NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

26Nov 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Kampeni hizo zimezinduliwa Ijumaa wiki hii lakini bado zipo habari mbaya zinazohusu kukithiri unyanyasaji watoto na wanawake nchini.Ni hivi karibuni Shirika lisilo la kiserikali la kupinga ukeketaji...
26Nov 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Ukiona mambo yanatokea waziwazi ujue kwamba tayari lipo jambo usiloliona lilishafanyika pasipo wewe kuliona au kulijua. Wewe unachukulia ni kawaida, kumbe kipo chanzo usichokijua. Kwa mfano,...

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango.

26Nov 2017
Benny Mwaipaja
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo, wakati akiwatunuku vyeti vya kozi mbalimbali wahitimu 2,692 wa IFM, wakati wa mahafali ya 43 yaliyofanyika Dar es Salaam jana. Alisema moja ya changamoto zinazolikabili taifa kwa...

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe.

26Nov 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, wakati akizungumza kwenye mkutano na wadau mbalimbali kuhusu kampeni hiyo. Wizara ya...
26Nov 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Rekodi hiyo ya kipekee iliwekwa wiki hii katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam kutokana na msichana wa miaka 27 kupandikizwa figo na hali yake imeelezwa kuwa inaendelea vizuri huku...
26Nov 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Mikoa 19 inashiriki kwenye uchaguzi huo unaorudiwa kutokana na baadhi ya madiwani kufariki dunia, wengine kujiuzulu au kuhamia vyama vingine, kutohudhuria vikao na wengine ushindi wao kutenguliwa na...

Baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Filuk wakisubiri maji
katika kituo cha maji cha Sime. (PICHA: Elizabeth Faustine).

26Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Chanzo tatizo kushamiri ni uvamizi kwenye maeneo ya vyanzo vya maji katika hifadhi ya msitu wa mlima Hanang
Msitu huo wa asilia katika Hifadhi ya Mlima Hanang ulihifadhiwa na serikali kuu chini ya Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) kwa madhumuni ya kuhifadhi vyanzo vya maji 11 vyenye kuhudumia vijiji 31 kati...
26Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Vilevile, amesema zaidi ya asilimia ya 90 ya dawa na vifaa tiba vinavyotumiwa nchini vinatoka nje ya nchi hali ambayo inasababisha Sh. bilioni 269 zinazotengwa na serikali kununua dawa kunufaisha...

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo.

26Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kiini cha mjadala huo, hasa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ni kile kilichoelezwa kuwa Kitila, kwa nafasi yake ya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara, ni mtumishi wa umma na hivyo hastahili kujihusisha...

bandari ya dar es salaam.

26Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Niyonzima aliyasema hayo mapema wiki hii wakati wa ziara yake aliyoifanya Mamlaka ya Usimamizi wa bandari ya Dar es Salaam (TPA). Katika ziara hiyo, Niyonzima alipata fursa ya kutembelea maeneo...

MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori.

26Nov 2017
Margaret Malisa
Nipashe Jumapili
Makori alitoa onyo hilo mwishoni mwa wiki wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya wasimamizi wa uchaguzi kwenye vituo vya kupigia kura ambapo pamoja na mambo mengine, aliwataka wakazi wa kata ya...

Kamishna Msaidizi wa Polisi, George Kyando.

26Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Taarifa zilizothibitishwa na jeshi la Polisi mkoani Rukwa na pia chuo cha mwanafunzi huyo, zinaeleza kuwa licha ya mwanafunzi huyo kukutwa jalalani, pia alikuwa na majeraha makubwa yanayoashiria kuwa...
26Nov 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kama majibu ya maswali hayo ni ‘ndiyo’, basi juisi ya tunda la nyanya inaweza kuwa na msaada mkubwa. Ni kwa sababu, kwa mujibu wa rejea mbalimbali kuhusu faida za nyanya, juisi ya zao hilo huwa na...
26Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Rais John Magufuli alikataa kupokea sifa kemkem alizopewa kuhusiana na ufanikishaji wa mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Kisasa ya Mloganzila na kusisitiza kuwa anayestahili pongezi hizo ni Rais...

lazaro Nyalandu

19Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
"Nimeisubiri kwa shauku kubwa siku hii ya leo ili nipate fursa ya kupigania mageuzi ya kisiasa na ya kiuchumi Tanzania," amesema Nyalandu baada ya kukabidhiwa kadi. Amesema ana shauku, furaha na...
19Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Aidha, kamati hiyo imemteua aliyekuwa Makamu wa Rais, Emmerson Mnagangwa kuongoza chama hicho na kumtaka Mugabe ajiuzulu mwenyewe Urais au ang'olewe madarakani kwa lazima kwa kupigiwa kura ya...
19Nov 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Takwimu za vifo vya ajali za barabarani zinaonyesha kuwa kati ya vifo 1,906, vilivyoripotiwa watembea kwa miguu ni 566 walipoteza maisha.Aidha kundi linalofuatia kwa kuathiriwa na ajali na kuwa na...
19Nov 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mgogoro huo ambao ulihusisha jamii ya wafugaji na wahifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, umesababisha wananchi kubomolewa nyumba na maboma yao zaidi ya 500 na hivyo kusababisha baadhi yao...
19Nov 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Magonjwa mengine yasiyoambukizwa yanayosumbua watu wengi ni moyo na shinikizo la damu ambayo pia huathiri watoto. Kutokana na tatizo hilo, watu wanahamasishwa kufanya mazoezi kila siku na...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Mpoki Ulisubisya.

19Nov 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Kuanzisha vituo maalumu nchi nzima, kufuatiliwa hadi kipindi cha 40
Alikaa Mkoani kwa saa 10 akitokea Mlandizi baada ya kushindwa kujifungua kulikotokana na kupasuka mfuko wa uzazi na kupoteza damu nyingi. Alijifungua na mtoto wake ni mzima, wakunga na madaktari...

Pages