NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

18Sep 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana, Shime alisema kuwa wamefanya maandalizi ya kutosha na wachezaji wake wapo tayari kwa pambano leo. "Hatuna sababu ya kushindwa kuwafunga... tumejiandaa vizuri na tuna uhakika wa...
18Sep 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Kwa ushindi huo, Wavaa Jezi Nyekundu wa Msimbazi, wamewashusha kileleni Azam hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo. Yanga imepanda hadi nafasi ya pili ikilingana pointi na timu hiyo ya Chamazi,...
18Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Utafiti wabaini zaweza kuwa chanzo cha ugonjwa wa kisukari
Ni kwamba, mihogo ya kukaanga maarufu kama ‘chipsi dume’ ni miongoni mwa vyakula vilivyobainika kuwa vinaweza kuwa chanzo cha aina mojawapo ya maradhi ya kisukari (type 2 diabetes). Aidha, mbali...
18Sep 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Suala la mchakato wa kupitishwa kwa mswada huo sasa linaonekana dhahiri kuanza kufanyiwa kazi na watunga sheria ambapo muswada huo utawasilishwa kwenye Bunge linaloendelea mjini Dodoma. Kazi ya...
18Sep 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Janga hilo la asili liliuathiri zaidi mkoa wa Kageram hasa katika Manispaa ya Bukoba ambako waathirika ni wengi zaidi, na ndiko kulikotokea vifo na uharibifu mkubwa wa nyumba mali mbalimbali....

Charles Mwijage.

18Sep 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Wadau hao walitoa kauli hiyo juzi jijini Dar es Salaam katika mkutano ulioitishwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), uliolenga kukusanya maoni na mawazo kutoka kwao ya nini kifanyike katika...

igp erinest mangu.

18Sep 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Ni funga kazi baada ya danadana zilizotishia sakata kuzimika, * Spika asisitiza lazima kieleweke, Takukuru yachapa mwendo
Taarifa ambazo Nipashe imezipata, ni kwamba ripoti ya kina itokanayo na ufuatiliaji wa miezi kadhaa chini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kutua kwa wabunge Novemba kwa ajili...

Hudson Kamoga wa Clouds TV.

11Sep 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Katika uteuzi uliotangazwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, watangazaji walioteuliwa ni Hudson Kamoga wa Clouds TV na Frank Bahati wa TBC. Kamoga alijizolea umaarufu kupitia...
11Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baadhi vitambi vipukutika, Msajili Hazina asema hakuna namna
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa siku kadhaa umethibitisha pasi na shaka kuwa hatua hizo za kubana matumizi yasiyo ya lazima ikiwamo pia kupunguza mishahara ‘kufuru’ waliyokuwa wakilipwa baadhi ya...
11Sep 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imetokana na ukosefu wa mikopo kwa wanafunzi wengi, hususan wanaotoka katika familia masikini na kwamba UDSM na Mo watawasomesha wanafunzi hao bure kwa kipindi cha miaka minne....

Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye.

11Sep 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa ikiwa siku mbili baada ya viongozi wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuahirisha kujadili suala la kutia saini mkataba wa EPA. Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey...

Maofisa Usalama wa Uwanja wa Ndege wakijiandaa kufanya ukaguzi kwenye ndege hiyo.

11Sep 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Ndege hiyo ilikuwa imekaa uelekeo wa kuanza kupaa kwenye njia yake na ndipo wahudumu wakashtuka kuona mmoja wa abiria hakuwa kwenye kiti chake kwa muda mrefu. Taarifa ambazo Nipashe ilizipata...

wananchi waliojeruhiwa baada ya kutokea tetemeko.

11Sep 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
• Laua Bukoba na Mwanza, labomoa majumba
Taarifa za awali kutoka Bukoba zilisema watu 11 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa. Tukio hilo ambalo lilitokea jana saa 9:20 alasiri, lilisababisha watu kadhaa, hususan waliokuwa...

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy.

11Sep 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wandishi wa habari juzi mjini hapa, Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy, alisema watu wasio waaminifu, wamekuwa wakibuni mbinu mbalimbali za...
11Sep 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Tuliona kuwa chanzo cha kuvimba kwa tezi hili ambalo ni sehemu ya kinga ni virusi au vimelea vya magonjwa vinavyoingia mwilini kupitia kinywani. Tunaendelea na makala hii kwa kuzitizama aina za...
11Sep 2016
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
*Shule mabanda ya nyasi Lupemba sasa yang’ara kwa madirisha ya ‘grill’, vioo
Ndiyo. Wanafunzi hao waliokuwa wamejawa na furaha isiyokuwa na kifani baada ya kumaliza ngwe muhimu ya kielimu kuelekea sekondari mwakani, walikuwa na kila sababu ya kuzungumzia muonekano wa kuvutia...

Leorcadia masisa akizungumza na mwandishi wa makala hii mkoani Shinyanga.

11Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Pengine ni vigumu kukiri uwapo na utekekezaji wa sheria, imani na miongozo kwa wasichana wa wilayani Kishapu mkoani Shinyanga. Hiyo inatokana na uhalisia unaoshuhudiwa katika maisha ya baadhi ya...
11Sep 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mabingwa hao walishuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kutulizwa na sare ya bila kufungana dhidi ya Ndanda FC. Lakini jana, kikosi hicho cha Jangwani kilionyesha dhamira ya kusaka pointi tatu...
11Sep 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Uamuzi wa wabunge hao ulitolewa wakati wa mkutano wa nne wa Bunge (Bunge la Bajeti) lililomalizika Juni, mwaka huu. Ukawa walitangaza mgomo huo kwa kile walichodai kupinga kitendo cha Dk. Tulia cha...
11Sep 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Suala la mchakato wa kupitishwa kwa mswada huo sasa linaonekana dhahiri kuanza kufanyiwa kazi na watunga sheria ambapo muswada huo utawasilishwa kwenye Bunge linaloendelea mjini Dodoma. Kazi ya...

Pages