NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

30Oct 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Nikumbushe kuwa unapopanda basi liwe daladala ama la mkoani utakutana na stika za ujumbe wa kuhamasisha ushiriki wa abiria kutoa taarifa au kupaza sauti kupinga uvunjifu wa sheria za barabarani...
30Oct 2016
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Maazimio hayo yamefuatia vikao vya wadau wa pamba katika maandalizi ya msimu wa kilimo wa 2016/17 wa zao hilo unaotarajiwa kuanza mwezi Novemba. Akizungumza na Nipashe juzi jijini hapa, wakati wa...
30Oct 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Katika habari mojawapo iliyoripotiwa jana na gazeti hili, inaelezwa kuwa shehena kubwa ya dawa zikiwamo zile zinazotibu magonjwa ya malaria na homa ya matumbo imekamatwa kwenye mikoa mwili ya kanda...

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

30Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Nisema kuwa wiki hizi nimetembelea chuoni hapo kuwaona wasomi wapya wanaojiunga na chuo chetu. Nikaona niache wosia kwa wenzangu, maana sijapenda nilichokuta. Nasikitika kusema mnaposhi kuna...

Shiza Kichuya.

30Oct 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*** Azidi kuongoza kwa ufungaji, Mohamed Ibrahim naye atupia mawili, Mbeya City nayo...
Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa CCM Kambarage , Shinyanga jana, Kichuya alifunga bao la pili dakika ya 44 ikiwa ni baada ya Mohamed Ibrahim 'Mo' kuipatia Simba bao la kwanza dakika ya 32...
30Oct 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Inawezekana kabisa serikali ikatangaza sekta ya Utalii kama moja ya vipaumbele muhimu vya kuimarishwa kwa gharama yoyote ili baadaye sekta hiyo iwe chanzo kikubwa cha mapato ya serikali kama ilivyo...
30Oct 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Pia wametakiwa kujiunga katika vikundi vya kijasiriamali ili waweze kupata mikopo itakayowasaidia kununua mbegu na pembejeo. Mkurugenzi wa Ushirika wa Wahitimu Wajasiriamali wa Chuo Kikuu cha...
30Oct 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Wanasema urasimu na rushwa vinalalamikiwa mno katika sekta hiyo na kuwa kero kwa wawekezaji na kusababisha miradi mingi kuchechemea.
Serikali na wananchi wanategemea mzunguko wa fedha kupitia sekta ya utalii baada ya watu wengi kunufaika na biashara ya mahitaji mbalimbali kuanzia samaki, nyama, mazao ya shamba ambayo hulisha...

Amissi Tambwe.

30Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Kambarage, Shinyanga, Kichuya ambaye alikuwa akiongoza kwa kuziona nyavu mara saba, alifunga bao moja ambalo linamfanya kufikisha mabao nane katika mechi 12...
30Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa wilaya hiyo Majid Mwanga, alisema katika mahojiano na Nipashe mwishoni mwa wiki, sababu ya kuongezeka kwa mapato hayo ni pamoja na kutumia watendaji wa wilaya kukusanya mapato kikamilifu...
30Oct 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Hata hivyo, ugumba kwa wanawake unaweza kuhusishwa na utumiaji dawa. Zipo baadhi ya dawa ambazo zinapotumika huathiri uwezo wa mwanamke wa kupata ujauzito. Utumiaji wa dawa hizi kwa muda mrefu mwisho ni ugumba
Ugumba pia upo kwa mwanaume kushindwa kusababisha mwanamke kupata ujauzito baada ya kujamiiana. Zipo sababu nyingi ambazo husababisha kuwa mgumba ijapokuwa kwa wanawake theluthi moja ya wenye tatizo...

Amissi Tambwe.

30Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Kambarage, Shinyanga, Kichuya ambaye alikuwa akiongoza kwa kuziona nyavu mara saba, alifunga bao moja ambalo linamfanya kufikisha mabao nane katika mechi 12...
30Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Serikali yafanya marekebisho kuruhusu wazalishaji huru wa umeme
Marekebisho hayo pamoja na mambo mengine, yataondoa ukiritimba wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuwa mzalishaji na msambazaji pekee wa huduma hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa...

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk. Peter Kafumu.

30Oct 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Aidha, ameitaka kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji ili kuondoa kasumba miongoni mwa Watanzania kuwa wawekezaji wengi wa kigeni ni wezi. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk. Peter Kafumu, alisema...
30Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo inafuatia baada ya uongozi wa Yanga kumjibu barua yake ya kuachia ngazi, ikimkatalia na kumtaka kuendelea na kazi kwa kuwa ana mkataba wa miaka miwili. Akizungumza na mwandishi wetu...
30Oct 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Tuliona kiongozi akienda kuwapa kashkash watumishi wa wizara yake muda mfupi baada ya kuapishwa Ikulu. Tukashuhudia saa 1.30 asubuhi geti la ofisi ya wizara fulani likifungwa na kiongozi wa wizara...
30Oct 2016
Steven William
Nipashe Jumapili
*Alimsubiri apande kitandani, alale, kisha akammaliza
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba, aliiambia Nipashe kuwa tukio hilo lilitokea Alhamisi usiku katika kijiji cha Ngarani B, Kata ya Kwakifua wilayani Muheza mkoani humo....

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa.

23Oct 2016
Richard Makore
Nipashe Jumapili
Pia amesema amesema mtu asiyefahamu historia ya leo, hawezi kujua thamani ya utalii wa asili unaopatikana Kagera na maeneo mengine nchini. Mkapa aliyasema hayo juzi usiku katika ukumbi ulioko...
23Oct 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
*DED amfuta kazi mtendaji.
Anadaiwa kutokutimiza wajibu baada ya wanafunzi sita wa Sekondari ya Selya kupewa ujauzito, naye kushindwa kutoa taarifa kwa vyombo vya dola. Sakata hilo limekuja baada ya gazeti hili kufanya...
23Oct 2016
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Akizungumzia tukio hilo mjini hapa mwishoni mwa wiki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Murilo Jumanne, alisema lilitokea juzi majira ya saa 11:00 alfajiri katika eneo analofanyia shughuli zake za...

Pages