa na machungu mengine yanayohusiana na hali ngumu ya maisha katika eneo walilokimbilia kwa nia ya kujihakikishia usalama....
12Jun 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Meneja Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungi alisema katika mazungumzo na Nipashe, jijini Dar es Salaam juzi kuwa wananchi wamekuwa wakiziwasha simu feki na kuzijaribu mara kwa mara ili kufahama kama...

Pages