NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

21May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Una malengo mengi lakini kubwa ni kupima uelewa, ujuzi alioupata mwanafunzi baada ya kukaa darasani kwa kipindi cha miaka miwili ama minne na kumwandaa kuingia kwenye safari za taaluma za viwango...
21May 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nguvu ya vyombo vya dola imeelekezwa huko, lakini hadi sasa hakuna mafanikio ya kujivunia kwa kuwa bado viongozi hao wanauawa na wa mwisho ilikuwa Mwenyekiti wa zamani wa CCM wa Tawi la Njianne...
14May 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa juzi wilayani hapo na Mkurugenzi wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Amani Orphance kilichopo chini ya Shirika la Empowering Children and...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi  (NEEC) hilo, Beng’I Issa.

14May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha, vijana hao wanatakiwa kujiunga na vikundi vya kiuchumi hususan wanajishughulisha na usindikaji na kuongeza thamani mazao, ufugaji, uvuvi, usafirishaji, biashara, miradi inayotumia mali ghafi...
14May 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Katika suala la kuwasafirisha watoto kwa kutumia usafiri wa mabasi, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia, moja wapo ni chombo chenyewe kinachotumika kubeba watoto hao. Jambo la pili ni madereva...
14May 2017
Robert Temaliwa
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa juzi na Ofisa Elimu Mkoa wa Pwani, Germana Sendoka, katika maadhimisho ya kilele cha wiki ya elimu, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya kitaaluma na changamoto zinazoikabili...
14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Wazidi kutisha kileleni, ubingwa, kiatu njia nyeupe...
Mabingwa hao watetezi jana walirejea kileleni baada ya kufikisha pointi 65 sawa na Simba, lakini wakiwa na mechi mbili mkononi wakati mahasimu wao wakibakiza mchezo mmoja. Simon Msuva aliifungia...

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo.

14May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ndikilo aliyasema hayo juzi wilayani hapa wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya sita za mkoa wa Pwani. Alisema migogoro hiyo haina tija baina ya makundi hayo mawili, hivyo hawapo tayari...

Baadhi ya mafundi wa TRL wakiwa kandoni mwa eneo la reli lilililoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Muheza, Tanga, jana.
(Picha: Steven William)

14May 2017
Steven William
Nipashe Jumapili
Safari hii, mvua hizo zinazoelezewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kuwa hazijawahi kurekodiwa tangu mwaka 1949, zimekata mawasiliano ya usafiri wa treni ya Shirika la Reli (TRL), ambao hutegemewa...

Abdi Banda.

14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na gazeti hili jana, Banda alisema mbali na timu hiyo kutokuwa na uhakika wa kushiriki katika mashindano ya kimataifa mwakani, lakini atakuwa tayari kusaini mkataba mpya kama atalipwa...
14May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Mtuhumiwa huyo inadaiwa alimchoma kisu mumewake baada ya kugundua ameoa mke mwingine.  Inadaiwa baada ya kugundua mume wake, Tani Ali Tani (41), ameoa mke mwingine, alimchoma kisu akiwa nyumbani...
14May 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
• Mwenyewe aja juu, aanika msimamo...
Akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji bungeni mjini hapa Jumatano, Kitwanga alitishia kuhamasisha zaidi ya wananchi 10,000 kwenda kuzima mtambo wa...

Meneja wa Kihumbe, Ptolemy Samwel.

14May 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wandishi wa habari jana, Meneja wa Kihumbe, Ptolemy Samwel, alisema vijana hao wamewezeshwa masuala ya ujasiriamali na utunzaji wa fedha ili ziwasaidie kuinua kipato. Aidha, alisema...
14May 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Hiki ndicho kipindi cha magonjwa ya mlipuko kama homa ya matumbo, kuharisha damu, na hata kichocho bila kusahau nyungunyungu, mafua na homa za vichomi hasa kwa watoto na wazee. Familia nyingi...

Juma Kaseja.

14May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kaseja kipa wa zamani wa Moro United, Simba na Yanga, alijiunga Kagera Sugar kwa mkataba mfupi akitokea Mbeya City ya jijini Mbeya. Akizungumza na gazeti hili jana, Meneja wa Kagera Sugar,...
14May 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa ripoti ya sensa ya idadi ya watu na makazi ya mwaka 2012 imebainisha kuwa Zanzibar idadi ya watu ni zaidi ya milioni 1.4. Katika visiwani vya Unguja na Pemba, kote tatizo la makazi...
14May 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Lowassa alisema licha ya watumishi hao 9,932 kudaiwa kukutwa na kosa la kughushi vyeti ili kujipatia kazi, bado wanastahili mafao kwa jasho walilolitoa kwa kipindi chao chote cha kulitumikia taifa,...
14May 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Wananchi hao walifafanua kuwa licha ya maeneo yao kuchukuliwa na serikali kwa ajili ya kupisha mradi huo, lakini kiasi cha malipo ya fidia waliyopokea ni kidogo ikilinganishwa na tathmini iliyofanywa...
14May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ilidaiwa kabla ya kuuawa, mrembo huyo alikuwa na majambazi wenzake watatu wa kiume waliokuwa wakiwapora mali wakazi wa eneo hilo. Awali, Polisi walijulishwa na raia wema kuhusiana na mahala...
14May 2017
Jenifer Julius
Nipashe Jumapili
Usafiri huu una watu kutoka sehemu mbalimbali wenye tabia tofauti hivyo hata mienendo yao hutofautiana, kuna wengi wamezoea kupiga chabo, kudokoa na baadhi maneno machafu. Kati ya yanayojiri...

Pages